Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

FROM PUBLIC RELATIONS OFFICER YANGA BBM -JLO TZ


ni yeye mwenyewe
UNSTOPPABLE

timu yangu ni hii hapa na washikaji
wangu Young Africa 4ever

wit ma gal kidoti
pamoja ni Yanga


jamani ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu imewadia
twenden tuka support jlo's team Young Africa ikifanya mambo yake
mimi ni yanga damu
kwa ujumla warembo wote ni yanga
nitakuwepo VVIP nikichill na ma friends kuangalia kandanda.

TUKUTANE TAIFA
nimepata jezi mpya

6 comments:

Anonymous said...

all the best Yanga Sports Club..pamoja sana!

Anonymous said...

Umezeeka shost hata uji-make up vipi. Ona makunyazi hapo kwa mashavu!

Mbagala Laivu said...

umependeza andunje jlo,.uyo mwingine ni wolper amber?(wabongo ubunifu zero)post nyingi nyingi bhana,nimezimikia swagaz zenyuuuu,.kidoti yupo cutie kama kawa kama dawa mseto.
arafu jlo andunje,.kwenye iyo muvi yenyu ya 'sitaki demu' ni idea ya nani?coz we umesema nature ndo alikukol eti ufanye ubunifu,wakati nature alisema we ndo ulifunga safari mpaka tmk kumuomba akauze nyago,.mwanzo mwinga,gusa unase....ulipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda

Anonymous said...

jamani ni nani aliwambia mnapendeza na hizo miwani pana kama nyungo?aghhhh!!!!mnakera yaani!

Anonymous said...

kwanini jokate anafanyaga midomo hivo mwambie hapendezi kabisa, angeline jolie wanna be mwambie ya mwezake ni natural kha nachukiaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

eti miwani kama nyungo jamani nimecheka peka yangu akha yaani sina mbavu yaani hata hawapendezi kabisa na nywele zao za maiti hawajui hata kuzitunza mfyyyyyuuuu (sonyo)