Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NINI MAAN A YA BLOGSPOT??

dada PS
happy birthday
natumaini wapenzi wote wa PS Blog umko Gado
ni haya kwanini baadhi ya wenye blog mnatutia hofu?maana imekuwa ni matusi,kutoleana siri za watu,kutishiana na nk waoi tunaenda?
jamani wapenzi wa blog mbali mbali nini hasa maana ya blog? naomba mnieleweshe nami nikaelewa maana sasa imekuwa too much anayejisikia kumtukana mwenzie shurti katika fb kwaklihuu si utarabu na wala si uungwana
kwako sintakwakuwa blog yako ni changa naomba uweke mambo ya maana na kama hivi unavyoweka ambavyo havimdhuru mtu,jiepushe kuweka umbea sana yes watu wata comment lakini utakuwa na maadui na utajichafulia jina
kuwa kama hivi hii blog itakuwa na utashangaa mwenyewe
ni haya tuu
mkereketwa
lindsay

5 comments:

loveracheltz said...

that is good an idea

Anonymous said...

kwakweli haya ma blog yamekuwa sasa kichefu chefu ni mtindo wa kuchafuana na kila balaa likitokea linaandikwa jamani Michuzi ni blog kubwa hapa Dar na haitoi mambo ya kijinga kabisa jamani hebu tuwe maakini
utakuta mtu amegombana na mtu anakimbilia katika blog sasa hizi blog zimekuwa magazeti ya kwenye email?
ni hayo tuu
mama na kati ya pariiiiiiiiii

sipp said...

tuwe live jamani semeni tuu liveeeeeeeee ni blog ipi ina haribu
watajicarry
Sipp

FYI said...

heeeee blo,blog,blog

mimi hoi jamani ila ipo siku itakuja kuwa noma sana kuhusiana haya maswala ya blog nashukuru sana kwa kulileta hapa kikaangoni

FYI

Anonymous said...

mmmh PS

watu wanajiona wamesoma,wana hela lakni akili hawana
masikini akipata matako hulia mbwata
ni hayo tuu
sitaki kuendelea nami nikatafutiwa dongo maana yule hapendi kuchanwa live anataka asifiwe yeye,asujudiwe haa money cant buy happiness