Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MISS DAR CITY CENTRE INASAKA WAREMBO

hallows

ule muda wa kusaka warembo umewadia sasa basii kile kitongoji chenye hadhi yake ya Dar city centre, kinasaka mabinti bomba watakaowakilisha kitongoji hicho na hatimaye mshindi kwenda mbeleee,
kuna mabinti wengi mlinitumia ujumbe ooh mimi model mara nataka u miss,kwakweli napokea simu nyingi na za issue tofauti so sikumbuki majina ila@mnajujua
nitumieni ujumbe katika cm hio hapo juu then nita fwd kwa wahusika.

TANGAZO HILI NI KWA WALE WANAOPENDA TUU

senkyu

j wake lo


1 comment:

Anonymous said...

Namba za wahusika ni 0783112214,0719572123 na 0655002209 form mwisho kuchukua ni tar 31/04/2012