![]() |
usikose |
hii ndiyo show nitakuwepo,nitapiga cat walk za nguvu pale Serena Hotel,yaani sinilikwambia mimi ni UNSTOPPABLE?i can do anything, sasa hivi niko kikazi zaidi.
usikose kuja kuniona jamani wewe na yule na nani wote,
kwakweli walimu wana kazi ya ziada.
ukitaka ku book ma table na nini please contact;
jlo Tz
Shamim Zeze
kwenye blogs zetu ndio full ma infooo
kwa kifupi na kirefu hapo hapo
wewe unayejifanya unabisha au kunitukana huoni kwamba unaua mende kwenye ukuta sasa si utaumia wewe?bana hii ni level nyingine bora u support namtegemea Mungu zaidi,maana ukija katika kisomo manshallah,kwenye entertainment ndo usiseme.
thanks my Good Lord
see you @Serena Hotel 3rd march.
![]() |
Unstoppable |
8 comments:
tutakuja kukuona mama mashauzi .com
hiyo nguo uliyovaa nzuri ila haiendani kabisa na pochi oliyobeba
SASA SINTA MTOTO WA KIISLAM HALFU NGUO FUUUPI SASA HAYO SI MATUSI TOSHA HALAFU UNAJIANIKA UNATEGEMEA NINI?HATA UKITUMIWA COMMENT ZA MATUSI SAWA TU!!!!!!SHAME ON UUU
we mbona unapenda sana kujishuku......acha ushamba mbwa we!!!
Sintah aliyekubadilishia jina alikosea your rightful name is Miss mashauzi
WATU WAFUPI WANASHIDA PTUUUU,,,MISS ANDUNJE, MBILIKIMO
WATU WAFUPI WANA SHIDA!! ANDUNJE A.K.A MBILIKIMO ahahahh tutakomaje
eti umesoma, Elimu yenyewe ngwini,
Je ungeapata masters in atomic and nuclear bombing ingekuwaje? watu wamesoma science na hawajishaui kama wewe, nadhani ungetumia elimu yako kuwasaidia wasanii wenzio.
Post a Comment