HE HE HE JAMANI MKE WA MGANDREE, HIVI WEWE SINTA KATIKA WATU WOTE UKAONA UOLEWE NA MGANDA. KHA YANI UMEKATA TAMAA YA MAISHA KABISA, ANGALIA WENZIO TUMEOLEWA NA WAZUNGU NA MAMBO YETU NDO KAMA HAYA YANAKUUMAAAAAA
wewe anonymous im different tena tuheshimiane you know what why dont you open your own blog na uachie comment kwangu mimi siwezi kuachia comment tena kabisa niliachia mwanzo na zilinifundisha nimeweka huu upupu wako ili watu wakuone jinsi unavyotumia miguu kufikiria na wala si kichwa ovyo nachukua lako sonyo mxiiiiiu nenda huko yaani hapa pataendelea tuu kuboa maana no comment za umbea na wewe ndio mbea mwenyewe ovyo ni wastaarabu wanaochangia maada za maana bye bye
Mbona unajistukia, hakuna mtu yeyote unae mkera kwa lipi hasa la maana hadi mtu akeleke, we ni mdada wa kawaida kama wengine, hivyo acha uswahili humu watu wanaingia kufurahi, kupunguza uchovu na si kukwaza mtu, uwe na amani
7 comments:
aaaaa kabisa mwenzangu mana wamekuandamaaaaa weeeeeeeeeeeeeeee kipindi kile sasa kiko wapi ps we nimfano bwana i wish i could be u
aaaah sana juliana mimi tena vinaingilia huku vinatokea kule ndip mpango mzima hapo chacha
HE HE HE JAMANI MKE WA MGANDREE, HIVI WEWE SINTA KATIKA WATU WOTE UKAONA UOLEWE NA MGANDA. KHA YANI UMEKATA TAMAA YA MAISHA KABISA, ANGALIA WENZIO TUMEOLEWA NA WAZUNGU NA MAMBO YETU NDO KAMA HAYA YANAKUUMAAAAAA
hata ufanyajee huwezi ifunika u turn hata robo! nimeangaliaangaliahumu naona michosho tuu raha ya blog comment bibieee!
wewe anonymous im different tena tuheshimiane
you know what why dont you open your own blog na uachie comment
kwangu mimi siwezi kuachia comment tena kabisa niliachia mwanzo na zilinifundisha nimeweka huu upupu wako ili watu wakuone jinsi unavyotumia miguu kufikiria na wala si kichwa
ovyo nachukua lako sonyo mxiiiiiu
nenda huko yaani hapa pataendelea tuu kuboa maana no comment za umbea na wewe ndio mbea mwenyewe ovyo
ni wastaarabu wanaochangia maada za maana
bye bye
Mbona unajistukia, hakuna mtu yeyote unae mkera kwa lipi hasa la maana hadi mtu akeleke, we ni mdada wa kawaida kama wengine, hivyo acha uswahili humu watu wanaingia kufurahi, kupunguza uchovu na si kukwaza mtu, uwe na amani
wabongo mnachoshaje na mablog yenu ya umbea mtupu. michuzi tu namba wani nendeni zenu hamna lolote kujianika tu kutafuta mabwana nyoko zenu.......
Post a Comment