Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MILLEN MAGESE MTZ ANAYEPENDA KUWAINUA WASICHANA WENZIE (MODELS)WAFIKE ALIPOFIKA SIKIA HII:


   theface@bethmodelafrica.com (ONLY MODELS IN AFRICA)
               CALLING ALL AFRICAN MODELS.....

OXYGEN MEDIA,SHINE AMERICA, AND SUPERMODEL NAOMI CAMPABELL ARE 
LAUNCHING THE FIRST EVER SEARCH FOR...
                                THE FACE
           A NEW COMPETITION SERIES WHERE MODELS WILL BE CHALLENGED AND
  MENTORED BY ONE OF THE WORLD'S MOST SUCCESSFUL AND TALENTED SUPER MODELS.
             THE WINNER WILL BECOME THE FACE OF A MAJOR NATIONAL BRAND.
       SEEKING WOMEN WHO ASPIRE TO BEGIN OR HAVE JUST BEGUN A CAREER
IN MODELING.
             YOU MUST BE AT LEAST 18 YEARS OF AGE TO PARTICIPATE.
                 WOMEN 5'7' AND ABOVE ARE ENCOURAGED TO APPLY.
               IF YOU THINK YOU HAVE WHAT IT TAKES TO BECOME
            THE NEXT BEAUTIFUL FACE IN THE MODELING WORLD, APPLY NOW?

               SEND A CLEAR HEAD SHOT AND FULL BODY LENGTH PICTURES TO
                         DEADLINE JULY 12TH 2012.


             mfano wa jinsi ya kupiga picha ni huu

14 comments:

Anonymous said...

Mniwie radhi jamani, tangu lini Millen akawa world super Model? Bado hajafikia hicho kiwango, world super model tuwaachie wakina Naomi Campbell, Tyra Banks, Imani etc!! Akiweza kuwekwa kwenye Vogue, Elle, Vanity magazines etc, then tutamwita super model, lakini kwa sasa, ni model wa kawaida tuu ambae ana shindana na mamia ya models wa hapa States. Tusipende kupotosha watu na hayo majina makubwa, bali tuchukue nafasi hii kuwaelimisha nini maana ya world super model.
Baada ya kusema hayo, namtakia kila la heri katika fani yake, hopeful one day she can claim that title 'super model'.

Linah Bonaventure said...

Sintah mbona sioni jinsi ya kuapply??
I have the qualifications,,,pleaseee help me!

galfrend wa biba said...

mdau wa kwanza hapo guess hujaelewa post ya zintah,nowhere has it mentioned kuwa millen ni supermodel hii ni ya naomi campbell millen is trying to recruit some from here,naomba urudie kusoma...

Anonymous said...

then credits zisiingeenda kwake eti wafike alipofika yeye.....coz hata asingeingia hapo inbetween, still hao contestants wanaweza kutuma qualifications zao directly to Naomi

Anonymous said...

ye kafika wapi asituchoshe labda aseme wapite alipoishia au alipokwamia, nidhamu muhimu kwenye kila kitu

Anonymous said...

huyo millen mnavomwoneaga wivu..nawashanga...wakati kuna watu hawalali wanaota wawe km yeye, sasa kwa kuona hawawezi wanachoose kuwa haters..mjibebe tu

galfrend wa biba said...

She is model rightme sioni ubaya wowote wa millen kuwa recruit since najua she can link them to naomi campbell the face is one the most attributed on bringing out beatues in africa guess millen is just doing here part...sinta weka contacts watu wakatoe vipaji naona english ngumu sana

galfrend wa biba said...

linah email sinta directly kwa comment itachukua mda kumpata

Anonymous said...

Wee wa kwanza pumbu zako ur so jealouskwa level zetu milen yuko juu wee endelea kubeba box huko mxiuuuu

Anonymous said...

Sintah eeh wewe si ndio unstopable mjini hapa, hebu scan ile habari ya mwanamke aliyepata kichaa iliyotoka kwenye gazeti la leo la SANI, bahati mbaya hili gazeti halipo kwenye mtandao, tuwekee bibie ili wengine tuwaogope wanaume wa watu.

Anonymous said...

Hey dada sintah am realy intrested how do I apply? You need to post the contacts to which we can send our pics and details to! Help plz

Anonymous said...

next time utoe details za kutosha,hii habari yako nna uhakika haijamsaidia mtu yeyote maana umeombwa details za kutosha umeuchuna,na kma hukuwa nazo ulitakiwa kujibu.uandishi c fani zenu mnakurupuka tuu.post usipost haina kweree msg sent..

Anonymous said...

mnaotaka contact za jinsi ya kuapply huyu unstopable hawezi kuwapa nna uhakika hana maana angekua nazo angetoa,anakurupuka tuu kutoa habar hazijakamilika,tafuten njia ingine mpate uyu mzushi hana jipyaa.

Anonymous said...

kuna email add kule juu kabisa nadhan mnatakiwa kutuma huko,bidada naona ameuchuna,itabidi mu assume tuu ndo iyo mtume maana muda unakwendaaa!