Katika pita pita yangu na ufukunyuku ulionijaa nimegundua kuwa wasanii wa bongo hawana maendeleo kama walivyowasanii wa Uganda ,Nigeria etc,
Kwakweli kwa wenzetu msanii akipita anaonekana ni msanii,lakini hapa bongo ni tofauti wasanii hatuna maendeleo ya kuitwa celebrities at all na yote haya yanasababishwa na sisi wenyewe wa Tanzania , UZALENDO NA WIVU ni marafiki zetu zaidi
Utakuta mtu anadiriki kusema msanii bongo?au nitaangalia movie za bongo ili iweje?sasa kama wewe hupendi cha kwenu nani sasa atakipenda?wenzetu wa Nigerrr movie zao zinaenda platinum kwasababu wa Niger wenyewe wanapendana sana wanapenda ku support each other but when you come to Tz is vice versa
GO east,west,north,south, central home is best
They call me sintalicious a.k.a jlo Tz a.k.a Nothing but confidence
Mungu nijalie niwe kama zamani jamani kwa wale wanaoijua hii ndege wasaidieni wenzenu msiulize nilienda wapi
12 comments:
Sintah sio wote tunaojua hiyo ndege na sio wote pia tunaokuchukia, wengine kama mimi ninakufurahia sana maendeleo yako ni kwavile tu huwezi kujua. Yaani wasichana wengi tungependa kujiendeleza na kutafuta maisha kama wewe tungekuwa mbali sana.
Kila siku naingia hapa najiuliza uliwezajewezaje kuwa ulivyo sasa, lakini sipati jibu. I really wish to hear your story.
Anyway to cut the story short naomba tu kujua hapo ni ulikuwa unaenda wapi!?
Sintah tuone basi na gari unayoendesha shosti....yaani wewe kwangu ni role model kwakweli.....yaani wanawake tuanke jamani....we can do it...
kwa faida yako anonymous wa kwanza
hii ni Emirates (ek)723 from Ebbs to Dubai(dbx)
halafu niliunganisha Dbx mpaka pale kwa malikia Elizabeth
sikutaka kusema ila kwa kuwa umeniomba nami nipo kwaajili yako kukuelekeza na nini nimekujibu
senkyu
aaah hawakawii kusema najishauwa unipigie cm ukae barabarani uione nami nikuone si eti eeeh
haina majotro
my dear sintah sio kwamba hatupendi kuwasupport celebrity wa kobongo but wao wenyewe hawataki kujisupport cos ujue ile pesa nitakayoitoa kununulia cd au dvd ujue nimeifanyia kazi vya kutosha na jasho limenitoka sasa kama wao hawajitumi katika kazi yao ili itoke quality nani anawasapoti? mi nataka nitoa pesa yangu na nipate kitu kizuri. So kwakweli wasanii wakibongo hawajitumi kabisa na sijua kama wanaithamini kazi yao ya uigizaji kama nchi za wenzetu. ni hayo tu
Hivi we sintah nani hajui kua ulininyimwa visa ya uk?
Asante kwa kunijibu mwaya.....Hongera Sintah...Maisha ni hatua na Mungu akikuwezesha kupiga hatua moja hadi nyingine basi huna budi kumshukuru......Yaani hata watu wakuponde vipi Sintah mimi naungana na wachache wenye kupenda maendeleo na kukwambia hongera sana..
Wangapi tunalala usiku tunaota tupande hata Precision tuende Dar lakini inakuwa ni kizungumkuti!!!??? kila mtu anapenda maisha mazuri...atakaye kusema vibaya ujue tayari wivu anao...
Yaani mi naamini kuwa aliyekupa wewe iko siku na mimi nikikazana ataniona na kunipa......Sintah you can share your life story na sisi tujue umefikaje hapo.....I AM JUST SO INSPIRED MPAKA SIJUI CHA KUANDIKA TENA...
kukata ubishi cinta wawekee picha ulizopoiga uingerezaaaaaaaaaaa....na dubai...aaaaagh! jamani huko UK na dubai siku hizi watu wanakwenda kama k/koo...ukipata mume wa mtu tu mwenye vijisent vyake basi atakuzungusha duania nzima...china/bangkok/japan/dubai/uk..MPOOOOOOOO...Uchumi mnao lakin mmeukalia...watu siku hizi hawataki kina juma nature..ni waume za watu kwenda mbele.
Huu ndiyo tunaosema ni ushamba. Inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege.
Tutasikia huko UK uko mji gani. Dunia ni kijiji kidogo sasa hivi.
Wewe ni bwege wewe. Kwani UK mbona wabongo kibao wako huko, wanakwenda, wanarudi. Kwa hiyo ndiyo unafikiri ni big deal. Ma-celebrity wa bongo mmechoka sana kimawazo. Kwa kweli tuna kazi kubwa ya kuwatoa ushamba malimbukeni kama wewe.
Wewe mshamba kuna tofauti kati ya Nigeria na Niger. Ulisoma shule gani wewe? Kama unashindwa kujua tofauti kati ya vitu hivi vidogo utaweza ku-act movie gani ya maana?
Ukweli wa mambo ni kuwa Bongo hakuna hata movie moja yenye viwango.
nakupenda sana mdogo wangu Jlo daa! umebarikiwa jamani umezidi kuwa mzuri Sintah
Post a Comment