Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

AINA ZA TATU ZA MABEKI TATU

Dada PS
Kuna mambo nataka  ni waeleze   watu  kuhusu ma house girl
1. House girl
  huyu ni  msichana anaefanya kazi kwajibikaji,anawahi kuamka, anafanya usafi anaandaa maji ya kuoga,anapika chai,anachota maji hata umbali wa kio meter tano
 2.Yaya
Kila kazi lazima aagizwe  kama sivyo hafanyi,mara nyingi akikaa jikoni hatoki mpaka afokewe,huwa anakula jikoni,chakula chake kinakuwa ndani ya sufuria  tuu na si msafi
3.Msichana wa kazi
Maisha yake kama mzaliwa wa familia anavaa kisistaduu,simu kila wakati,anafanya kazi zake haraka ili aoge,avae,ajipodoe na kukaa kibarazani kusubiri vijana wasio na kazi mtaani wapiti na kumtongoza
Je mpenzi wa PS unamtaka nani kati ya hao akae na nyumba yako?

Ni mimi
Mdau  bongoland

No comments: