toto Linex |
Mc Sintah&Wema |
chezeya Mc, shoes Thx to lil sis Amne na Uk |
Sauda&Linex |
Corporate figure,Actress,Mc,Blogger,na sasa anaonyesha fashion show,
mmmh ndo maana nikilala kichwa changu kinauma maana mtoto nina app sita kwa siku duu,
yote ni kusaka mahela maana wanawake tujiamini
bila wanaume tunaweza,ndo maana mimi nipo busy sana na kazi zangu rather than being idle
kwa wale wanaopenda jamani, narudia tena kwa wanaopenda,maana kuna vizabi zabina vitaingia na kusema ya kwao kama kawaida yao,sijakuilamisha wasiliana na mimi kwaajili ya Mc usijali bei tutawezana tuu.
simu zipo hapo juu
21 comments:
shoga mshauri uyo shoga ako kuacha mkologo mna duh iyo miguu htr!
naomba uliza kwan cku hiz ni fashion kwenye birthday kummwagia birthday person maji or pombe???..Back to the pics.,for the first time nimeona sauda mwilima kapendezaaaa na nguo!!!Even u mama mashauz kagauni kako kazuri na viatu nimevipenda..mazoez ya kupungua bado waendelea??hujatupa feedback!!Wema my dear i like u n you have a perfect body,sexy but why mkorogo??????ona sasa miguu ilivyoharibika aahhhhhh cjapenda..ila umepungua kidogo unapendeza..
mc tena toba ma mc wameingiliwa yani dd kwa kujishaua sijaona
kweli sauda amependeza sana. uendelee kuvaa vizuri hivyohivyo pendeza sana dada Sauda
Point yani i was also thinking huyu wema si alikuwa mweupe by nature so inamaana hajaridhikana weupe wake? na maji ya kunde wafanyaje. hawa mabinti sijui nani anawadanganyaga kujichubua ndio uzuri wanaonekana kama sanamu vile basi na wazungu nao wajichubue wawe weusi lol
Usiwe unapiga picha na hao ma super tall, unaonekana andunje!ni ushauri tu kama vip tupa kule!
But u're so cute!
Nimeamua kujitoa muhanga Sintah, upo tayari?
For the first time, mtoto wa Mwilima kapendeza,eehe na habari zake na yule mcheza show zimeishia wapi mdau!
Point yani i was also thinking huyu wema si alikuwa mweupe by nature so inamaana hajaridhikana weupe wake? na maji ya kunde wafanyaje. hawa mabinti sijui nani anawadanganyaga kujichubua ndio uzuri wanaonekana kama sanamu vile basi na wazungu nao wajichubue wawe weusi lol
Kumbe Sauda hapendezagi eeh! sasa kwanini mashosti wasiwe wanamuadvise viwalo vya kuvaa. ushosti sometimes ni kuchorana tu
Chondechonde dada Sintah,usitumie mkologo kabisa,una uzuri wa asili plz!
hongera kwa kwa ujasiriamali ndio inavyotakiwa hvyo....mwanamke kujishughulisha babuu ee na c kujbweteka!!!
ACHENI KUMUONEA WIVU MWANANKE MWENZE SINTA ACHAN NAO NAKUPENDA MUMMY KEEP IT UP!!!!!!!!
yaani ni andunje haswaaa,halafu kwao yeye ndo tall
mashoste wenyew hawajui,pwagu na pwaguzi hakuna wa kumuongoza mwenzie
achia comment andunjeeee usizibanie
Huyo nae ni mkorogo.com,anagalia picha zake wakati yupo na kiroboto na picha za sasa,punguzeni mikorogo jmn.
beutiful
Unapenda sifa sana mama punguza mashauzi mtu mwenyewe mbayaaaaaaa
da sintah mi nakupenda sana na nimfatiliaji mzuri wa blog yako. napenda nifate nyayo zako please nisaidie. nipo tanga mail yangu iwe siri. edna.mwaza@yahoo.com
Hii mikorogo itawadhuru baadae, tumieni vipodozi salama jaman, haya endeleeni mtakiona cha moto.
Post a Comment