Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NI USTAA AU SIFA ZISIZOKUWA NA MAANA

PS wadau mambozz

nadhani wewe ni mshabiki wa music wa Tanzania regadless bongo flavour nk,hivi hii tabia ya wanamuziki kuchelewa kuja jukwaani ni kujifanya mastaa au ndio sifa?maana mwanamuziki anatakiwa aperfome saa tano yeye kwa sababu anajua ni star eti anakuja saa saba,jamani hakunaga star walikuwepo wakina mwanafulenge na kiko wapi sasa jamani badilikeni.

kwa leo namzungumzia Diamond aka Almasi juzi alipata kashda pale kwa wanyalukolo pale ambapo alifika late na mashabiki wake kumvamia na baadae promota kumuweka selo aadabike
jamani badilikeni

bila mashabiki wenu nyie hamli so kaeni mulielewe hilo


19 comments:

Anonymous said...

si shemeji yako?????we unamuandika unadhani Joketi atakuonaje??acha unafki wewe J lopolope

Anonymous said...

huyu kashaanza kulewa sifa jaman Diamond usijisahau mdogo wangu utaja kuwa km wakina mwafulan shaurirooooo....

Mrembo said...

No fact, no right to speak. kwa kukusaidia tu ilikuwa hivi, alichelewa kwa sababu ya mvua kubwa iliyokuwa inanyesha mkoani mbeya ambayo ilipelekea show ya mkoani mbeya kutokufanyika. akaanza safari ya kuelekea Iringa huku mvua inanyesha na wewe kama unavojua miundombinu yetu ya kibongobongo inabidi uendeshe kwa tahadhali, hivyo basi ikamlazimu mista Almasi kuchelewa lakini alifika. haya maneno ni according to Mike T. Na vile vile ilikuwa akimaliza show ya Iringa aanze safari ya Dar kwani alikuwa na show nyingine. so kwa mlolongo huu mimi ninamlaumu tu kwa nini anachukua show tatu siku moja mikoa tofauti? safari ni hatua! siku nyingine asirudie kufanya mchezo it is unhealthy

Anonymous said...

yani muanike hasa huyu bwana anaanza kunuka tarrrrtiiiiiiibu maana huku ni kutufanya sie mashabiki wajinga ama vizuba!!!na wengĂ­ne pia waanike kabisa maana hayuko peke yake au wasanii wanaokuja ukumbini wamelewa chakari sasa hiyo show utaperform vipi...WAANIKE WAKOME!!!!tumechoshwa na upuuzo huo!!!!

Anonymous said...

ni kweli wanatabia hiyo, siku moja Amani alikuja Sweden alipaswa kuwa jukwaani saa nne akaja saa tisa kasoro jamani ndo nini eti, kaimba dakika 10 nyingi kakimbia hata washabiki hakupiga picha nasi wanakera hawa majamaani noma

Anonymous said...

we dada unabifu nini yani ni mmbea mbona hufanani na sura yako yani kwa mambo ya watu tuuu uko mstari wa mbele ndo mana ulitapeliwa na mzungu

Anonymous said...

Huna lolote mbea mkubwa unaona kamtema shogayako chakubimbi ndo unaanza kumponda? angemtaja wazi jokate ndo hawara yaake ungepost hii kitu.kachambe ukalale.

Anonymous said...

Si umwambie Jokate wakiwa kitandani amwambie kwani si ndicho alichompendea huo mziki sasa unatuambia sisi tufanye nini? Ongea na Jokate mtaani kimenuka, na yeye aongee na Almasi wake, manake tabia hiyo kainza alivyompata jokate, mwenzie wema alikua anamuandaa mapema kisha anawahi kwenye shoo. UNALO HILO JLO UCHWARA

Anonymous said...

Watu wa mabondeni nyie mmeshazoe kula ubuyu mambo ya humu hata hamyawezi tuacheni tulambe ice cream zetu sie. Labda mtaweza kuziba njia tu ili Sinta asipite bt ridhiki kamwe hamuwezi kumzibia.

Anonymous said...

ila wasanii wengi wanatabia hiyo ya kuchelewa jukwaani.me nawaomba waulinde ustaa wao sababu bila ya mashabiki huwezi itwa staa.wanamuziki please badilikene.

jane bomba

Anonymous said...

alafu huyu Almasi ameshaanza misifa eeeh!,Badilika Dogo angalia usije dondokea pua kama akina fulani ...nice.eeeeeeh!.Piga kazi Diamond Ubishoo weka kando.

jane bomba

shabiki said...

hahhahah naburudikaje sintah ukitaka blog ibambe kuwa kama MANGE mwenzio michambo yooote unaitupia watu tunastarehe sasa wewe unataka kusifiwa tu aku babau

uyu msenge DIAMOND me nipeni mwaka huu tu kwisha habari anauza OPA anarudi tandale me nipo hapa SINTA iweke hii POST pls utanikumbuka yupo WApi NATURE ingwa umeshindwa kumtaja kwa sababu alikuwa MR. wapi MR. NICE SANAA YENYEWE HII YA BONGO wapi kina QCHIEF wanaishia kushinda DELUXE magomeni kaona yamemshinda amerudi tena kwa RUGE.. TATIZO huwa hawajiangalii walipotoka wakishapata vimilioni tu na vigari hivyo vya kufirwa basi kasheshe na mkishaanza kuvitomba vitoto vizuri kama kina WEMA ndio kabisaaaa.. BADIRIKE NYIEEE

Anonymous said...

hhahahahah raha sana ila jaman mbona wegine kama wako nje ya mada sasa jokate na wema inahusu nn?mbona km bifu kimtindo haloooooooooooooooo.
ila inshort wasanii wa bongo wanaboa wanachelewa tunawasubiri mpk hamu inaisha,wakija kabla ya kuimba chochote wanaanza PIGA KELELE...............pumbafuuuuuuuuuuu nipige kelele za nn?we imba nikiguswa nitapiga mwenyewe,hawa wana mambo ya kisenge,ila mashabiki wenyewe wanatujua 2kichoka tunawapiga chipi PPPWWWWWWAAAAAAAAAAAAAAAAA

Anonymous said...

MH KWA SWEDEN ALICHELEWA ILA SII SAAANA NA MIPICHA MBONA TULIPIGA NAYE SAAAAAAAAAAAAAAAANA TU.HADI BADO KIDOGO ISABABISHE MAAFA!!!!!

Anonymous said...

Tatizo nyie wasichana wa bongo muvie ndiyo mnaowapi vichwa, wakisha watomba basi wanajiona wao ndiyo wanaume kuliko wanaume wote, wanalewa sifa wasenge hawa watoto akishaweza kupanga nyumba upande sinza au k'nyama na kuma za bure anazopelekewa na wasichana walioshindwa maisha basi, ngonja yamkute kama alivyosema mdau hapo juu wapi NICE, WAPI Q CHILA hadi akawa mwizi wa vioo vya magari ya watu, wanacheza na maisha hawa watoto.

Mpita njia

Anonymous said...

tatizo la we jlo wa manzese huweki post zetu kwanza badili hyo unachopaka huson hakiendani na wewe pili huyo tahira wa mtogole abadilike la cyo atafirwa na kina barabuu km wenzie kina naniiiiiii

Anonymous said...

Kha,ndio ka almasi haka kadogooo,mweh wanakafatia nini bandugu,ama hogo litakuwa si mchezo na hilo domo akikunyonya k**m uiiiii raaaha

Anonymous said...

Diamond ni muimbaji mzuri..kuchelewa sababu inajulikana, wengine hapa mnaongea pumba nikisoma comments zenu najua mnaishi maisha gani, wivu, visasi na ndo maana hamfanikiwi. Kama nadanganya jichunguze mwenyewe, na usipowawazia mema wenzako usitegemee kufanikiwa kwenye maisha yako. We Anon January 5, 2012 7:54 PM unasema mdomo wa mwenzako...wewe wa kwako kusema hiyo mitusi sio zaidi?? be careful

Anonymous said...

diplomat asiyejua anachoandika?chuo gani ulipata hio elimu unayoringia....regardless inatafuta nini hapo sipati maana.....perform haiandikwi hivyo...rudi shule ukaelimike bado kabsaaaaaaa!