Dada Sintah
nakupa hongera kwa kufungua blogspot
mimi kama mwanamke naomba nitoe hii mada kwa wale wanawake
wanaoshindwa kujizuia na kutembea na waume za marafiki zao kwakweli
hii sio nzuri kabisa,wanawake tupendane utakapokuwa unatembea na mume
warafiki yako kwani utavunja urafiki kati yako na rafiki,naomba wadau
wa PS mliongelee hilo
ni mimi
rehema na canda
3 comments:
hakuna la ziada zaidi ya tamaa hapo dada... unajua urafiki ni kazi na sio kama watu wanavyofikiri
hakuna la ziada zaidi ya tamaa hapo dada... unajua urafiki ni kazi na sio kama watu wanavyofikiri
Mhh, rafiki wa nini karne hii!! rafikio awe mama yako au nduguyo basi!! hakuna rafiki wa ukweli enzi hizi, rafiki wate njaa tupu
Post a Comment