Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MASTAA WACHUKUA FORM BBA 2012

mmmh shughuli imewadia
BBA 2012 is around the corner,na mwaka huu mastaa kibao wamechukua form kuwania kinyanganyirio hicho
mpaka dakika hii kila mtu anaficha mwenzie asijue
ila yetu macho,may 6th ndio mpango mzima jumba likifunguliwa
kama decoder zenu zilikuwa uvunguni sasa ndo umefikia ule wakati wa kuzitoa vumbi na kusubiria, ni nani ataiwakilisha vyema Tz mwaka huu,kumbuka this time shurti mtu anaenda na mtuwe yaani partner.

Terms n condition .......

3 comments:

Anonymous said...

Wameishachaguliwa Mr. Nice atakwenda na Jin Kabula!

Anonymous said...

Boy friend wangu mdhungu, na ulaia wake wa kuchachua,sijui watakubali niende naye!

Anonymous said...

Aende Joketi na Diamond itakuwa poa sana manake huyo almasi kwa misifa na anavyoorigia hiyo mboo yake kubwa