Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

DELINA BUREAU DE CHANGE -UBUNGO PLAZA

mambo yote ni hapa

        

wadauzzzz,Delina bureau de change ipo ubungo plaza ukiwa unataka rates nzuri za madolali na mapound ni pale Delina, bila kusahau wana cosmetics shop nzuri sana maswala ya akina dada,fika ofisi zao pale Ubungo plaza.

nitawaletea picha za urembo naamini utazipenda coz anajua kuchagua.

fika sasa hutojutia nafsi yako, trust me 

Delina bureau de change &Cosmetics

Ubungo Plaza

                                                 

No comments: