dada sintah
kwanza nakushukuru sana kwa kujitokeza ukweli ni kwamba hauna minzani
kabisa dada tunakumiss sana dada na pia tunashukuru kwa kwenda shule
na sasa una kisomo chako
kwakweli Mungu wa rehema akusaidie na pia akulinde na kazi yako pia
mimi binafsi nakupenda sana tena sana anaendika annoymous na kukuponda ujueI:,
1. anakuogopa
2.Anakuonea wivu
USHAURI
kuwa mvumilivu kwani binaadamu tumetofautiana sana
kuwa mkimya na jitahidi sana utunze heshima yako
kama kweli uliolewa na kuachika wangapi wamefinga ndoa mara 3 na nne?
mfano mzuri ni dada dida na devotha sebuyoya anaetarajia kufunga ndo a
ya tatu sasa dont mind mamito wetu we are on your back love
its me your no one fan my photo is attached
Selina Joram
Rwanda
its me celina joramkwanza nakushukuru sana kwa kujitokeza ukweli ni kwamba hauna minzani
kabisa dada tunakumiss sana dada na pia tunashukuru kwa kwenda shule
na sasa una kisomo chako
kwakweli Mungu wa rehema akusaidie na pia akulinde na kazi yako pia
mimi binafsi nakupenda sana tena sana anaendika annoymous na kukuponda ujueI:,
1. anakuogopa
2.Anakuonea wivu
USHAURI
kuwa mvumilivu kwani binaadamu tumetofautiana sana
kuwa mkimya na jitahidi sana utunze heshima yako
kama kweli uliolewa na kuachika wangapi wamefinga ndoa mara 3 na nne?
mfano mzuri ni dada dida na devotha sebuyoya anaetarajia kufunga ndo a
ya tatu sasa dont mind mamito wetu we are on your back love
its me your no one fan my photo is attached
Selina Joram
Rwanda
Rwanda
4 comments:
That's good nimeipenda hyooo
Nasifa zote ulizompa naona hata wewe huelewi nini maana ya uandishi ukiwa umesimamia pale ambapo eti ameenda shule wakati nowadays shule imekuwa formality tu wengi hawana knowledge, including huu uandishi wa PS maana unaonekana hauna mvuto wa kipekee yaani umekosa uniquness ambao utanifanya nifanye my favourity blog au among.
Acha kukurupuka eti watakuwa wanakuonea wivu kwataarifa yako nayeye atakuwa anajifunza kwenye critisms hizo hizo na kuimarika. ignore au publish madam PS ila messege sent
mmh! jamani makubwaaa haya
lmao hahahahhahaha
Post a Comment