Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

CHINEKEEEEE STEPHANIE OKEREKE MARRIED TO LINUS IDAHOSA

akipelekwa kukabidhiwa
eyeleeeeeeeeh watu pipo
kwa raha zao Mr &Mrs Linus
Stephanie Okereke ni muigizaji kutoka Nigeria hivi majuzi alifunga harusi na  PR Multi millionaire,harusi yao ilifanyika Paris,very expensive couture dress  lilitengenezwa na one of the world most famous designer Ellie Saab.


kila la kheri maharusi wetu.


pics na informations,

thanks to,

Linda Ikeji from Nigeria.

8 comments:

Anonymous said...

kapendeza bila mkorogo nashangaa dada zetu mnajichubua hebi angalieni black is beauty

Anonymous said...

expensive but nothing kawaida sana

Anonymous said...

ya kwako lini?

Anonymous said...

jamani huyu si aliolewa aka divorce?kaolewa tena?basi ana bahati.walimsema azai.

Anonymous said...

Kwani kusifia lazima awe ameolewa? Acha ushamba na wewe, muacheni Sintah wangu,kama una cha kusema funga bakuli lako......Mdau...!

Anonymous said...

huna jipya. anza wewe kufunga bakuli lako. kuolewa heshima au hujui

Anonymous said...

Nampenda saaana huyu dada. Niliwahi soma rais wa Nigeria alimteua kuwakilisha wasanii wenzanke yeye kuwa kama kiungo mwenye shida yoyote amuone yeye afu yeye apeleke kwa president; wakongwe wa noriwood walinunaje akina Rita, eti haiwezekani yeye ni mgeni sana kwenye game. Mgeni ndio lakini ni presentable. I real like this actor.

Anonymous said...

Yes aliolewa. Ila mumewe alikuwa malaya tu mcheza mpira huko kwao Nigeria. Sasa mtu akae tu kwenye ndoa ya kicheche. SI unaona kaomba talaka na ameolewa tena. Ukiolewa ukaona mambo ndivyo sivyo ni heri ku move on. She is still a very decent lady. Ndo maana hii jamaa imeamua kuchukua jumla.