COOPERATE PERSONALITIES
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUsn3k-s_lWsn3IeGqJc1MUWiSaybI1TefYGTs5KqYC1zqLCDyTPetjmc__rQEIkVYQVdYNocljc8GqA36aDedcud1Iwr4xo7F2ty4hNUvACyIMB_ChKAFKIQHyx3uGmt1tqCs-pVyDC4n/s400/imagesCAF05AID.jpg) |
Jackson M |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEorV7sWqVID5NUpHVj-iWdpmizkbYmlNVK0-B3ZA1DLp2bJsaGKbmRDYIHrQZPK16yXmX3Ra2M1sYhSoGsuNB1DJP5bk8C488dkAtZTUp4WjUOGszLKgitdd5bqnZkKbvMosT_kxAzNgt/s400/imagesCAY6F16U.jpg) |
Kelvin Twissa |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKqhBlaFalC0nr2iIonEg8t5ruGNVDUgneVbT89qm66a8y8q1FSHbxmopjuiGKYJGukR72neivv5IaB5psjsCoLR91q7fdRLCyplbZxHa20qeQBy9F149I5YPxFcv_rhzIwZeTkNKARqR3/s400/imagesCA74HWS5.jpg) |
Fa |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhgX_3LPCtCohCHbbz1h0le-PUaQBthDo2D9W5PFo-hssS_agTJKKcQlceVT9UDXxWl3-7f6P_kC3dTVycjSJJToWqxSBxYkveP4Mek_r-Rrq9l45VWoS8N_YtoE3-Ui7BQ0W6knA7Ea-E/s400/imagesCAC7MY4G.jpg) |
Nargis |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5HGkYL8x4dQDtbgnuilwfeiNLkkt-uhEQCBza8KGkBMx8MKaLT-jNtlvv1K8yVTFzA2WnMovt0aPM9MDQ6g4vXxWGlMategyQPp37pGwMaB2DXhursLXCJBhXI4361gnCdHoSPWY5hthw/s400/imagesCAZFTDHR.jpg) |
Jokate |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbFj2u0tEY9T39q3AKWZdgj6JSFndOWONLMVSXmm94RzpIOnVdAE0FUQLo_3Lv8Vnnip2kLiHM_wHV-E8kDITDXT1IvEjRG8HfEzmobCd_kf3MHNxo_4HjhP6nLbap2oV2TksbSPIIrQUo/s400/197962_201708406517528_100000351099066_663953_8129652_n%5B1%5D.jpg) |
Christine sintah |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgf41NyWjIJ-98-cYHCMDqfFqCUtZq1V0agYhcYadGR3IT_xlvmy39kaAzpOmkYN172vXyDEkfELoJgJTFM5vZxIm0_beTsd6NIynR6Ok9ZLg3pjZd9ba1RKk27wSK4aDa8gZsx1JpXtkdZ/s400/imagesCADIU267.jpg) |
Shy rose |
jamani msione tunaringa,shule ngumu sana jamani duu kukalia madawati nini na nini mpaka hapa tulipofika,mmmh tupigieni makofi kidogo,najua wengi wenu mnanuna ila nuneni ki development zaidi maana sisi tumepata tulichotaka,duuu tunahitaji makofi sana tuuuuu,wewe nuna na wakati mimi nina ma vyeti yangu ndani
BIG UP TO US
ushauri wangu tembea na marafiki cooperate sio marafiki ili mradi ,kuwa kama mimi na my ladies wote tupo juuuuuuu chezeya darasa weweeee,nuna ila ukweli ndio huo,mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba
84 comments:
baba yangu ana msemo wake huwa anautumia sana unasema pride comes before fall,sintah i think marafiki zako sio wema kwako coz wanaona fika unachemka hawakuonyi.
hata MWENYEZI MUNGU anapinga majivuno,majivuno ni mzizi wa dhambi.siku hizi wanawake tunajidhalilisha kwa kufungua blogs na kujisifu na kuonyesha umaridadi wetu.
you still have a veeery long way to go.iam sure majidai yako yanakunyima endorsement deals na hata hapo ulipojishikiza hupandi maana ya tabia zako,
kwa wengine jamani huu ulimbukeni tusiukubali,fanya mambo yako kimya na kuepuka kujikweza.msidharau walio chini yenu na walioshindwa fika mlipo.
MAJIVUNO NI MZIZI WA DHAMBI
nimeshakustukia haya mabomu ye unawatumia wasanii wenzako wakibongobongo, teh teh teh teh
Tatizo lako umesoma lakini hujaelimika... pheeew..
Makubwa...
Bint unajua kujipendekeza sijapata kuona.wewe umesoma nini cha mno? una GPA ya ngapi? hivi ungekuwa una phd ingekuwaje? kweli maskini akipata matako hulia mbwata.unatutia aibu au ukutegemea kusoma nini? ungesoma chuo kama sussex au havard ingekuwaje? hapo kwa mafelia uganda ndo nyodo zote hizo? mi naamini usomi ni uelewa wa kufahamu jambo na si ujinga unaofanya matokeo yake unaenda field uchi ndo unaokubeba kazi huwezi.ungesoma ht UDSM basi. Shame on u!!!
Wako wasomi kibaoooo wamesoma lakini wamekaa kimya na wana kazi za maana sio wewe kujisifia kama vile hapa duniani hakuna wasomi zaidi yako Sinta limbukeni, Acha kujishauwa wewe demu!!!!!!!!!!!
Shuleyako mpaka darasa la ngapi !? Hongera
naona tangu uende shule it's a problem.wewe kila siku u talk the same thing wangapi wamenda shule mpaka wana PHD wapo kimya acha ushamba, sasa unaboa.utamjua msomi bila hata ya yeye kujitangaza
We mwehu Sinta,nenda shule hyo uliyonayo haijakukomboa wala nini.degree 1 unaona umesoooma,go for masters then phd ndo urudi ujidai.huna lolote!
Hivi wewe sintah ni hii first degree tu au unaelimu nyingine?Mbona hiyo ss hv watu tunazo tu jamani, mi nahisi unawapiga vijembe wasanii wenzako wa bongo movies ila kwa public na hako ka first degree kako ukisimama na kujitapa hivyo watu tutachekajeeeee..unaboa bwana
Samahani dada, mimi nikiwa mmoja kati ya mashabiki wako napenda kujua proffesional yako ili nikiwa na tatizo ambalo linalofanania na fani yako nisipate shida katika kupata mawazo.
Ahsante.
Kwahiyo Tanzania nziiiiiima wewe na uliowaweka hapo ndio mmesoma???acha ulimbukeni mama kwa elimu gani hasa uliyonayo wewe ya kusumbua watu???ungekuwa na PHD je ingekuwaje mama???
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
maaaaaaavi eti umesoma
una iga wewe? angalia usije ukaishia njiani< mfyuuuuu na kujifanya eti siku hzi unaachia comments mbona zingine bado unabana? hamna kitu waliosoma wewe ulipita shule sasa na hii bania kama ile usio na haya naudhika sana,
ivi Sauda mwilima na Dida sio ma BBF wako tena au kwa vile unawaona wameishia form four???
tunune kwa lipi,toa ushuzi wako hapa,nan ambaye hajasoma,hicho kijielimu chako kimekusaidia nini sasa,U DNT FIT TO THAT CLASS,unachoreshwa tu,U SO LOW
weweee sintah wewe huyo Jackson unaemsifia kwamba ana elimu mbona ana kadegree tu jamani au unataka tumwage issue zake zote humu ndaNI NI WA KAWAIDA SANAAAAAAAAAA HATA BIBI YANGU AMEMZIDI ELIMU! acha kujisha....
hIVI WEWE WAKIITWA WALIOSOMA NAWE UMO ACHA KUJISHEBEDUA UNA LOLOTE
HOVYOOOOOOOOOOOOOOOO, WE NAWE, MSOMI GANI UNAONGEA PUMBA??????, UMESOMA NINI WEWE UNA PHD AU WEE NI PROFESSOR? WAKISEMA WALIOSOMA WATOKE MBELE NAWE UTATOKA MBELE, HEBU KELELE, SUBIRI KUSIFIWA USIJISIFU UTUMBO
walioenda shule hawanaga kelele kama wewe wapo walioenda shule bwana na wapo kimya wewe shule imekuwa shule hadi umeboa si umesoma wewe sisi inatuhusu nini kama ujinga umekutoka ni wewe sisi hayatuhusu nyau we,shule imekuwa shule inahuuuuuuuuu!kufa kupo pale pale usome usisome utakufa tu yaani.mimi mwenyewe nimesoma kwa shida zangu za kutaka kutoa ujinga lakini siwezi piga kelele tuuuuuuuuuuu!.unakera wengine bwana ....
KWA DARASA LIPI SINTA? MBONA HUNA LOLOTE WEWE KWANZA MWIZI WEWE WACHA KUJISHAUA, UKIIBANIA MSG DELIVERY HEHEHEHHE MSHAMBA, HUNA MOJA WALA KUMI NAMOJA WEWE ISHIA HUKO
SASA KWA TAARIFA YAKO UYO K WALA HANA SHULE YOYOTE KAUNGA UNGA TU MJINI MIPANGO. MIND YOU SHULE IS NOT EVERY THING MATAJIRI WAKUBWA KARIBU WOTE DUNIANI HAWAJAENDA SHULE LAKINI WANAPESA CHAFU MSHAMBA WEWE.
Elimu yako yeneyewe haijakusaidia kitu.......nyoooooooooo mavi tuu wewe huna lolote na ki Raum chako kilichobondwa bondwa kila coner.
yaani duh wewe dada kiboko,unawaweka hapo ili wakutafute ,unajitongozesha mkundu wewe,hawakutaki na ala hawana shida na wewe.
wera weraaaaaaa watanunajeeeeeeeeeeeeee habari ndio hyoooooo nenda shule EDUCATION IS SEXY...
Wewe umesoma nini jamani ambacho hamna hapa T, kelele na degree ya public relations, ushamba watu wapo kimya wamesoma mambo ya maana hebu goma wewe kama kuna mtu atajua umegoma. Inaonekana unatembea na marafiki hawakwenda shule ndio unatambia, acha ushamba we andunje
WALLAH NAAPA UNGEKUWA NA DEGREE FROM JUST A RECOGNIZED UNIVERSITY OR MASTERS! NAONA UTAKOJOA FANTA NA KUNYA CAKES! UNANISINYA SANA, WE DO HAVE VYETI VYA MAANA SIO HUO UNDUNDUNDU WAKO ULIOKUWA UNASOMEA, then why everyaday kujikuza, hebu acha watu wakupraise, leave pipo to recognise you, that its true u have gone to skul, if at ol u did na sio kutwa kudesea na kuandikiwa presentations, and u r here so proud of a completely nonsense prestige! unabore bwana!
Mh, hongereni jamani, sisi wengine maskini tumetamani kusoma lakini uwezo hatuna, naomba Mungu anijalie nitunze kamshahara ninacholipwa ili mwakani nianze shule.
Mtoto wa kike ushaanza mashauzi.com. But una haki ya kujiringisha kwani hao wasanii wengine ni darasaless
kwa shule ipi we mkuma!!! wa kusoma utakua wewe... tutolee utoko wako hapa, malaya we!!!
ACHA KUJISHAUA HIYO ELIMU YAKO NI ELIMU GANI UMESOMA MPAKA WAPI WASOMI WAMETULIA KIMYA !
mshauri joyce kiria nae asome...SIO KUJIVUNIA U HOUSE GIRL.
KWA WEWE ULIETAKA KUJUA
IST DEGREE PUBLIC ADMIN&MGT
POST GT PUBLIC RELATIONS
MASTERS ENROLLING ESAMI, INTERNATIONAL BUSINESS
KWA WEWE USIETAKA KUJUA USIUMIE ROHO ACHA KUSOMA COMMENT HII
LAZIMA NIRINGIE NA HII ELIMU KAMA VIPI JITUNDIKE
Wanawake na maendeleo tufanye kazi tusongembeleee
JAMAN WADAU MSIMLAUMU SANA UYU BINT MNA ALIVYOFEL TU 4M 4 HAKAKIMBILIA UGANDA KWA MATAILA KUANZA CHUO ILA C KOSA LAKE JUENI KUWA USHAMBA MZINGO.
Hongera mrembo kusoma kwa kweli ni muhimu sana kwa maisha ya sasa especially sisi wanawake tuweze kijikwamua na ujinga... a big congrats na mnaomponda jamani kwani mmelazimishwa kuingia humu kwenye blog yake kuangalia anacho post muacheni a post kitu anachojisikia kama unaona anaboa usiingie humu haujalazimishwa tuwe wastaarabu kwa kweli
Digrii ya kutombwa na nature? Mshamba kwel ww
Joyce kiria hana akili kabisa asome kama wenzie sio kuongoza kipindi eti kumkomboa mwanamke bila elimu..ni mjinga wa mwisho housegal yule..hana lolote kaniboa sana
uma kibuyu, mwambie joyce kiria, dida na sauda mwilima nao wakasome, wewe hicho kishule hakija kukomboa bado mshamba, eti umri huu, we una udogo gani bibi kizee, wakati hadi uchi una mvi tumia jina lako likuzoee
hiv JAQUELINE WOLPER NAE NICORPORATE, KWA ELIMU GAN HIYO ADI AWE CORPORATE, NAE SI NI SHOST WAKO?? VP SAUDA MWILIMA, DIDA WA MCHOPS, C MASHOGA ZAKO WW, NA WENYEWE MA'COPORATE WA NIN MKOROGO AU MABWANA???
KUWA NA RAFIKI KAMA WW NI SAWA NA KUWA NA BUNCH OF CRAPS, FOR SURE YA A CRAP
utajitundike wewe bibie na ushamba wako,sie twapita tu
umebania comment yangu sababu nimemcia Jocate afu unajifanya
BFF, pumbavuuuuuuuuuuuuuuu
sINTA MIE HATA SIKUFAHAMU AND NOT YOUR HATER, ILA USHAURI TU UMEKUWA NA KELELE SANA HADI INAONEKANA KUWA HIYO SHULE HAIJAKUSAIDIA..........HUNA TABIA ZA KISOMI,
hehehehehe uwiii raha kweli sintah please usifunge hii blog yaani nafurahi sana nikiingia katika blog yako kuliko zote , hasa maoni ya wasomaji , RAHA KWELI ENDELEA MAMA BIG UP
Dada yangu nakuunga mkono, kweli tusipende kuwadharau waliochini, na tusipende kuonyesha majidai kwa watu huo ni ulimbukeni na wengi hawafiki mbali. fanya mambo yako kimya huku ukimuomba Mungu akusaidie pia ukipata saidia wengine haina haja ya majivuno
BADO UJAJITETEA ACHA UJINGA MTOTO WATU WANAKUSHANGAA BADO ELIMU YAKO NI MAJIIIIIII!!!!!!!!YAANI HAKUNA KITU SASA UMEIFANYIA NINI ELIMU YAKO MBONA UJAFUNGUA HATA KAOFISI UMEISHIA KWENYE KABLOGTUU!!!!!!!!!!
heheheheh uwiiii sintah wanaimaliza kweli shosti uwiiiii jamani kaazi kweli kweli ..... kweli mwaka huu dunia itakujua sinta kasoma, huyo alosema utakojoa fanta na kunya cake ndo kanimaliza kabisa ... tehetehetehetehete
That’s good that your educated but it will be wise enough if you use your education to civilize, educate and help the society rather than boasting allover .Some of us are doing PHD’S and have our own organizations and stable life but we don’t boast like you …Use what you have to help those who do not have hata MUNGU hatakusaidia!
mh masikini hukujua km ungesomaaa eh masikini ringa maana wote ovyo wewe dada yake adelaida manongi mhhh labda km mmesoma mboo
sinta ungekuwa umesoma vyuo vya kueleweka altleast hata sisi tungekuelewa, lakini hivyo vyuo vya uchochoroni ambavyo havina hata vigezo vya maana ambao hata wanaopata division zero wanaenda! sijui unaongea nini. soma vyuo vya maana ndo uongee na pia si unajitia kusema umesoma weka vyeti vyako hapa tuone hata kama una 1st class
ungesema umesoma wapi binti....halafu watu waliosoma tumekaa kimya wala huwezi kujua , hebu mwangalie Helen Kijo Bisimba alivo cutafkiri housegirl ila elimu imelala pale....ufupi unakusumbua wewe
te te te te te te te te te te te te te uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamni du
mi naona umesoma shule ya kufirana na mabwana wa watu ndomana unaenda kukutana na watu kikazi ukiwa uchi unajiuza hadi maofisini mwa watu asubuhi subuhi malaya mmbovu we kama chafu.
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
hahahahahaah!!!!!!!!!!!!!! hata kama haimtoshelez kujitanga but amesoma jaman kwa nn hamuw wakwel? sasa sinta utamlinganisha na UWOYA AU WEMA!!!!!!!! kaza but mama hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo,,,, big up mama!!! komaa utafika kwenye PHD
Akili yako fupi kama wewe mwenyewe. Andika vitu vya maana elimu ni kwa faida yako wewe wengi wana elimu. Toa ushauri watu kujiendeleza ila siyo kutamba.
HA HA HA HA..................
DUUUUUUUUU........KWISHA HABARI YAKE
Unajitahidi kujikweza pole zako!!!! Kumbe kweli " an empty vessel makes the greatest sound"
we unalako ukumuelewa lile swali alivyo jibu mange Joy ALIKUWA SAHIHI KABISA KUJIBU hIVYO hovyooooooooooooooooooo
word.... now thats a different
WELL SAID MDAU,ANACHORWA TU
hahaha kumbe mwizi wa vyote hahaha
kwakweli hata mimi nimemshtukia sababu huyu Sintah wawezi jifananisha na wewe na mimi na yule labda wasanii wenzake. kaifungua hii blog ili apate fursa ya kuwapiga vijembe wasanii wenzake.
Hahahahah Point
Hahahahahahah nimependajeee atakojoajee fanta na kunya cake hahaha kama namuona chooni.
Haya mama soma ESAMI maliza tuwekee na cheti na marks zako maana kusoma is one thing grades/GPA is another thing tujulishe IQ level yako ikoje, so far we see it as below average IQ prove us wrong
kweli ushamba mzigo
uwiiii karakakra grrrriiiiii kumbe alisomeshwa kwa kuvuliwa chupi na mdogo wake akaona adandie hapo hapo amakweli duniani kuna mambo. Mama jisifie ulipata zali la mentali hukutegemea kusoma haya tujuze nani anakulipia ESAMI maana huma hiyo $8000
hahaaahaaah jamani naskia raha sana kila nikiingia kwa hii blog yani ni vchekesho,enhe endeleeni kunipasha habari wadau.
hahaaaah jamani naskia raha sana kila nikiingia kwa hii blog,haya endeleeni kunipasha habari maana mmhu.
JAMANI? KUSOMA GANI HUKO? MANAKE MIMI NAJUA KIGEZO CHA USOMI NI KAULI. SASA WEWE MBONA HUNA KAULI ZA KISOMI? HALAFU UNASEMA ETI MTOTO MDOGO, MDOGO VIPI WAKATI UNAIGIZA KAOLE MIMI NIPO DARASA LA NNE NA SASA HIVI NI MAMA WA WATOTO WAWILI. SASA IWEJE WEWE BADO UNAJIITA MDOGO??? ZEE ZIMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
walioenda shule wala si type yako.wapo very simple wao ni kuitumia elimu yao.wewe kutwaa maextension kichwani,mjini kuna kparty ya nani uende.hata hao uliowaweka elimu zao sio kiviiileee hadi iwashtue watu....ila kwa ushamba wako unaona wapo juu!!!
mdau umeongea atuoneshe hicho cheti chake hapa maana sio kila siku nimesoma nimesoma au umesoma ngumbalo ila itakuwa ndo hiyo maana shule yenyewe umeijua ukiwa tayari ajuza.
tumekuja kuwaelimisha washamba kama nyie mnaokaa mnaleta sifa za kijinga kila wakati, umri umewatupa mnact uchekechea hapa ndo wale wale nyie mnaostopisha calender, unatetea huo upunguani wa mwenzio hapo eeee shule yenyewew ya migombani hiyo bado anajidai shule shule
we nawe ndo wale wale kasoro tarehe, kazi kuleta unyambi nyambi tu hapa badala umsauri ya maana unazidi kumpotosha mwenzio na yy akili zake zilivyoffupi sasa, mie kama umesoma dhitisha uma kwa kuiishi elimu yako sio kuleta ushuzi ushuzi tu hapa fanya mambo na elimu yako hapo sawa ntakuheshimu sio nimesoma mmm afu kichwa bado boski.
akipata PHD ya maana mie naenda kunya pale kati kati ya Karioakoo mchana kweupe kwa hiyo kichwa maji.
JOSEPH MBILINYI AKA SUGU MBUNGE WA MBEYA MJINI,.uliza elimu yake then upime mafanikio yake ndo utajua watu elimu zao zinawasaidi,.coz unavyojisifia sina uhakika kama elimu yako inakusaidia#ZOMBIE
NIMEWAPENDA SANA WADAU WATATU WA HAPO JUU,U SEEM INTERECTUALS,WELL SAID,TUSICHOKE KUMWAMBIA UKWELI,YEYE ANAFIKIRI CYE MA HATERS
kwanza hata hilo neno corporate unavyoliandika tu hujui sasa sijui elimu yako ni ya chuo gani?corporate people never talk stupid things like you.Nenda kasome ten uje na vyeti halisi
Debe tupu!! 2losoma 2menyamaza,we kisokorokwinyo kelele mpaka unaboa
hongera elimu ndo mpango mzima
Post a Comment