Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WA TANZANIA LETS PRAY FOR OUR SISTA KAJALA MASANJA

Penny& Kajala
Kajala Masanjamy brothers n sistaz its not easy to be in jail even for a second,
today our young upcoming actress Kajala is in jail(Segerea)to face the charges of misusing the public funds,Kajala aliolewa na mumewe wakiwa na maisha super ila kwasababu  ambazo serekali ya jamuhuri wa muungano inasema some of the money waliokuwa wanatumia na mumewe, hazikuwa za halali,hii ndio kesi inayompelekesha kajala mpaka sasa,sasa jumatatu ndio siku ya mwisho ya hukumu lets cross our fingers  for our dear Kajala.
in God we trust,im deeply sad about this.

from the bottom of ma heart
j wake lo(Tz)

45 comments:

Anonymous said...

im so sory for her, yani dah im sad kabisa yani kajala mungu atamsaidia tu! lets pray for her

Anonymous said...

oh!its so sad

Anonymous said...

wewe mshenzi nini tumuombee dua kwa ubadhirifu wake..nyinyi ndo mnaufanya nchi hii inakuwa masikini...

Anonymous said...

Pole sana na mtihani wa dunia. Siku nyingine jihadhari na anaekuoa au kujenga maisha na wewe.

Anonymous said...

Mungu yupo pamoja naye.atashinda.pole zake jaman.jail c mchezo.

Anonymous said...

she has to pay the price for her greed and stupid choices in life!!

Anonymous said...

Mnamlaumu yeye kwani alijua mwanaume ANAEMUOA ana kazi gani,wanaume wengi hasa wakibongo waongo hawasemi ukweli kuhusu maisha yao.
Na serikali yenyewe imejaa rushwa hata hao mahakimu hawatatoa hukumu ya kwel na haki ila Muachie Mungu yy ndio hakimu wa kweli.
Ila mm nahisi kuna mkono wa aliyekuwa mumewe wa zamani.C km nipo sure nahic tuu tuu
Mungu nisamehe km hisia zangu hazina ukweli

Anonymous said...

Ohh it is so sad jamani, Kajala kajikuta kuingia kwenye mambo magumu sana. Kabla hamjaolewa chunguzeni waume zenu wanafanya nini. Huyu dada kwa kweli kila mmoja amuombee she is innocent maskini nasikia mpk machozi yananitoka

Anonymous said...

maskin>>>>>>> it shall be well

Anonymous said...

ila sie wanawake ni vipofu unadhan alikuwa hajui anachofanya mumewe,uroho wa mali ndo umemfikisha hapo serikal wamehold nyumba yy mtoto wa mjin anajidai mjanja anataka kuiuza.heri yake hukumu kesho kutwa mume wake anakesi kibao

Anonymous said...

kwani hizo mali kzifanyia ubadhirifu yeye peke yake au na mume wake kwa nini awekwe ndani yeye peke yake ikiwa mali hizo wamechuma wote isivyo kihalali??na nani aliyefungua jalada hilo???habari hii haiko kamili ili tujue tunamuombea dua kivipi

Anonymous said...

ARE YOU SERIOUS? i wish you knew how i hate these public funds mis users! kajimshahara kenyewe kadogo..nakatwa PAYE halafu watu wamepewa madaraka wana mis use public funds badala ya kuboreshea huduma za jamii (kama ilivyokusudiwa) halafu wewe unasema nini? sema kama hicho kitendo hawakukifanya...haki itendeke full stop...

prettiest! said...

Naomba niwe mpitaji kwenye hili! kwanza ni kwaresma, sitakiwi kuchangia maovu! mfyuuuuuuuuuuuuu!

Anonymous said...

Sina huruma na mtu anayefuja pesa ya walipa kodi. Let her suffer the consequences as a result of the proceeds of crimes.

Anonymous said...

Pole sana Kajala ndio hapo masuper star wa bongo kujifunza maisha sio kitu cha mchezo

Anonymous said...

sintah kusema ukweli leo nimependa hii topic nimesikitika sana tena kiukweli pole kajala mungu ataksuaidia my dia, m total sad jail uisikie tu hivi hivi jamani... pole kajala MUNGU ATAKSUAIDA

Anonymous said...

jela asikwambie mtu bora usikie tu hivi hivi kwa mwenzio jamani, alafu wewe mwenzio kumbe ana kesi ukamuweka tena ndani mshenzi mkubwa sasa unajifanya unasikitika nini

Anonymous said...

Hee wee nawe sasa Mungu amsaidie kwa lipi??! ahukumiwe kulingana na sheria za nchi, kama kweli katumia vibaya fedha za umma basi asweke lupango ili iwe fundisho kwa wengine nahivi yeye ni Super star ndo itakua mfano mzuri na km hana hatia basi aachiwe lakini sio ktuambia abari za kumuombea Mungu, kwani Mgonjwa!!

Anonymous said...

tumuombee kwani alivyokuwa anajitanua alitukumbuka?kila mtu atabeba mzigo wake acha akanyee ndooo

Anonymous said...

Mnapoongwa lexus mnaturusha roho humu kwa blog,aya tena JK alisema huwezi kula bila kuliwa,.bora ungebaki na PFunk,jamii inajua nini anafanya kuliko iyo migume yenu inajipachika vyeo sijui afisa wa ikulu,kumbe ana tenda ya kupeleka mayai tu#maninya

Audaz said...

Kwani mume wake ni nani? na anadaiwa kwamba amefuja mali au pesha gani za serikali? Pole zao, Mungu atawasaidia mambo yaishe poa

Anonymous said...

nasikika huruma sn sn ila wanawake tujifunze na mabinti woooooooooote wenye kutaka majina mjini tusipende maisha ya mteremko sio vyote vingaravo ni dhhabu jamani tujifunze ohooooooo na wahenga wanasema MAHAKAMANI HAKUNA HAKI.........NI SHERIA TU uwe mzee, mtoto, mjamzito,kipofu,kilema sheria haijali iyo ipo km MSUMENO

Anonymous said...

Mbona kashitakiwa Kajala peke yake? je huyo mumewe yuko wapi?Nyoosha maelezo vizuri tukuelewe au kama huna yaliyo kamili usitoe kabisa kutuchanganya hapa!!! msonyo...

Anonymous said...

SHOSTI WAKO WEMA KIMENUKA TENA. KANYANG'ANYWA RAV 4.

Anonymous said...

mimi naona hayatuhusu kwani alijitakia tena hela ya rushwa wengine tunakufa na njaa yeye anajirusha utajiju imekula kwako pole ila ukiachiwa lazima ukatoe sadaka kanisani manake dah jelah wangekusaga hadi utie akili

sophy said...

xo sory 2 kajala i hope ataachiwa kwa dua zetu, hatutakiwi kumuombea mabaya hata kidogo kwani hata mungu hapendi hivyo., mm namuombea sana awe huru maana sidhan kama kosa la mumewe litamfanya afungwe. don loss hp kajala mungu yu pamoja nawe.

Anonymous said...

Sintah una mambo dadangu,umekaa kipashkuna mwenyewe,wewe ni wa kusema haya kweli???si ulimuweka ndani hata wewe,hukujua kama sio sehemu nzuri,hayo umeyajua leo..wewe bana!

Anonymous said...

hakuna kinachouma na kuumiza roho zaidi ya kumuona umpendaye anadhalilika kiasi hiki. Kanjala nampenda kushinda maelezo, na hata kama ameolewa she is still the rose of my heart. I hope to see her out of this mess. i love you Kanjala, pole mpenzi tupo pamoja. you are in my heart and prayes, makosa ni yangu. ningewahi tungekuwa ulaya pamoja ila nilichelewa ndio maana. I love you

Anonymous said...

hacheni roho za kutu. kwani huyu dada kafanya nini? angejuaje huyo mume ni mwizi au tapeli. jamni hayajawakuta au kuwakuta mnaowapenda. i love kanjala.... and will love her to death.

Anonymous said...

mhhh jamani c wanawake nao tunapenda sana wanaume wenye mshiko kumbe wengine wezi mungu wangu kuna wakati nilikutana na uyu dada mlimani city yuko na mwanae wanafanya shopping amejitundika migold ya kufa mtu na alifanya shopping ya ukweli . sasa uyo mumewe yuko wapi?

Anonymous said...

Kusema kweli mimi sijui kosa alilokosa kwani kafanya nini

Anonymous said...

Watchu c is watchu get,she deserve that thing huh!eti"Aliolewa na maisha yakawa super"FUCK U SINTA.

Anonymous said...

hii nchi mmmmh...usipokuwa na surname ya chenge,mramba,yonah,nkapa et al mbona utafia jela???mafisadi wote hao basi ndo wamekaona tu haka katoto???iko siku tu kitanuka hii nchi.

Anonymous said...

kwani hujui kua nae msagaji ama hadi tukupe list ya watu wake walofanya ufirauni huo?another thing kama hamjui kinachompeleka jail kajala ni kule kuuza nyumba akijua iko under TAKUKURU na hela alizitumia kwa kuwahonga masharobaro ili wamshughulikie na akapanga nyumba mwananyamala na akanunua ki rav4 so on and on iliendelea hadi alipokamatwa so acheni sheria ifuate mkondo

Anonymous said...

mmeo akikuletea pesa nyumbani utamuuliza ni za wizi au mshahara? Mmewe kuleta pesa si kosa la kajala ni kosa la mletaji sasa iweje kajala akalipe yeye?

Anonymous said...

jaman,kajala ni victim wa circumstance...alikua pale kama mke..ila uyo mumewe ndo stering wa huo ubadhirifu..so mtazamo wangu ni kua kajala hakuhusika ila mumewe......

Anonymous said...

yeye si muigizaji akaigize segerea uko mana mademu wa bongo wao wanawataka vibompa sasa ukitaka mazuri yanakuwa na hasara zake na nyinyi wapenda vzuri mujivuze kupitia kwa mwenzenu mashauzi yte kwisheneeeeeeeeeeeeeeeeee!!!kabisa angekuwa na muhuza sangara ayo yasingempata

Anonymous said...

Nipo mahakama ni Kajala kafungwa miaka 7 jela masikini analia sana...tumuombee ndugu zangu..

Anonymous said...

it just a party of life pray to God may be he can help u

Anonymous said...

tatizo la wasanii na wadada wa kibongo wanapenda sana fedha,ningekuwa hakimu wa kesi hiyo ningempiga mvua za uhakika ili awe mfano kwa wengine..inakuaje unakubali kuolewa na mtu bila kumchunguza vizuri...

Anonymous said...

hahahahha unachekesha we choko eti kafungwa miaka 7 khaaaa kwahiyo jana ulikua kwenye mahakama ya misukule eeh kaongopee matako yako kesi yake haikua jana fuck ur ass

Anonymous said...

Mmh pole kajala ile muvi uli act na kanumba unamwambia aibe mali ya umma awe mjanja yamekutokea kweli, devil z kingdom nmekumbuka! Mmh sasa ulikw unamwambia na uyo mumeo. Ila unatia huruma nakupendaga, poleee dadaa

Anonymous said...

so sad darln, I still luv yu. am praying for yu kajala

Anonymous said...

Sijajua tumuombee nini. Kwamba kasingiziwa au? Kwamba hakuwa anajua anachokifanya au? Halafu huyu sinta kutuambia eti anatuhumiwa kwa "misuse of public fund" ni ulimbukeni wa kingereza uliopitiliza. Hizo public funds alizikuta wapi wakati yeye fani yake ni mwigizaji? Au kajala alikuwa mtumishi wa umma tulikuwa hatujui? Nnavyojua ameshtakiwa kwa kutakatisha fedha (money laundry). (Kujaribu kuingiza fedha zilizopatikana kiharamu kwenye mzunguko wa fedha halali mf kujenga majumba n.k. pole kajala. Tamaa imekuponza. Mungu akikuweka juu utakuwa juu daima. Sasa igeni mfe. iwe fundisho kwa wote mnaopenda njia za mkato.

Anonymous said...

we mwehu kweli walioko huko tangu miaka mbona hujawahi sema tuwaombee kama kweli unahuruma,acha unafiki we malaya,kama kakosea mwache aende,hata wewe utapita huko.