Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

UCHUMI SUPERMARKET NA SONY BRAVIA YA 3D


Jlo na miwani ya 3D

                              kama kawa nilikaribishwa maakul


Uchumi Supermarket pale pugu road jengo ni lile lile
3D  jamani nahisi ukiwa nayo mmmh wewe utakuwa huendi cinema kuangalia movies maana unaona kwa karibu sana yaani ni ya kipekee
miwani yake tuu ni laki na nusu,sasa nilivyovaa nilihisi kama nipo movie yaani it was the clearest movie niliyowahi angalia  ila nikamwambia yule kaka aliyenipiga picha kaka angalia mimi natangaza biashara yako wewe unanitangaza mimi kuwa bundi hee miwani tuu mizito
hizi technology za sasa ni bomba
fika Uchumi Supermarket uione na wewe
Uchumi Supermarket
Your Home of Value

9 comments:

Anonymous said...

i am loving the dress

Anonymous said...

mmmh hiyo miwani ni ya palstic sio mizito jamani au ni ya kichina basi manake huku nilipo nimeona miwani ni ya plastic!

Anonymous said...

bongo vitu bei,miwani tu ni laki na nusu.wakati huku ukiingia cinema,ticket ya cinema,ni pamoja na miwani,ukiondoka,unaondoka nayo.na hizo tv,ukiuziwa,unauziwa na miwani yake.kama miwani tu ni laki na nusu,hiyo tv sijui ni bei gani

Anonymous said...

mbona simu zenyewe ni za bei rahisi sana? hata housegirl ananunua!

Anonymous said...

Miwani ya 3D laki na nusu!!!!! oh my god!!! kweli hawa wachumi wamekuja kuichuma Tanzania. kwa watu wanaotumia dstv wanatakiwa wapate hizi bure kwa sababu sky wanatoa bure, mimi kila nikienda kulipia bando yangu ya sky napewa na miwani yangu naondoka nayo. na kila ukienda kuangalia muvi ya 3D kwenye cinema unapewa miwani ya 3D na sio ukimaliza kuangalia muvi uirudishe no, ni unaondoka nayo. usiibanie hii sintah luv you.

Anonymous said...

hiyo uchumi ipo pande za wapi mpnz

Anonymous said...

kweli inashangaza miwani laki na nusu wakati inatakiwa unaponunua tv upewe miwani bureee ni sawa na kununua tv halafu wanakuuzia rimoti haiingii akilini hao uchumi wanataka kuchuna watu kiaina au wameona wabongo washamba sana? sio fresh nyie uchumi acheni wizi wa mchana!

Anonymous said...

Jamani sinta, mbona hivyo kwani lazima uvae hiyo miwani ya lki na nusu kuangalia 3D na wakati mlimani city tunanunua elfu 5000 na tunaangalia vizuri na kuondoka nayo.

Anonymous said...

tutolee ushamba wako hapa acha kuiga blog zingine be urself huwawezi dada