Hallowz wadauuuu
yes,yes, nawashukuru sana my wadauzzzz kwa kuniwezesha kufika hapa nilipofika,sasa nitasikika katika anga za 100.5 Times FM kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa sita mchana katika kipindi cha hatua tatu nikiwa na Steve Nyerere na Marium
Kwa wale wenzangu wanaoishi nje ya Tanzania au mikoa ya mbali hatujakuacha solemba unaweza ukasikiliza through www.timesfm.co.tz halafu unabonyza listen haluuuuuuu,kazi zina watu hapa townito.
watu pipooooooooooooooooooo sintah,sintah,kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua.
senkyu

steve nyerere |
j wake lo
9 comments:
Mmefanana tehtehtehteh,bora upate kukuwadiwa vizuri!
Kuwadi la Bongomovie hilo, Kazi yake ni kuuza dada zetu hapa Bongomovie, hakana hata aibu
ss time fm imeingiliwa
HAYA HONGERA CHRISTINA FANYA KAZI.
kazi njema mamaa, ntakuwa nakusikiliza kwa raha zangu.
big up mamito,,,,,fanya kazi, wenye vijiba vya roho wakajitundike,pasua mawingu shosti taratibu tutakusikia CNN.
We anony hapo juu unatamani nawe dada yako apate walau mtu wa kumtongoza lakini hapati, kiroho kinakuuma kumwona mwanaume mwenzio kapata shavu, hee ukome hanisi wewe, povu la mdomo lakutoka kama umelamba omo, unalo hilo. By the way haipendezi mwanaume kuwa mbea na wivu wa kijinga, au ulitamani akukuwadie wewe?huna mvuto babu!halooooo oooh!
Mh kazi kweli
Sinta i just wounder if u can tell me ur relationship with late Kanumba? what i mean is ilikuwaje ukafahamu mkasa mzima tangu hiyo night kali?
Post a Comment