Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SINTAH, STEVE NYERERE NDANI YA 100.5 TIMES FM

Hallowz wadauuuu

yes,yes, nawashukuru sana my wadauzzzz kwa kuniwezesha kufika hapa nilipofika,sasa nitasikika katika anga za 100.5 Times FM kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa sita mchana katika kipindi cha hatua tatu nikiwa na Steve Nyerere na Marium
Kwa wale wenzangu wanaoishi nje ya Tanzania au mikoa ya mbali hatujakuacha solemba unaweza ukasikiliza through www.timesfm.co.tz  halafu unabonyza listen haluuuuuuu,kazi zina watu hapa townito.

watu pipooooooooooooooooooo sintah,sintah,kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua.

senkyu

steve nyerere
j wake lo

9 comments:

Anonymous said...

Mmefanana tehtehtehteh,bora upate kukuwadiwa vizuri!

Anonymous said...

Kuwadi la Bongomovie hilo, Kazi yake ni kuuza dada zetu hapa Bongomovie, hakana hata aibu

Anonymous said...

ss time fm imeingiliwa

Anonymous said...

HAYA HONGERA CHRISTINA FANYA KAZI.

ngaizaskids said...

kazi njema mamaa, ntakuwa nakusikiliza kwa raha zangu.

Anonymous said...

big up mamito,,,,,fanya kazi, wenye vijiba vya roho wakajitundike,pasua mawingu shosti taratibu tutakusikia CNN.

Anonymous said...

We anony hapo juu unatamani nawe dada yako apate walau mtu wa kumtongoza lakini hapati, kiroho kinakuuma kumwona mwanaume mwenzio kapata shavu, hee ukome hanisi wewe, povu la mdomo lakutoka kama umelamba omo, unalo hilo. By the way haipendezi mwanaume kuwa mbea na wivu wa kijinga, au ulitamani akukuwadie wewe?huna mvuto babu!halooooo oooh!

Anonymous said...

Mh kazi kweli

Anonymous said...

Sinta i just wounder if u can tell me ur relationship with late Kanumba? what i mean is ilikuwaje ukafahamu mkasa mzima tangu hiyo night kali?