Hi wadauzz
Mamboz
kuna tabia chafu ambayo wasichana wengi wa Dar es salaam hata wasanii wa kike wamekuwa nayo,hii tabia ni ya kujiusisha na ngono ya jinsia moja(usagaji)
sielewi hili balaa limeanzia wapi eti ni fashion,yaani wasichana wengi wa Dar wakiwemo wasichana maaruf they do practise,kwangu mimi sijaifurahia kwani kama wasichana maarufu ambao ni kioo cha jamii wanatia aibu hakuna fashion ya usagaji jamani fanyeni vyote ila sio hii
hii ninawapa the ist awaken call,wakiendelea nitawataja humu humu maana watu kama sisi tumeletwa kwa ajiil ya kusaidia jamii ukizingatia kizazi kipya kinakuwa
ukinichukia alrit,ukinipenda alrit mimi ndio mim,
Kumbuka hii ni kuwaambia wajirekebishe, tuu ila ikiindelea tutawaanika humu.
Mamboz
kuna tabia chafu ambayo wasichana wengi wa Dar es salaam hata wasanii wa kike wamekuwa nayo,hii tabia ni ya kujiusisha na ngono ya jinsia moja(usagaji)
sielewi hili balaa limeanzia wapi eti ni fashion,yaani wasichana wengi wa Dar wakiwemo wasichana maaruf they do practise,kwangu mimi sijaifurahia kwani kama wasichana maarufu ambao ni kioo cha jamii wanatia aibu hakuna fashion ya usagaji jamani fanyeni vyote ila sio hii
hii ninawapa the ist awaken call,wakiendelea nitawataja humu humu maana watu kama sisi tumeletwa kwa ajiil ya kusaidia jamii ukizingatia kizazi kipya kinakuwa
ukinichukia alrit,ukinipenda alrit mimi ndio mim,
Kumbuka hii ni kuwaambia wajirekebishe, tuu ila ikiindelea tutawaanika humu.
27 comments:
true sintah, nimekukubali kwa hilo....,wakiendelea kama vipi waanike bwana ni tabia chafu sana mimi binafsi siipendi ni aibu sana...
Kwa kweli hata mie nakuunga mguu manake its a big shame!! yaani wanaiga mpaka inabore,sinta komaa nao seriously wasipojirekebisha waabishwe na vizuri kuwatenga hata kazi zao tuzisuse!!hee jamani mmezidi kumbeep mungu ngoja aamue kupiga sijui hii dunia itakuwaje? wishing you all da best in this issue.
WATAJE TUU MAANA TUMESHASIKIA SANA HIZI HABARI LAKINI NANI ANAHUSIKA HATUJUI
Sinta ya ngoswe mwachie ngoswe, kwani ni uamuzi wa mtu kuwa straight, gay au lesbian, sasa na mashoga je mbona munawakumbatia kwenye kitchen party, sijui auntie bilali na kadhalika, waache watu wa experience, wakiamua kusagana its up to them, wakiamua kufirwa ni wao, haya ni maswala binafsi, naona achana na kupoteza muda kwenye hili, tusibaguane na sawa na kubagua mwenye ukimwi.
Waanike bibie manake wewe ni mtambo wa kurekebisha tabia, hata mashoga zako wataje manake tunasikia nao wamo
Wataje wataje Sintah nadhani itawafanya waone aibu
afu ukishawaanika ndo iweje???? usagaji ni tabia mbaya na chafu kama ilivyo kuwa kuvaa nusu uchi(kuweka mapaja na matiti,tumbo nje),uchangudoa,kufanya mapenzi kinyume na maumbile(iwe kwa wanawake au wanaume) na mengine mengi.... sasa ni jukumu la kila mmoja kuamua anafanya lipi anaacha lipi na ukizingatia tuko kwenye siku za mwisho watu wanatembea hadi na watoto zao.
watu kama hao hawatakiwi kutishwa... ni kukaa nao na kuwaelimisha zaidi athari na jinsi ambavyo jambo lao halikubaliki kijamii wala kidini(kama kweli umeletwa kusaidia jamii) kwasababu mwisho wa siku uamuzi ni wao kuacha au kuendelea wewe si wazazi wao wala MUNGU kuwapa hukumu.
KUMBUKA:- unavyomnyooshea mwenzio kidole kimoja vilivyosalia vyote vinakuelekea wewe.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
wataje tu wamezidi sasna mbona kwenye magazeti wanatajwaaa
big up sintah! yn aisee wataje 2 wana tabia mbaya sana wata2haribia watoto we2.
TINA UNAPOENDEA SIKO TENA SIKO KBSAAAAAAAAAAAAA NI VIBAYA WE ALL KNOW THAT HATA HAO WANAOFANYA WANAJUA NI VIBAYA NOW WHO ARE YOU TO JUDGE THEM????? WHO ARE YOU???? SO KWA WANAUME NI SAWA????? AND WAT IF SIINJOY KULALA NA MWANAUME??? WAT IF MWANAMKE MWENZANGU NDO ANANIFIKISHA???? MI NAONA MAJUKUMU YAMEKUPUNGUKA HIVI UMEKOSA KBS CHA KUFANYA KBS KBS MPK UINGILIE MAISHA YA WATU. THE SO CALLED YOUR BFF KNOWS HOW THIS SHIT TEST LYK SO MUULIZE ATAKWAMBIA ILI UKAE KIMYA UACHE WATU NA MAISHA YAO
ndo unajua leo???????? bytheway haikuhusu serikali iliingilia sn sn hili swala kwa upande wa wanaume lkn mpk sasa watu wanafanya sasa sinta who are you hata ukisema unawataja????? una ushahidi?????? umewakuta kwenye tukio??????TUTOLEE DANGANYA TOTO AND GET THE FUCK OUT OF THEIR LYF
namna iyo,wape yao NYAMBAVUUUUUUUUUUUUUUUUU...
hao wanaoshabikia ndo wenyewe haswaa manake daaaa! limewagusaa!!! wee unayedai kuwa huridhishwi na mwanaume,ni kwamba umetune akili yako hivyo,Mwenyezimungu alituumba wake kwa waume akijua kabisa ndivyo inavyotakiwa kuwa,hayo mengine ni yako,pia jaribu kutumia midoli kwanza may b huyo ulokuwa naye haikuwa size yako hope you understood, najaribu kupunguza ukali wa maneno.mie nnchoona mnapenda sana kuiga mambo ya magharibi,ambayo hayawasaidii kitu chochote,tena mnaiga mabaya sana.hata mashoga hatuwafagilii kabisa lakini one step at a time,tunaanza na nyie wenzetu,badilikeni,tafuteni shughuli za kufanya kwani mtakuwa bize hamtapata muda wa kuwaza kusagana.
Oh no! You didn't say what? Tusiwabague mxxxxxx tena hao wanao jiunga ukubwani yani hawakuzaliwa mahanithi wachambuliwe kabisa wasialikwe hata kwenye kitchen party mana wana kasoro ya kujitakia wenyewe wapigwe bakoro. Wataaaaaaaaaaje? Wasitualibie Mila zetu na mambo Yao ya kuiga mmxxxx nchi za majuu hazina mira wala haya hawa wameshalanika mpaka wanaozwa na mapadre dini gani hizi zisizo mwogopa mungu. Mxxxxxxxx wataaaaajeeeee.
Mbona unaogopa na kumtisha hivi . Kumbe unajuwa ni sooooooo kusagana hee wewe si una enjoy bwana sasa wacha utajwe tu! Unajiendekeza tu eti bwana anifikishi jifikishe Mwenyewe kenge wee unangoja bwana afanye kazi jitume huko.
ni kweli kwamba hapa duniani kuna kitu kinaitwa maadili. lakini kwa jinsi muda unavyozidi kwenda maadili hayo yamekuwa yakibomoka tena kwa kasi ya ajabu.unfortunately maadili hayo yako kiimani zaidi imani za dini) sasa dunia hii dini sasa hivi imekuwa tu biashara..na si vinginevyo..unategemea nini?? mambo ni mengi sio tu usagaji kuna ushoga, kutembea nusu uchi, kujihusisha na kimapenzi hata kama ni TABOO ( i mean related like bro,sister, mother son, father dota etc, kinyume na maumbile na mengine mengi) kwa kweli ni vingi... inafikia mahali hata hatujui what will be next... God forbid! mambo yanatokea ambayo kwenye vitabu vitakatifu (Bible & Quran)is strictly forbidden. ni uhuru uliopitiliza ambao sadly you cant even control. Ni maamuzi ya mtu na pia bahati huwezi kujua nini mtu anafanya in privacy..kama yeye hana hofu ya Mungu atafanya chochote.
ni jukum letu sawa kukumbushana lakini jamani..ni ngumu mno! kila na pia imefikia mahali ni wazi kwamba watu tunafanya chochote as long as kinafurahisha nafsi yako. in short there is no control over whatever a person wishes to do! ni maisha yake labda tu kila mtu kwa nafasi yake kama mzazi ndugu jmaa unaguswa na na kuona hali hii si nzuri basi jaribu kuwa mfano kwa jamii yako...watoto hasa ili wakiwa wakubwa wawe wamejijenga nafsini kuwa mambo flani kwa kweli si mazuri...hofu ya Mungu itamwingia na hata ikitokea atafanya mmoja au wawili na kwa vile ataibuka na justification ambyo yeye kama yeye itakuwa imemridhisha.
Kuwaanika is not a soultion. there is a long way to go. make sure u dont violate human rights, freedom, etc!
kama watu wanasagana ni maisha yao na maamuzi yao, usitake kuwaingilia hadi ndani, kila mtu na maamuzi yake, sasa ukiwaanika wewe itakuongezea au kukupunguzia nini. kama ni watu na starehe zao, na wewe tafuta njia sahihi ya kujipatia starehe zako.
"Ten years ago, people of a specialized commandos operating in Vietnam were unfairly convicted by a military tribunal. Escaped from a maximum security prison fled to Los Angeles living in hiding. They are still sought after, but if you have a problem that no can solve, and if you can find them maybe you can hire the famous a-Team. "
hivi nyie mnaojiita mastaa wa bongo kuna hata mmoja ni kioo cha jamii labda kioo cha mashaitwani
No hawamdhuru yoyote kwa kufanya hivyo ni maisha binafsi kabisa hayo tena yanafanyika chumbani waache wawe huru na maisha yao km dhambi au la mungu anajua na km wanamdhuru mtu jeshi la polisi na magereza yapo.
You are very right!!!!we sintah msenge nini? who are you to judge people kwani wakisagana wamekuja kusagana kitandani kwako? mbona wewe ni malaya na hatusemi? nyambafuuu!!! mbona kuna wasenge wengi na husemi. stupi stupid huna akili wewee
LOPE LOPE WATAJE THEN NASIE TUTAKUSAIDIA MAANA WENGINE WANYOA VIPARA WANATAKA WANAUME KWA NGUVU HUKU WAKISAGANA
KWELI KABISAAAA WATAJE HAO MASTAA UCHWARA
NYIE MNAESHABIKIA HUO USHETAN WOTE MLAANIWA NA HAKIKA CKU MOJA MTAULIZWA NA MUNGU JUU YA USHABIKI HUU, NYIE JIONENI MMEJIUMBA TU LAKN KUNA SIKU MOJA TU MUNGU ATAWAONYESHA,,, WEWE ULIESEMA HUCKII RAHA NA WALA HUFIKISHWI NA MWANAUME SHAME ON U!!!!!!!!! KENGE WA MADOA DOA,,, NYAMBAFF HIV UMEZALIWA WEWE???
GOD FORBID!!! WOTE MNAOSHABIKIA HUU UFIRAUNI HEBU KAENI CHINI MJIULIZE KWANN HASA MNASHABIKIA NA MJIULIZE MUNGU YUPO AU HAYUPO?NA KAMA YUPO MTAMJIBU NN KUHUSU SWALA LA KUSAGANA AU USHOGA?MAANA HAKUWA MJINGA KUUMBA WATU WA JINSIA MBILI TOFAUTI
sinta waanike tu, wewe malaya lakini unachukua wanaume si wanawake. mambo ya kuiga mambo ya magharibi hatuyataki. hawa wanao support yaelekea ndio zao. waanike tuwajue wasije wakatuharibia watoto wetu. tabia chafu>>!!! kwani mungu alikosea kumuumba adam na eva...!!!mbona hakumuumbaq eva na asia.... anika Sintah
toa uchafu wako hapa, mwanaume hakufkishi vipi? solution ndio ukaona mwanamke mwenzio. stupid woman..!!!! unatudhalilisha. Kwani wanaume waliumbiwa nini...!!!! huna adabu na aheshima pia. mamako anajua kua unasagwa... shetani wa mguu mmoja wewe. Sintah, waweke hadharani hawa iwe fundisho kwa wote wenye tabia za kishetani.
Post a Comment