haya ndio mambo ya pikipiki
Bambo akiwa amelala,amevunjika mguu
Bambo akiwa ktk pozi
JAMANI WADAU WA PS KUWENI WAANGALIFU NA PIKIPIKI ONENI ILIVYOMFANYA
BAMBO NA WENGINE WENGI AMBAO HATUWAJUI
USHAURI WANGU NINGEPENDA KUWAMBIA SEREKALI WANGEZISITISHA,MAANA AJALI
KILA KUKUCHA
UKIJISIKIA KWENDA KUMUONA BAMBO UNAWEZA UKAPITA MUHIMBILI HOSPIAL NA UONE ANAENDELEAJE
PS BLOG INAPENDA KUMPA POLE SANA BAMBO MSANII WA SIKU NYINGI
SINTAH
No comments:
Post a Comment