vitu vikali |
mambo ndo haya pale city star boutique |
kila mmoja atapata kitu roho inataka |
sie basi wenye u leg ndo kabisa ni pale city star boutique |
beautiful onyinyee |
classy |
pendezaaaa na city star boutique |
stunning |
Elegant |
Missa anan'gaa na city star boutique |
wale wa bululubuluu hatujawasahau fika upate lako |
mambo matamu yanapatikana City Star boutique |
mnakaribishwa wote city star boutique |
Mali mpya imeingia na imepiga hodi katika wakati muafaka,fika katika duka letu lilipo Namanga kama unaenda msasani karibu na kwa Edo chips au tupigie simu 0782 772311
wote mnakaribishwa.
CITY STAR BOUTIQUE
O782 772311.
15 comments:
Aisee hapo ni fasta ngoja niwahi. Hongereni City star...
Basi wenzangu na mie wasio na hili wala lile hawatasifia ingawa vifaa vipo.
Hongereni nitafika mwaya nami niambulie kigauni
nimeipendaje sasa hiyo blue blue jamani ila naogopa bei huko.zote nzuri sana na misa pia
Thanks sintah for showing us cit star ...nimeipenda hiyo pic ya kwanza hicho kigauni cha gold but niko mbali Arusha.did they going to send for me or??please assist
Mdau wako
ARUSHA
0713-301042
sintah tuambie na bei zake zina range kuanzia kiasi gani ili wengine wenzangu na sisi tujue kunaendeka ama la
Dah nahisi Sintah ukivaa hiyo bluu itakutoa sana, much respect from CHERAS kl
Viwalo vya maana! huyo mtoto hakuna nguo inayomkataa.
Tunakuja mamii ucjali.
Basi upande wa pili wakifika wataanza kukandia eti feki!! kazi wanayo kweli.
ndo maana nimetoa no ya simu hapo kwa yeyote anayehitaji apige simu hio ili ajulishwe zaidi
thanks
JLO
really stunning tamani tamani
thanx dear nimependa zote.
Nguo tamu asante mami Kwa kutujusha.
Thanks sinta,this is real what we want from you...and not umbea wa mjini.
Hamisa looks beautiful,the clothes are elegant and classy.
Wale wa upande wa pili kazi kwao!:-)
From expected millioner......
mie nipo njiani kuja......sendy
hivi ndo vitu tunavipenda, asante sana tutapiga simu na kwenda kujilipua na viwalo vya uhakika
asee huyo mtoto mahallah amejaliwa.. Really lyk her look. Mola amzidishie.
mola akulinde na magubegube ya mujini!!!
Post a Comment