Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MULTI CHOICE TANZANIA MJIPANGE

wamekaa jumbani kwa week moja   
washiriki wa Tz wakiaga shindano la BBA 7


Multi choice Tanzania mnatakiwa mjipange sana next time mjue ni nani wa kumpeleka kule,msiangalie tu mtu kwa siku moja na msichague mtu for your own benefits kama hili shindano linamshirikisha mtu kutoka Tanzania please tafuteni jinsi mnaweza kuwafanya mashabiki waka votes,nilipokea simu nyingi sana watu wakiuliza hawa nao wakina nani?(Julio &Hilda)ni kasema na mimi ndo nawaona hapo.

watu hawakuwa convinced na washiriki mliopeleka this time no wonder they never voted for them.

na kama mnaona mnachagua  kwa kujifurahisha nyinyi sidhani kama kuna umuhimu wa audition,nyie mchague mtu aende haya mambo ya kupanga msururu tena wa siku mbili ,kuna minon'gono mingi sana mtaani   ila mimi  nimeamua kuwa muwazi ila watu wame mind sana na wamesikitika kwa uteuzi wenu nyinyi ndo mtalifanya hili shindano lipunguze mashabiki,mfano kuna wengine dstv zao zitakata na hawatojali coz Tanzanians aren't there,hamuoni mnaipa comp hasara indirect?


haijawahi kutokea mshiriki wetu atoke BBA ndani ya week loooh


38 comments:

Anonymous said...

Latoya (2008) pia alikuwa mshiriki wa kwanza kutolewa mjengoni.

Pilly wa July said...

hata mimi nimeliona hili.

Anonymous said...

HAPO SINTA NAKUUNGA MKONO 200%.HAWA MULT CHOICE WANAUPENDELEO NA TENA WANAUBAGUZI.KILA MWAKA WANAPELEKA WATU WENYE ASILI YA CHOTARA.INAMAANA SISI WEUSI HATUNA VIGEZO?WAMEUMBUKAJEE

Anonymous said...

Bora tu wametoka mapema kuondokana na scandle ila ki ukweli hawa washiriki walikuwa wazuri sana huwezi fananisha na waliopita mwaka jana.

Anonymous said...

''haijawahi kutokea mshiriki wetu atoke BBA ndani ya week loooh...''

BBA 3 mshiriki wa TZ Latoya alitoka katika eviction ya kwanza.

Anonymous said...

mi mwenyewe ndo kwanza nawaona

Anonymous said...

hata hivyo kilichofanywa na bigbrother safari hii ni embarrassing tu kwa sababu walitakiwa eti wapigiwe kura na nchi nyingine ndio wa baki ss Hilda nchi nyingine 6, Julio nchi 1, na huyo Maneta wa nchi gani sijui kapigiwa kura 8 kwa hiyo yy kabaki huu utaratibu umewekwa mwaka huu mbona miaka mingine hakuna walikuwa wakiingia tu, yani ni jinsi gani tz hatujulikani au walio nchi nyingine wa tz hawana muamko

Anonymous said...

kweli hata mimi nlikuwa ndo nataka safar hii nfunge dstv na ths wek fundi ilikuwa aje baada ya kusikia wametolewa washirik tz nimeahirisha ntafunga niangalie nn tena! kama mpira tunachek baa kwa saa 1 ile bba ilikuwa 24-7 inabid uwe home

Anonymous said...

dada sijawahi kucomment ila kwa hili nimeguswa.jamani mimi mwenyewe ht sijawahi kuwasikia.eeeeh.......kweli tumefulia.mm kuna tetesi nilizisikia kwa kweli nilishangaa sana.enzi za akina wengine wa nyuma tulikuwa hatulali tunakesha na 198 kwa jinsi wa tz wanavyopagawisha.kikowapi sasa........

Anonymous said...

tatizo sio washiriki utaratibu uliowekwa safari hii sio mzuri wa kutolewa kwa kimashine hata km angeekwa uyo unayedai anajulikana km mashine ingempitia na akakosa kura za kutosha angetoka tuu sasa ulitaka uende wewe au Hilda was sooooooo good usitake kujifanya wewe ndio mjuzi wa mambo!! ni hayo tu dada!!

Anonymous said...

angepelekwa wema sepetu ingenoga zaidi.

Anonymous said...

Hivi ndo vitu unatakiwa kuleta c mambo yasiyo na kichwa wala miguu, big up mama

Anonymous said...

next time watakupeleka wewe

mum said...

We matako mbona huweki comment zetu ungeenda wewe na joket bac

Anonymous said...

Ila jamani bora Hilda. Julio alikuwa hopeless mjengoni yaani mmh sijui alivyokaa kaa

Anonymous said...

Afadhali walivyotolewa mapema, maana tumechoka na kichefuchefu alichokifanya Boke cha kut**** hadharani, maadili ambayo waTZ hatuna. Boke na hawara'ke pamoja na kujifunika blanket, lakini tulishuhudia mkaka 'akiwajibika' live - ilikuwa ni aibu tosha, DSTV waache kabisa kupeleka watu BBA maana hatutawapigia kura ng'o!!

Anonymous said...

ila kweli angenda wema unajua watu wanampenda sana thou na tabia zake jaman.. Leo Sinta kaongea ukweli kabisaaaa..

Anonymous said...

we sinta we matako, umebania comment yangu! mfyuuuuuuuuuu! hayakuhusu, we angalia yako! jicho ka la ng'ombe nyooo! bania na hii!

fatma said...

mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu umebania coment eeh najua wapi kwa kukupatia<jinga ileeee

Anonymous said...

MBONA UNATOA COMMENTS ZINAZOKUSAPOTI TU, NIMETUMA COMMENTS ZA UFAFANUZI UMEZICHUNIA, ZITOE NA HIZO BASI WATU WESOME, HUYO ULIYEMTAKA KAKOSA NIDO UNAPIGAPIGA KELELE HAPA,

Anonymous said...

mmh bora wangeenda jocate au wema watu wangekuwa tesion kutaka kujua wat next japo kichwani mwao ni majiiiii angalau wangepata kura japao ni mtazamo

Anonymous said...

MSG KWA HUYO MALAYA WAKO, MWAMBIE JOKATE WA ZAMANI SIO WA SASA, KUMBE HAJAJUA KWAMBA HADHI YAKE IMESHUKA!!!!!!!!!! BASI KAMA HAJUI HEBU MJUZE, ASIJIWEKE JUU TENA - HAMNA KITU HAPO.

HAHA HAHA HAHAAAA ALIFIKIRI ANGEENDA YEYE - KIMENUKAAAAAAAAA HILOOOOOOOOOOOO

Anonymous said...

wabongo wenzangu nawashangaa sana!hv mnaweza kuniambia faida ya bba?halafu jambo gan linalofanya mshind apewe mihela yote ile?kama mliangalia jmoc washriki walivaa nguo znanembo ya freemason ile mifuvu tena wote!nyie mnafurah tuu,tunapoteza vjana wetu kwa kutaka shortcut kama hzo za kwenda bba!badiliken muwe wadadic sio ushabk kwenye kila kitu

Anonymous said...

bora wema

Anonymous said...

Jamani acheni kumsema vibaya bhoke ni mchumba wa kijana 1 anayetangaza clouds fm ktk kipindi cha amplifaya

Anonymous said...

ingenoga jocate na wema...........

Anonymous said...

Kwani kuingia BBA ni lazima uwe star? wabongo bwana.. hivi hao watz wangedumu hadi mwisho si mngewapigia debe sana? acheni ushamba. au ulitaka uende we Sinta? huna jipya kwanza ungetuchefua 2. Mimi binafsi sikuwapenda sana but Sidhani kama ktk vigezo vya kuingia BBA unatakiwa kuwa famous. Acheni undumila kuwili, hao mnaowajua kina Bokhe walituletea sifa gani?

Anonymous said...

UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIII NAMUONEA HURUMA HUYO ANAYETOKA NA BHOKE! ULE MZOGA NI WA KUBEBA KWELI??? MTU ANALWALWAJE NDANI YA WIKI TATU! UVUMILIVU 0! ALITUDHALILISHA KWELI YULE DADA! POLE YAKO KAKA, KWA KUBEBA HUYO CHA WOTE!

Anonymous said...

Yani huyo Julio hana swagga kabisa na hilo li mkongojo sijui nani kamdanganya...halafu kwani lazima watupelekee mashombeshombe!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

ata mm nahis ao BBA ni mafreemason..lol,jitu halionekani, mahela yanatolewa mengi,na mavazi ya mafuvu..fungueni macho

Anonymous said...

yani Sintah una matatizo comments za maana huziweki ushazoea matusi,haya matako yako!! hii ndiyo utaiweka.

kay said...

umeibania ya kwangu

Anonymous said...

Wee cakubimbi mbona comment yangu hujaiweka....?????if you think it that way then hujui lolote about BBA ...Muulize google wako JoKate.

Anonymous said...

Wee cakubimbi mbona comment yangu hujaiweka....?????if you think it that way then hujui lolote about BBA ...Muulize google wako JoKate.

bhoke honey said...

Mmmhhh hao hata hawakuvutia kwakweli lol! Yani mmh wiki tu lol! Alafu mpango wa shombe shombe siyo ishu mbona rangi nyeusi iko bomba tu! Na kitu kingine mbona mmwmuandama wajina wangu bhoke!? Kwani ye ndo wakwanza kutombana mule ndani? Mmesahau mwisho?na richard? Mmhhh acheni ubaguzi pale dudu ni dudu tu na zote zilitumika!ya bhoke ndo dil lol! Mi bhoke wala simlaumu na sijutii kuitwa bhoke honey!

bhoke honey said...

Mmmhhh hao hata hawakuvutia kwakweli lol! Yani mmh wiki tu lol! Alafu mpango wa shombe shombe siyo ishu mbona rangi nyeusi iko bomba tu! Na kitu kingine mbona mmwmuandama wajina wangu bhoke!? Kwani ye ndo wakwanza kutombana mule ndani? Mmesahau mwisho?na richard? Mmhhh acheni ubaguzi pale dudu ni dudu tu na zote zilitumika!ya bhoke ndo dil lol! Mi bhoke wala simlaumu na sijutii kuitwa bhoke honey!

Anonymous said...

Burdaaaaaaani!

Anonymous said...

Burdaaaaaaani!