Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MISSA BABY MREMBO WA SIKU

Missa wit dj Cleo
totoo pendeza

12 comments:

Anonymous said...

Huyu Missa wa wapi hatujamuona kwenye movie

Anonymous said...

wewe sinta unataka kumuharibu na huyu mtoto eee, kaache bado kadogo sana, fanya wewe ufirauni wako uliozea muache huyo bint bado anahitaji malezi ya wazazi na anahitaji uangalizi wa karibu sana

Anonymous said...

shez lukn real gud :)

Anonymous said...

She luks real gud:)

Anonymous said...

Sinta fanya yote ila usithubutu kumuharibu na huyu mtoto kwa kweli yaani ujue gharika litakushukia fasta, utageuka mrefu kama ngongoti

Anonymous said...

Kweli huyo mtoto mdogo we Sintha endelea kuhangaika na kina Wema na kina Ambarose sijui Masawe wa bongo.Tuambie kwa hiyo huyo ndiye alichaguliwa kupumzika na mgeni acha kuharibu watoto wa wanawake wenzio!

Anonymous said...

mbona mtoto wenyewe ameshaharibika huyu sinta mnamsingizia tu, mtoto wanamuharibu wanamusician wetu wa bongo flava, pokezana kama mpira tuu

Anonymous said...

mtoto mdogo anakuaga hivyoo?malaya mwenzao

Anonymous said...

Kama ana miaka kumi na nane acheni ahangaike dunia utamfundisha. Sioni faida yake kwa binti kama huyu kuji...

prettiest! said...

huyo ndio walimtoa kafara! japo na wao walikuwa wanatoa miudenda kwa tamaa! waone viuno vimewabinuka ka nyigu mwenye mimba kwa tabia mbaya waliyo nayo! puuuuuuuuuuu! yaani nyie tupa kule!

Anonymous said...

Huyu mtoto alishiriki Miss Tz ya mwaka jana.She is cute.

Anonymous said...

Yes she is cute msimsingizie sintah huyu anaonkana anazijua vizuri....