Habari za leo Dada Sintah. Naomba unisaidie kuweka tangazo la huduma yangu kwenye blogu yako. Nanguliza shukurani zangu za dhati kwako.
HABARI NJEMA SANA KWA WANAWAKE NA WANAUME WENYE MATUMBO MAKUBWA.
NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunayo dawa nzuri na ya asili ya kukata tumbo ( kwa wale wenye matumbo makubwa ). Dawa zetu ni nzuri sana na hazina side effect. Hazijachanganywa na chemicals zozote. Matokeo baada ya siku kumi na nne...Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0767010756 au fika katika ofisi zetu zilizopo eneo la Changanyikeni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
kwa watu wa mikoani tutaipataje jlo
Nimeulizia mbona bei zao ziko juu sana jamani kama vitu vya asili si wapunguze bei.
PIGA SIMU HIYO WATAKUPA MAJIBU JLO HAHUCKI TENA JAMANI PIGA NAMBA HIYO HAPO JUU KAMA UNATAKA USIOGOPE
dawa ya kupunguza tumbo eti laki moja.he makubwa si bora nifanye mazoezi. Aabeg watumie dawa zao wenyewe vitu vya asili ghali hivyo kuliko hata madukani nipo nje ya africa ila kuna products cheaper than that, wanted to support them ila siwezi,kununua laki moja,kutuma laki moja hee!
Jamani kabla hatujapiga simu naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi kutumia hizi dawa au anawafahamu nimeona kwenye blog nyingi wametangazwa.
wewe nawe laki moja nayo hela bongo siku hizi.....eti uko nje ya nchi...kha wafanya nini huko bora urudi nyumbani
Post a Comment