Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NEW ARRIVAL NEW ARRIVAL CITY STAR BOUTIQUE

vitu vikali
mambo ndo haya pale
city star boutique

kila mmoja atapata
kitu roho inataka
sie basi wenye u leg ndo kabisa
ni pale city star boutique
beautiful onyinyee
classy
pendezaaaa na
city star boutique
stunning
Elegant
Missa anan'gaa na
city star boutique
wale wa bululubuluu
hatujawasahau
fika upate lako

mambo matamu yanapatikana
City Star boutique

mnakaribishwa wote city star boutiqueMali mpya imeingia na imepiga hodi katika wakati muafaka,fika katika duka letu lilipo Namanga kama unaenda msasani karibu na kwa Edo chips au tupigie simu 0782 772311
wote mnakaribishwa.

CITY STAR BOUTIQUE
O782 772311.

15 comments:

Anonymous said...

Aisee hapo ni fasta ngoja niwahi. Hongereni City star...

Basi wenzangu na mie wasio na hili wala lile hawatasifia ingawa vifaa vipo.

Hongereni nitafika mwaya nami niambulie kigauni

Anonymous said...

nimeipendaje sasa hiyo blue blue jamani ila naogopa bei huko.zote nzuri sana na misa pia

Anonymous said...

Thanks sintah for showing us cit star ...nimeipenda hiyo pic ya kwanza hicho kigauni cha gold but niko mbali Arusha.did they going to send for me or??please assist

Mdau wako
ARUSHA
0713-301042

Anonymous said...

sintah tuambie na bei zake zina range kuanzia kiasi gani ili wengine wenzangu na sisi tujue kunaendeka ama la

Anonymous said...

Dah nahisi Sintah ukivaa hiyo bluu itakutoa sana, much respect from CHERAS kl

Anonymous said...

Viwalo vya maana! huyo mtoto hakuna nguo inayomkataa.
Tunakuja mamii ucjali.

Basi upande wa pili wakifika wataanza kukandia eti feki!! kazi wanayo kweli.

jlo said...

ndo maana nimetoa no ya simu hapo kwa yeyote anayehitaji apige simu hio ili ajulishwe zaidi

thanks

JLO

dinah said...

really stunning tamani tamani

Anonymous said...

thanx dear nimependa zote.

R.Ngaiza said...

Nguo tamu asante mami Kwa kutujusha.

Anonymous said...

Thanks sinta,this is real what we want from you...and not umbea wa mjini.

Hamisa looks beautiful,the clothes are elegant and classy.

Wale wa upande wa pili kazi kwao!:-)

From expected millioner......

Anonymous said...

mie nipo njiani kuja......sendy

Anonymous said...

hivi ndo vitu tunavipenda, asante sana tutapiga simu na kwenda kujilipua na viwalo vya uhakika

Anonymous said...

asee huyo mtoto mahallah amejaliwa.. Really lyk her look. Mola amzidishie.

Anonymous said...

mola akulinde na magubegube ya mujini!!!