Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MWAMVITA MAKAMBA'S VINTAGE CHARITY SALE

lets get started
here she goes


Mwammy and Sintah
1mill check was given by Nancy
Victoria,jlo&aunt Ashley

the crew
my cousin Malick hapana chezea
ni check tuu for FMF
ladies,jamani mimi mfupi duu
au kwasababu nilivaa flats
Jlo,Adeline&Nargis
your  woman and a half


                                     my wiii,Flavvy& BFF

27 comments:

Anonymous said...

Hahaha Sinta usinichekeshe wote hapo wamevaaa flat ni warefu, we hata kama mfupi ni mrembo tu mlipendeza na hongereni, nilipoziona hizi picha mahali nkajua ushajiwahi kupost kwako.

Anonymous said...

JLO asiyejua kuandika check ni wapi?

Anonymous said...

mfupi lakin uko sweet ,

Anonymous said...

we ni mfupi dia si urefu wa mtu haulinganishwi kwa kiatu alichovaa,

Anonymous said...

hata kama ungevaa viatu virefu wewe ni mfupi tu wangu bora umejikubali

Anonymous said...

Mlipendeza lakini naona wote katika picha umewataja kwa majina yao asilia, ila wewe Christina umejiita JLO, acha kujifananisha jiamini, mbona christina jina zuri tu mpaka ujipachike majina ya watu wa nje kwanini?? acha ulimbukeni.

Anonymous said...

BFF HAJAMBO ALMASI?

Anonymous said...

Mmependeza sana wadada mwamvita ubarikiwe kwa kusaisia wasichana.Sinta nina swal nasikia uliolewa na unamtoo uganda ni kwel!!!vp mbona upost picture za baby

Anonymous said...

mashauzi crew!!huyo Jokae ilo domo mh!nawe jikubali kila siku mi mfupi mfupi ndio wewe mfupi...MOVE ON

golety said...

inaonyesha ilikuwa poa sana mm penda flavy

Anonymous said...

we mfupi tu mbona nargis kavaa flat na kakupita urefu

Anonymous said...

viatu vya flavianna mmmmh! fashion zinginezinaharibu

Anonymous said...

mi naona what made u look short was the wrong cloth u choose for the event and also it made u look mnene sana from other fotos i've seen of u.ila if u are insecure about ur height, watch you tube videos on how to dress to look taller.but u are beautiful the way u are

Anonymous said...

Hongereni jamani na mlipendeza saaana, kweli wewe ni mfupi ila mrembo na mzuri, unamvuto wako wa kipekeee hakuna Sinta mwingine ila wewe. Pia mi nazidi kukuomba usijiite JLO, waone woooote ulikuwa nao ambao wako juu sana ila hawatumii majina ya watu labda malimbukeni kina Amber sasa wewe unataka kulinganisha akili yako kama yao? Please tumia Sintah linakupendeza zaidi na ndo litavuma zaidi. Kila la heri dada.

Anonymous said...

Plz sometimes take some advice my dear is not gonna kill you lol,Wewe ni mzuri, mrembo na kitu kimoja tu kinakuharibia kila kitu na ungechukua advice ingekusaidia hata baadae, naomba kuanzia leo jiite Sintalicious, Sinta or Christine waone wengine wanatumia majina yao tena ya ajabu mfano Mange, Mwamvita lakini ndo wanayatumia hayo hayo haina haja ya kujiita JLO kwanza for what? you are educated na pia unajua mambo mengi pls nakuomba niko chini ya miguu yako jiite tu jina lako litakupendeza sana.
Kutoka Kwa akupendaye daima.

Anonymous said...

We nae kwa kujikomba my wii... Eti my cousin huna lolote kujikomba tu we na Malick wapi na wapo mbona wa kile nanjilinji huwataji?cousin my ass☆☆☆☜

Anonymous said...

acha waseme yote but wewe ni mzuri sana.

jane bomba

Anonymous said...

mhh mnapenda kujionyesha kwa taarifa yenu wazuri wapo na wetulia nyie viruka njia manunga embe na kuparamia waume za watu ndio mnakijua mjini wala hamjapendeza kichefuchefu namkubali NARGIS ONLY

Anonymous said...

Picha ya mwisho Flavvy kachekesha..lol..

Anonymous said...

ULIVAA FLAT WAPI BIBIWEEE MBONA KOKOKOO NYEKUNDU TWAZIONA??


HAHAHAHAAAAA SINTAH banaaa urefu na ufup vyote amepanga Mungu jikubal tu majaaliwa yako tena....

Anonymous said...

we sinta mnafki sana sasa unanichefua nakupenda ila unaanza kuniboa bwana we juzi kati hapa umemkana joket sio shoga yako ovyoooo unajua maaana ya bbf ni bestfriend forever sasa hueleweki usiwe kama nywele zikiwa chin ma£$ zikiwa mwilin vinyweleo zikiwa kwapan tafrani mxchhhhh bana coment ila ujumbe umekufikia kumoyo

Anonymous said...

Ufupi si ugonjwa mamy accept and move on! U're short but beautful!

Anonymous said...

Mlipendeza dears, kubali asili yako wewe ni mfupi na ni maji ya kunde ila umeamua kijikoboa mpaka basi, halafu kisa cha kujiita JLO ndugu.... naamini we ni mwanamke jasiri na unayejiamni kwa nini ujiite JLo, pretty sinta is nice coz u are beautiful gal but not kujiita JLO, inakuwaje mbaya sasa.

Anonymous said...

Una wivu mwanamke Jokate ana midomo mizuri.............. wivu unakusumbua mpaka unaudhika kwenye facts... hiloooooo

Anonymous said...

hukuelewa shost hakuna alipomkana Jokate aliongelea ugonvi wa wasanii wala hakutaja jokate so nadhani hukumuelewa na endelea kumpenda.

Anonymous said...

ahaahhahaaa,JLO my asssssssss!!! siku hizi sauda sio shogaako??? mbona kitchen party yake hatujaiona hapa....

Anonymous said...

hahahahah wewe unaejiita diplomat hata cheque kuandika hujui alaf una elimu hahaha ya uchororoni babuuuuuu!