VALENTINE'S DAY.MIMI NA MY LADIES TUMEANDAA SINGLE LADIES PARTY
|
lope lopez |
|
waandaji wa party |
ushoga kazi jamani
thanks ma gal Rachel kwa
zawadi
wale wenzangu na mimi ambao hatujielewi msimamo wetu wa maisha kwa sasa yaani kama status itakuwa single but not searching,tumeandaa ka party kadogo kwaajili ya siku ya valentine tukijipa moyo na kuwaza ni nini tufanye hata kama hatuna madushelele,so stay tuned for the partyyyy legooo
kama nawe unataka ujumuike katika haka ka party just halla@me the above #
c u there
lope lope ni jina jipya nimepewa na Martin Kadinda na Khadija Mwanamboka sasa nalo linaingia katika ile orodha yangu ya majina (usinune wangu just relax ndo kwanza jtatu)
29 comments:
mimi nipo SINGLE nifanye nini ili nijumuike na hyo pati yenu je kuna mchango?
AHsante SINTA ina mana kwenye hii party lazima uwe single kama una boi friend auruhusiwe? je wewe jlo upo single?
Sinta una wivu sana umemuona MANGE kaandaa EVENT ya watoto yatima na wewe unakuja na SINGLE PARTY haya tupe namba ya MPESA au na wewe kwa western union mana mkishafulia mnakuja na style ya kutafuta pesa ili muendelee na maisha
safi sana mtujulishe inakuwaje na kiingilio au ni nyumbani kwako sintah? me pia ni SINGLE
safi sana wadada keep it up good JOB sinta sasa kama una mume uruhusiwi mbona party ya masharti sana
wazo zuri na sisi tujipongezee tusiokuwa na wanaume maana tuliachwa nyuma
Sinta mbona ulikuwa unapendagasana kutaja MR. ilikuwa geresha nn? so u r single...toka Juma Nature akuache kwa wimbo wa SITAKI DEMU, hujapata bwana tena?
tupe utaratibu basi ya hiyo Part jamani
hamna mtu anahitaji hela ya mtu,kwa anayejisikia nipigie my no hapo juu kwa asiyetaka funika domo lako hatuhitaji kukerwa na wako ujinga
safi sana hiyo tutakuja wengi, manake waliolewa tumeshaonyeshwa na wenye ndoa zao tutajipanga nac tuolewe halooooooo
wapare oyee
wapare oyee
Juma Nature hakumuacha jamani, Sinta aliona michosho kwa mvuta bangi haya angekuwa naye mpk sasa Sinta angesoma kweli jamani
we kweli mkali umetafuta gia ya kupatia wanaume umeandaa single party ili wajue hamna wanaume mtongozwe hongera dada mtawapata wengi
Namimi nimo lope lope nitakupigia simu jioni mamy!!! duuu nimeipenda hiyo parrry hata kabla haijafanyika. Terry
OK, Sintarious nimeipenda hiyo! sasa, na sisi ma single gentle mens je,twaruhusiwa kuja?
Duuuuuuuuuuuuuh kweli hii kali, Sintah we kiboko kwa ubunifu! utashangaa anapoingia hata naniiiiiiii,kumbe ni single girl! Umewapata wengi sana
Wacha wee sikujua huko single nilishani una mr. Aibu yangu. Hiyo party Nasubiri picha. Kila lenye kheri single ladies.
Simah
tutakuja sintah tunawapendajeeeeeee jamani so good sintah shule mali mamiii keep it up
tutakuja sintah tuambie basi itaanza saa ngapi na mpaka sa ngapi pia tunahitaji kujua dress code mamii
LOPE LOPE ndio nini tena lile la JLO umeliacha sintah?
we malaya...sasa party itafanyikaje bila hela, unajifanya huna shida na hela ya mtu!!! lope lope my assssss...kafupiiiiiiii, mbwa we!!!
single girls hata kama mume wako ama boyfriend hayupo kasafiri je unaruhusiwa katika party? mmh inauma kwa siye tulioachana hvi karibuuni jamani acha tushehereke na wazazi na familia zetu kwa siye wenye matatizo ya hvi karibuni lkn kama vipi itakuwa poa basi tujisongeshe kwa pole pole o nimekosea lope lope limekaa vizuri.
JOKETI NA WEMA WASIKOSE JAMANI MANAKE WOTE WATIWA NA MTU MMOJA
We AnonymousJan 31, 2012 04:47 AM; una vituko, umeniongezea siku za kuishi nimecheka peke yangu kama mjinga, hivi haya meno huwa munayatoa wapi??? Joketi na wema wasikose; jamani kazi kweli
HAO WALIOJINADI WAMEOLEWA SASA HIVI TUTASIKIA WAMEACHANA.
shost we si una mr hiyo single party ya nini tena umemwagwa nni
VALENTINE DAY WAUME ZA WATU ANAOWAITA MR WATAKUWA NA WAKE ZAO, LAZIMA SIKU HIYO AWE SINGLE, ANGEKUWA NA BWANA SI ANGESHATUTAJIA JINA HUMU NDANI, WAUME ZA WATU KAZ KU'DATE NAO EHH, POLE SANA WE KIMA
qwi qwi qwi qwi, eti funga domo lako, we ndo ufunge domo lako na utulize nyepe yako maana siku hiyo kitakuwasha, tafuta dudu bandia likutulize kiraru raru we fala
An interesting discussion is definitely worth comment.
I do believe that you should write more on this issue, it might not be a taboo subject but
typically folks don't discuss such subjects. To the next! Kind regards!!
Feel free to surf my web site :: Status Symbols
Post a Comment