Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SIO VIZURI

Dada  PS
Mimi ni mdau wa hii blog napenda kukwauliza wadau wenzangu ni nini hasa kinawafanya wanawapa
wasichana wa kazi nguo zao za ndani? mfano chupi?na hata za mumewe jamani wakina dada hata kama 
ni wasichana wa ndani tuwe binaadamu jamani  sis wakina mama tuwe tunafanya mambo kama ya
kufua chupi zetu,na za waume zetu
ni wazo tuu wapenzi
Naomba tulijadili hili jamani wenzangu

mdau

1 comment:

Anonymous said...

jamani ni vibaya sana kumpa housegirl chupi za mume afue kama mama mwenye nyumba hawezi kufua naona mume afue tu mwenyewe...