Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SERENA HOTEL PATACHIMBIKA, BADO NAJIFUA ZAIDI

usikose


hii ndiyo show nitakuwepo,nitapiga cat walk za nguvu pale Serena Hotel,yaani sinilikwambia mimi ni UNSTOPPABLE?i can do anything, sasa hivi niko kikazi zaidi.

usikose kuja kuniona jamani wewe na yule na nani wote,
kwakweli walimu wana kazi ya ziada.

ukitaka ku book ma table na nini please contact;

jlo Tz
Shamim Zeze

kwenye blogs zetu ndio full ma infooo

kwa kifupi na kirefu hapo hapo
wewe unayejifanya unabisha au kunitukana huoni kwamba unaua mende kwenye ukuta sasa si utaumia wewe?bana hii ni level nyingine bora u support namtegemea Mungu zaidi,maana ukija katika kisomo manshallah,kwenye entertainment ndo usiseme.

thanks my Good Lord

see you @Serena Hotel 3rd march. 


Unstoppable


8 comments:

Anonymous said...

tutakuja kukuona mama mashauzi .com

Anonymous said...

hiyo nguo uliyovaa nzuri ila haiendani kabisa na pochi oliyobeba

Anonymous said...

SASA SINTA MTOTO WA KIISLAM HALFU NGUO FUUUPI SASA HAYO SI MATUSI TOSHA HALAFU UNAJIANIKA UNATEGEMEA NINI?HATA UKITUMIWA COMMENT ZA MATUSI SAWA TU!!!!!!SHAME ON UUU

Anonymous said...

we mbona unapenda sana kujishuku......acha ushamba mbwa we!!!

Anonymous said...

Sintah aliyekubadilishia jina alikosea your rightful name is Miss mashauzi

Anonymous said...

WATU WAFUPI WANASHIDA PTUUUU,,,MISS ANDUNJE, MBILIKIMO

Anonymous said...

WATU WAFUPI WANA SHIDA!! ANDUNJE A.K.A MBILIKIMO ahahahh tutakomaje

Anonymous said...

eti umesoma, Elimu yenyewe ngwini,
Je ungeapata masters in atomic and nuclear bombing ingekuwaje? watu wamesoma science na hawajishaui kama wewe, nadhani ungetumia elimu yako kuwasaidia wasanii wenzio.