come on papa |
Willy na mwenyekiti wa UWT Tmk |
si mnamuona Unstoppable hapo |
team# kidoti loving platinum bwana ulinifurahisha siku ile dakika tuu ukaniambia bwaaaa,, nasepa,,,, lolest nilikupendaje |
my no one in EA salute bro soon nita introduce my new aka aliyonipa chameleone |
Willy Malecella,Sintah na Nape |
wakati wako busy kuangalia mpira mie nipo busy na camera ya PS |
hawa watoto huwa nawapenda sana yaani kuanzia wao na mama yao wote wanaroho za kitasha big up mummy yao |
j wake lo,Nape n Johari |
shemeji yupo busy huku sauda anachungulia camera ya PS |
big Dad n Nothing but confidence |
unafikiri ninakuaga na shida mie?? lolest |
kiroho safi tuu na Mh |
nani amenuna?nani amenuna? huyu ndiye Diamond wa ......... |
hapa Bongo Movie ilishinda kidogo nikawa nafuatilia nilijua mtu mfupi ndo kafunga (steve) tusingekaa mjini |
heee niwape habari Chameleone kapeleka jina la Jlo Ug follow me @ chrisintah uone jamani jina linakuwa hili heee nuna kidogo leo jtano boss atakuona |
62 comments:
ukweli ni kwamba unatupa raha..chamilion hamtamchezea tena kawashikisha adabu na shigongo wenu..ogopa kuchezea wasanii wa rwanda na uganda..marais wao wanatambua mchango wao.
mamaaaaa...unapenda picha we mrembo.,sasa si ungepost moja ya chamileon isingetosha? had urudie bt hongera
Kumbe huwaga unapost usiku ukiwa kazini?
Ujanja wako wote mpaka uvizie internet ya dezo ya ofisini lol!
Haya nani Kanuna? Nani Kanuna maana Diamond ni cha wote cha mwenyewe alishahama!!
Koti lako nimelipendajeeeeee..umelipata wapi au Silver boutique?
sijawahi kuona mpare anasifa za kijinga kama wewe.kwan hao ninani si watu wa kawaida tu.hunaata aibu kukumbatia waume za watu.eti big dady utaishia kugusa vifua vya watu.au wakutombe wakuache.uwe na aibu mtoto.bania ila imekupata.bumbavuuuuuuuuuuuu
eti nani kanuna kwani diomond ni nani?
wakiitwa wanaume naye atapita domo kubwa.bora kipenzi changu wema umekaa kimya alikuwa si hadhi yako wala hamuendani.hana body structure inayokubalika bwana,haina viwango.
eti nani kanuna kwani diomond ni nani?
wakiitwa wanaume naye atapita domo kubwa.bora kipenzi changu wema umekaa kimya alikuwa si hadhi yako wala hamuendani.hana body structure inayokubalika bwana,haina viwango.
eti nani kanuna kwani diomond ni nani?
wakiitwa wanaume naye atapita domo kubwa.bora kipenzi changu wema umekaa kimya alikuwa si hadhi yako wala hamuendani.hana body structure inayokubalika bwana,haina viwango.
unachekesha eti ni post nikiwa kazini ??haaaaaa nipo na vodacom mambo kem kem wala siteseki kwa taarifa yako huwa nina post nikiwa kitandani nimelala
huko kwa ku post kazini daaah nimetoka kitambo sana,kwanza kazi gani ya usiku kipindi changu asubuhi usiwe unaropoka na chuki binafsi
hivi wew mbona unatubania huna lolote unauza nyuchi tu diamond kitu gani bania na hii uone unaacha kutuiwekea umetoa misaada kwa watoto yatima unatuwekewa upuuzi wa kupiga picha na washamba wenzio mfyuuuuuuuu bania na hii mbona hujawewka mambo mazur wema aliyoyafanya
hicho kichwa hapo kimefwata nini badala atulie nyumbani uzazi umeisha bania na hii au unasubiri vya bure mfyuuuuuuuuuuuuu ovyoooooooooooo nape kitu gani mshamba tu wewe.
mpareeeeeeee wewe mshamba wewe naona siku ukipiga na raisi hatutakunywa maji blog nzima utatuwekea pic tu
What da impact?
Nice pics nilitamani kuwa hapo lakini dah! kweli mipango sio matumizi, but poa namkubali sana chameleone!!!!
HA HA AHA AHA AHA AHA A SINTA UNA VITUKO SNA ETI NANI KANUNA IVI UNADHANI MWANAUME NI WA KUMGOMBANIA UNACHEKSHA SNA HAYA NI MAISHA TU KUTESA KWA ZAMU
Kujikomba tu mmxxiiiuuuuu
Mfupi wewe! Ona diamond alivyokuinamia duh size yako yule kuwadi steve
Poor weeeeh,
Eti dakika diamond kaniambia nasepa,ukacheka kinafiki itakuwa alikwambia sitaki kumuona wema!mnachekesha anduje na chai jaba,hana tatizo na mtu yule,mtamaliza yooote yake yamuendea..halooo
Mshamba mno huyu anoni umeliona eeeh??hahah bado sana
Naona unasubiri tu Diamond atamke sinta naomba!!! Bwahahahah udenda unakutoka kwa huyo almasi
Ukimuonaga almasi wahisi umeona uboo wa dhahabu we bibi naona unamaliza mibinuo ya kiuno yote
Anaiga mpare mwenzie utayaweza wapi ya yule labda uuze nyumba ya urithi
Endelea kubahatisha iko siku utaweza kweli tehtehtehteh
Ilooooooo huwa unapost asubuhi huna laptop bishaaaaaa nikuumbue hasidi wewe,unatumiaga internet ya times,kama hii uliweka usiku labda kiliombeka kwa kidoti.kishino.com hahahaaaaaaa itakuingia mpaka kumoyo najua huiweki lakini umeisoma*wink*
Ulitamani uwafate na wabunge ukapige nao pics ulichomolewa nini???sipati pic mi ndo nothing but confidence uwiiiiii
Ushamba.com shkamooo dada sinta
Ulikuwa unajaribu bahati yako kwa mganda nini,ulitaka kuipitisha night nae
hahahha jamani kama ningekuwa ni mimi ningefuga blog yangu duhhhhh hakuna hata mmoja anyekusifia wote pondea unawafanyaga nini sinta hahaha
Yani huyo diamond wewe ndio mnaendana wallah siku zote kwanini sijui sijaliona hilo mweeeh watu pipooo tmk to mbagala
alafu kila siku tunakuambiaga acha majungu mtoto wa kike sasa ndo nn kuandika eti nani kanuna?!!! hivi uswahili utaacha lini sintaaa na ushamba yaani hapo me ndo unaponikera na ndo maana unatukanwa kila siku......
chupi ya kufuma unayovaa ndiyo inakuletea allergy klutwa kukumbatia mabwana wa watu! we utafirigwa tu na kuachwa1 nicoompoop!
nonsense
Oh I can see comment yangu umeipachika kwenye kinena chako,haya sema nayo!manina unapenda za kutukanwa tu haya uchi wako
naona mmeng'aa na sauda apo,cjui ndo karolite au obagi,na shem apo pembeni kaeka zaazuu cjui,nywele imelainika,nway safi ndo masupastaa wa bongo nyiee!
education is sexy!
hahahahaha maskini weeee, sikupendi kama, sura kama mwanaume anayepiga bao kitandani
hahaha pouwleh sintah! yote yako hayo?
wenye maneno machafu mtayamaliza yote lakini ukweli utabaki palepale kuwa Sinta yuko juuuuuu!!!!
Jamani eti nani amenuna.. ingieni thisisdiamond.com muone kamuweka wema hahahahah!!! mjibebz
Huna lolote wezi wa waume za watu mjini. Emmy wa ustawi wa jamii, chunga sana waume za watu watakufikisha pabaya. Usidhani huyo kuwadi Saada anakupenda mpaka akupatie bwana, ipo siri nzito anayo na huyo bwana na hakuambii ila cha moto utakiona siku si mingi mamaa. Vijipombe vya bure visiwafanye mpoteze uthamani wenu nyie watoto wa kike
Wewe yule mbea mwenzio kifupi nyundo kama wewe STEVE ndio anakufaa na yeye anasura nzito ya kibahili ya kishamba kama yako fyuuuuu, halafu nachuchosha na hilo ni chai jaba lako Almac
fala kweli wewe
Kama mnamchukia Sinta hivyo kwa nini mnakuja kwenye hii blog yake. SImngeenda huko ambako mnafurahi? Watu wengine mna roho mbaya sana.
we cjui ndo unstopable ungesogea kidogo nlitaka kuona hair style ya shogaaa sauda. kwi! Kwi! Ananiachaga hoi uyo bidada. Afu comm yangu umebania nway lakin najua umesoma.senkyuu!
mmmmh pole mwaya kwamatus binadam mmmmh
hahahaaa leo mi nacheka tu
yaaani we mwanamke una mashauzi balaa huyo willy ulivyomjaza kila picha sijui ndo alikupeleka huko uwanjani, picha zenyewe tatu tu basi umezitandaza blog nzima hata pose huna...na hicho kipajama ulichovaa umechundajeee! mptyuuuuuuuuuu......!!!!!
Wasenge wakubwa nyie mnamtukana sinta...manina za mama yenu woteeee,mikundu yenu imetobokaaaa
We love her, u are all haters ...mfyuuuuuuuu nyokoooo * milllion..
Mmeze then mkafirwe na baba zenu!
Thamaki thi kindu bora mshombe!!!!!!
we unayetutukana hata wewe ni msenge anakutafutia bwana nn unampenda kwalip unamjua?au nawe malaya mwenzie.hata wee huna akili ndo mana unaona anayofanya ni sawa tu.acha unafiki.
khaaaaaaaaaaaaa hii kali
we unae toa mitusi humu hebu kajiphangeee!!!!
Unajifanya rafiki wa Almasi lakini hata siku moja hujawahi kuitangaza blogu yake humu wakati watu kibao wameitangaza.
heeeeeeeeeeeeeeee wakuacheeeeeeeeeeee miaka mia80000000000000000.kama hawapendi wewe kutokelezea humu wanatafuta nini.wapuuze darling wabongo ndivyo walivyo na cku hiz unanifurahisha sana usivyo wajibu.watasonyaajeeeee sasa umewaziziiiiiiiiiiiid kichuna wangu.
heeeeeeeeeeeeeeee wakuacheeeeeeeeeeee miaka mia80000000000000000.kama hawapendi wewe kutokelezea humu wanatafuta nini.wapuuze darling wabongo ndivyo walivyo na cku hiz unanifurahisha sana usivyo wajibu.watasonyaajeeeee sasa umewaziziiiiiiiiiiiid kichuna wangu.
khaaaa.....
napita , jamani muogopeni MUNGU acheni matusi
ukipita pita nani kakuuliza?mtu wa mungu kuna wa shetani dunian hapa.nawe wa juu tumuache nn.amejisahaulisha na mikashafa yake ile kweli watu hawana mshipa wa aibu.
jokate aka koojoo
sinta unajichoresha huyo malechela mpenda sifa kama nini kwa blog yake anabandika na kusifia wasichana kila siku. anawatongoza kama nini, marekani anajulikana kwa totz. powle
huyo diamond mwenyewe nyimbo tu ndio zinambeba ila hana lolote na wala sio mwanaume ambaye ni saizi ya wemaaa hata kidogo mie naona alivyoachana nae sawa tu sababy walikuwa hawaendani wema alikosea njia japo alimpenda maana ukimwona live upuuuuzi mtupu.
jamani naipendea hapa hii blog...!michambo na kebeh heeheee...!halooooooooooo tunennya
Post a Comment