![]() |
with or without Diamond she can live |
![]() |
Lope lope with Wema |
hii ni breaking news
kwa wale msiojua Wema Isaack Sepetu amepata her own ride this week,sasa mimi ningependa kuwaasa wadada wa mjini,jamani jamani chonde chondeeeee msije mkafanywa vya kufanywa ili na nyie mpate Lexus,amini kila mtu ana bahati yake nawe utapata yako kuliko kwenda kutafuta kwa udi na uvumba,VITAKUTOKEA PUANI.
Wema congs mammy,wenye wivu mtasonyajeeeee?maana ooh vile
kazi kwenu
zoom upate jina litakuja LEXUS
49 comments:
hahahahahahaha ila angetulia hakafanya ya mna kuliko kuendelea kuwa na scadal kila kukicha mna tumemchoka magazetini hasa scadal za wanaume duh kazd uyo dada kama wampenda rfk yako mshauri hatulie wanaume wanamzeesha kma hajijui.
scadal ndio nini na wewe? sema scandal...!
Hongera zake mdogo wetu.
Simah
yale yale ya kina Ray na magari, watu tumebadilisha magari mpaka tumechoka, tunataka kuona nyumba kama Mamvy...hapo ukute card ya gari ina jina la mtu mwingine, lol.
we inakuhusu nini? mbona mnapenda kuangalia ya wenzenu tu ya kwenu hamyaono?? we unajiona uko sawa au kwa kuwa umepewa mdomo mkubwa kuzungumzia wenzio. mwacheni jamani kila mtu ana maisha yake. keep it up Wema.
safi sana wema wachome watu na bahati zao mtaishia kufunuliwa bureeeeeeeeeeeeeeeee
Mtoto mrembo anahitaji ushauri kwa maana mhhh.....hatari!!!!! uzuri waweza upoteza tukakusahau mara moja, japo kila mtu hufa kwa ahadi ila ukijikinga na kujistiri mambo mengine yaweza kukuepuka kama UKIMWI! Nakupenda sana WEMA umzuri sana, jaribu kujiepusha na vyombo vya habari na wanaume maarufu, naomba iga mfano wa HOYCE TEMU, wewe ni mzuri kaka yeye au kuliko na unastahili heshma hivyo jiheshimu, utaheshimika katika jamii na maovu yako yote yatafutika, maovu hufunikwa kwa mema, nakutakia maisha mema, UBARIKIWE SANA, Amen!!!!!
Yours,
Mshauri Nasaha.
Mtoto mrembo anahitaji ushauri kwa maana mhhh.....hatari!!!!! uzuri waweza upoteza tukakusahau mara moja, japo kila mtu hufa kwa ahadi ila ukijikinga na kujistiri mambo mengine yaweza kukuepuka kama UKIMWI! Nakupenda sana WEMA umzuri sana, jaribu kujiepusha na vyombo vya habari na wanaume maarufu, naomba iga mfano wa HOYCE TEMU, wewe ni mzuri kaka yeye au kuliko na unastahili heshma hivyo jiheshimu, utaheshimika katika jamii na maovu yako yote yatafutika, maovu hufunikwa kwa mema, nakutakia maisha mema, UBARIKIWE SANA, Amen!!!!!
Yours,
Mshauri Nasaha.
duuuuuh! huo mkorogo wa wema umekolea haswaaaaaaaaaaa,mpe hongera zake bana kale ka bwasheee kalikuwa kanampotezea muda wake bora amekapiga chini.watu wazima ndio mpango mzimaaaaaaaaaaaaaa masharobaro zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Lope lope natarajia kuliona gari lako soon.
Much love baby
kisses.
Hongera Wema on Point Jlo katika posts zote kuwahasa watoto wa mujini wasiharibu marinda i like it maana ni kweli wakiona mwenzao kapata basi nao kutwa kutafuta mabwana wataharibiwa na kuishia kupata ngoma. Wema sasa utulie ulelewe mdada achana na scandals za mujini uliyempata mpende na akupende kama ni mume wa mtu chuna vizuri mradi mywife asijue na usiharibu ndoa ya watu. mwisho wasiku akili kichwani siku ukiachwa uwe upepiga hatua siyo urudi squire one au zero kabisa i hope unanipata bibie all the best Diamond almasi hapo lazima ajichinje atakomaje he so wasted mtoto mzuri's time. alikuwa anasema wanini wanaume wenzake wanajiuliza watampata lini halo halo mjini tambarare milima iko usukumani
nyooooko!!! umejipendekeza kwa wema,sa si unamuangusha shoogaako jokate!!! yani wema ndo alitakiwa awe JLO, at least ana mvuto wa ki jlo sio we kuma!!!
Lexux my butt, sasa kwani kuwa na Lexux ndo nini? mbona watu washamba jama?
Kweli ndugu yangu hapo juu wanaume wanamzeesha hajijui tu huyo atakaeoa anachukua scraper.
HUYO TULISHAMZOEA CHUPI MKONONI NI KWA MUDA TU. YANI NA KUUZA K MIAKA YOUTE HIYO NDO KAGARI GANI HAKO JAMANI. AWE TU SINGLE TUJUE MOJA
im happy for u wema huyo diomond alijiona bila yeye huwezi akakutumia kama tambala!! sasa imekula kwake mazima mana wewe ndio ulikuwa unampa umaarufu kaza roho achana na ule uchafu wapo watu wema nje kwa ajili yako kwani yeye ana nini??na alikupa nini??yani wema wewe ni mzuri sana kuwa na mwanaume wa type yako watu wanakutumia ili wapate u super staa,pls pls siku nyingine usirudie
by
judth
hongera zake ila magazeti ya jana yameandika kwamba hawezi kuishi bila huyo almasi wake kweli? hebu Sinta jkaeni na huyo rafiki yenu asirudi kwa huyo bwege manake anamsema vibaya sana kwani yeye ni nani bwana, hongera Wema ungezeeka kwa kumpikia mama mkwe
Mi naomba utuscanie kadi ya gari, je ina jina la Wema?!
tEHETEHEEE!! Mwambie atulie sasa
Joseph asije mwacha bure
kiukweli nimempenda wema bure kabisa na wish siku moja nikutane nae japo niongee nae ,sasa hvi asonge mbele na aachane na skendo za kila siku, ni mwanamke anaejiamini na mkweli siku zote ktk mapenzi, she talks sense when it comes to relshp, love her mooo
Wema umetisha mammy! Yaani mimi nakupendaje, motto m cute, yote maisha, achana na hake ka almasi uchwara, hakana hadhi ya kuwa na motto mzuri Kama wewe bana! Yani Leo ntajitoa out kujipongeza kwaajili yako mrembo wangu. Jlo kaza buti, visokorokwinyo vinasonyaje!!!
congrtn Wema and keep it up,but nataka ufanye maendeleo zaidi ya hayo ili wapate lakusema loooo!
jane bomba
andunje nawe mwenyewe umeona hilo ndio gari la kulinadi,acha ushamba,
Ebu lete umbeya, mume mpya anaitwa Joseph?
hahahaha nimekupendajeeeeeeeeeee,tena je kma kweli isiwe kapewa kwa mda mambo yakiisha anaambiwa haludishe.
He!!! makubwa Joseph nani tena ila anabahati akiachika tu kidogo anakuta wanamsubiria mlangoni
me napita waungwana.......
Wema songa mbele, anagalia future yako zaidi achana na hawa masharobaro hawana mapenzi ya kweli.
joseph ana benz nyeusi ana hela ndefu huyo
watoto someni mpate future zenu achaneni na kupata mali za uzinzi jamani muogopeni Mungu mbona bado mda umri mdogo ngono zinazeesha jamani lol kila kukicha wnaume wapya hivi mbele za Mungu mtasema nini tulipitia huko hakuna la maana ni kujiongezea midhambi tu
Hongera zake jamani. nampenda sana wema ni mrembo lakini haangalii wanaume wakuwa naye mwanaume kama diamond wala hafananii jamani . muulize Nargis amepata mume wa maana jamani sio wasanii sijui nini y? usiniangushe tafuta jamaa unayeendana naye hata kama sio maarufu
gari gari utalala huko?? angetuonyesha nyumba kama ya mwamvita makamba tungeona ana akili gari ni nini ushamba tuu,nenda U-turn cheki nyumba ya mwamy mbona utaota usiku wewe yale ndio maendeleo sio huyu kutwa magazeti
hata iweje na mikashfa trillion me lav wema so much kacute jmn Mungu amuweke tuje tuone uzao wake utakuwaje...hongera wema wengine hata bajaji hatuna TUMIA ULICHONACHO UPATE UTAKACHO wewe ni wewe na utabaki kuwa wewe.....
ndgu unautani nn eeh wawe na mjengo kama ule c watajiona awafi wala hawako bongo,yule daa kafunika na ndo tunaweza kusema yy ndio CELEB WA BONGO wengne ovyoooooooooooo.
mmmmmmh!!! sio JOSEPH KUSAGA kweli????????/
ila mnao dis gari la wema kwa kweli ni wanafki tu. Lexus sio gari la kusifiwa like we have never seen it before lakini sio gari la ku sema eti onho yani ndo cha kusifia! kwa level yake amejitahidi, ni maendeleo japo ingekuwa amenunua mwenyewe ingenoga zaidi. nani asiyejua kama siku hizi kumiliki gari sio luxury, inakuwa kama hitaji muhimu kutokana na mazingira yetu yalivyo. nini lexus hata angenunua starlet, duet, vitz, corolla jamani ni maendeleo kwani sio kila mtu anaweza ku afford japo kuna wengi wanatamani japo hata wavipate. hivyo kwenye ukweli tuseme ukweli kwa level yake anastahili pongezi, kwani binafsi Lexus naizimikia sana tu, ni chaguo tu. HONGERA DADA.
haya jamani napita tena, sinta weka hata mkeka wapita njia tunywe uji wa kungu, turembue, tukojoe, tuoshe nyapu zetu then tukalale! wao na magari yao, na sie na nyapu zetu!
"Wema kununua gari" Is it a breaking news?!!!! Sintah nina wasiwasi na weledi wako
Nawe kauze yako upate hata bajaji,toka umeanza kuuza umepata nini wewe?? heri yake yeye hata amepata hako! umebaki kumnyooshea wema kidole wakati nawe marinda yako yooote yalishalegezwa.....!kwenda huko wewe kutwa kuchwa kubaki kula vumbi tu wakati wenzako wako kwenye viyoyozi
Katuscanie mkundu wako tuone kama bado una marinda achana na gari ya wema, haikuhusu iwe yake au isiwe yake
Hehehe shem Joseph!!!!Hongera mwaya Wema, hyo diamond atajiua mwaka huu, kula mihela mwaya ila usimsahau Mungu wako na kuwajali wenye shida
JEALOUSY IS A SICK&SAD DISEASE,YAKO IKO WAPI WW UNAYEPONDA LEXUS AU NDO WALE WALE WANAOAZIMA MAGARI,NYOOO KAFIE MBELE MSAGAJI MKUBWA MUACHE WEMA APAEEE
NI KWELI KABISA HAO WANAOLIPONDA HILO GARI UKUTE HATA MKOKOTENI HAWANA,CHA MTU CHAKE HATA KAMA LEVEL YA CHINI
hahahhaah nimefurahishwa na maneno ya mama candy mana ni yale ninayoyasikiaga kwa wasicha na wa mtaani kwetu mhhhh nyapuuuuuuuuuuuuu
hongera wema tena saaana tu mungu akuzidishie , inshaalah
ha ha ha ha ha ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamni ascan marinda ha ha ha ha ha ha ha ha wabongo raha sana by seda kibonge
Naenjoy kuingia humu jamani maana kuna watu wanamanenoooooooo mmh!
JOSEPH GAN JAMAN HUYO, EBU TUPENI INFORMATION, SA HIV KAAMUA FANYA MAMBO KIMYA KIMYA HUYO WEMA EHHH
Jamani eeee...
Hili si ndio gari lililogongwa la kuazimwa na Mume wa mtu??
KIKO WAPI???
Aibuuuuu
Eti Wema anunue gari,kwa pesa gani?? Ya kuuza jiuchi chakavu??
Jamani hii gari si ndio kapigwa nalo juzi na mke mwenye bwana alomhonga Wema? Tena gari linyewe kanunua mke wa huyo bwana
Post a Comment