kwa ujumla mimi napenda sana kupika,yaani have got two hobbies(cooking&swimming).
sasa nikikaa home huwa nafikiria nipike nini this weekend nikajisikia kupika my favourite food, matoke nikaweka kitu cha spinach ma nyanyachungu,pilipili kama vile nipo India nini na nini huku ka kuku kakaja halafu nini basi na ka fresh juice kwa mbali.
it was a delicious meal kwa kweli.
enjoy kwa kuona na wale basebo na ba nyambo mkitaka niwapikie mnipe order.
![]() |
Matoke nilikuwa ninayasonga |
sasa nikikaa home huwa nafikiria nipike nini this weekend nikajisikia kupika my favourite food, matoke nikaweka kitu cha spinach ma nyanyachungu,pilipili kama vile nipo India nini na nini huku ka kuku kakaja halafu nini basi na ka fresh juice kwa mbali.
it was a delicious meal kwa kweli.
enjoy kwa kuona na wale basebo na ba nyambo mkitaka niwapikie mnipe order.
20 comments:
ongera kwa ilo,ila watamn ungetokea uko kwenye iyo misosi!
The food looks delicious, yummmmmy.
Msosi na mm umenivutia..i like matokeeeeeee n samaki plus ebinyeeebwa..kwa Wale tuliosoma Uganda na kukaa na Wanyambo will understand
Hongera kwa kupenda kujipikilisha ila angalizo punguza kipimo cha mafuta kwenye mboga not good for your health.Hiyo souce ya kuku ina mafuta kibao.
The food looks delicious ...
Mwanamke kupika Sintarious, kumbe unafaa kuwa mke! Nilifikilia wewe kila siku ni kwenye dressing table tu!Big up
Are a good cookm or cooker banaaaaaaaaaaaaa................... hongera
Udenda unanitoka mie!
I LOVE YOU ANDUNJEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE,PLZ 'LL MARRY ME?
Tupe yaliyojiri huko kwenye siku ya Valentine plz,tupo Swanga huku blog hii ndio pekee inatukutanisha na watu wa town! Big up mumy
rudi darasani, cooker ni jiko, cook ndio mpishi.
Jamani kuna mtu ka comment mpaka nimecheka eti ananiambia nirud darasani eti cooker jiko na mpishi ni cook sasa huyo anaota au?ni wapi nimeandika cooker?au anataka aonekane naye ka comment nikisema vizabi zabina mnasema jlo anaongea,ndo hao sasa shule yangu ni MA wewe je?
We umenigusa Simah binti Kamugisha mjukuu wa Ngaiza we Sintah ba nyambo mama zangu na msosi huo ni favorite meal yangu mhindi kashanimalizia tupesa twangu. Nimeweka Oda dada nifanyie fast aisee manake hapa mate yanantoka. Ukiivisha mpelekee Kemmy mwambie Mdogo wako kakutumia.
we mwamamke nawe kujinahii kama una MA mbboan chupi yako ina tobo sasa??? shobo nyingi shule yenyewe ya kubahatisha hiyo.
usijali wenye positive na negative comments wote tunafanya blog i ruuuuuun.
hahahahh iko chakula ukila full mishuzi hahahah viaz tena duhhhhh
na wewe sinta umezidi domokaya huwezi kumweleza mtu mpaka elimu MA inahusu au umesomeshwa nakijiji lol
inamaana huna meza mpaka unaweka chakula sakafuni? Jamani na mashauzi yote hayo hata hujaweza kununua meza hata zile za kariakoo? lol... Unakuwa kama shoga mmoja DINA MARIOS sikumoja nae kajipikilisha halafu kapiga picha sasa hizo sufuria utadhani za kumpikia mbwa plz muwe mnaangalia na nyie sio mnafanya kwa kujishaua tuu nenda kafanye shoping ya meza hata zile za kariakoo lol,,,,,,
WE NAWE USIJIBUGE KAMAHUKUELEWA NADHANI HAKUKWAMBIA WEWE ALIMWAMBIA ANONY.ALIEMTANGULIA.......COOKER NI JIKO.............PUNGUZAGA MASHAUZI....MWEEEEEE...........
achana nao wanakuchanganya tu,huyo anaesema huna meza ana lake jambo hajui utamaduni wetu ni kula chini , kwa jinsi uulivyo haushindwi kununua meza. namuomba apige picha geto lake then akutumie upost humu, nadhani itakuwa kichefuchefuuuuuuu.
Post a Comment