Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

ACHENI KUJISHAUWA NA NDOTO ZA LINACHA HASA MA SUPER STAR MCHWARA

PS wadau

Hivi kwanini wasichana ma super dooper star wanapenda kuishi maisha ya kuigiza??

utakuta wana madeni sana mpaka wanaboa,yoote hii ni ku maintain status uchwara hapa mjini.

jamani kuwa jinsi ulivyo,magari,nguo,viatu na fashion show zisizokuwa na maana ni za kijinga please try to be real ladies.

utakuta mtu anakopa mpaka unamuogopa yote ku maintain status hapa town.

wanaume watawafanya vya kuwafanya kwasababu ya ignorance zenu arghhhh too much jamani.ishi uwezavyo maisha ya kubangaiza yalishaaga long time kitambo.

WENYE MADUKA TOFAUTI   KAENI CHONJO

from Lope Lope J

18 comments:

Anonymous said...

Naona umewaamlia watakomajeeeeeeeeeee msimu huu

Anonymous said...

hahhahah tuheshimiane mjini tajijuuu

magie hanlon said...

wanaishi maisha ya kigazi.. lol kisa cha kujiumiza. tujikubali maisha tuliyonayo sio kuwa na tamaa ambazo baadae zinakuja tokea puani. mjini shule

Anonymous said...

shogako fiderine iranga anakopa minguo ya milioni hakupi shilingi, ukimdai hadi ugomvi na mapolisi juu sina hamu na yule hayawani, anapenda kuazimisha wenzie viatu na kuvitimbaa ukidai kosa.. sijui limeumbwaje hayawani lile dege lisiloliwa... likaendaga dubai likajidai lina birthday likaiba camera ya watu ya bei mbaya, hana hata shoga siku hizi wote tumesepa jitu lina wivu kutwa kupakazia wenzake, kaviuza vibinti vya watu hadi kwa liumba fide ana laana ebu muweke humu sijamuona kitambo sijui liko wapi naona magazeti ya udaku hawamuuzishi sura kwisha habari yake full mnyambo zamu ya kina wema... shosti fide kauza k wee kashindwa hata kuongwa baskeli ya guta achalia mbali bajaji he he heeeeee ati mwanamitindo maarufu.. uharo wa bata!

Anonymous said...

hahahaha!waambie

Anonymous said...

Hilo Nalo neno Lopez,

Wakopaji huko walipo watasonyajeeeeeeeeeeee haloooooo

Anonymous said...

MMmmh lazima wakope my dear unadhani wakitaka kupiga kivazi cha ukweli kama ulichopiga hapo juu afanyeje! Lazima apite kwenye boutique zote akope ili akaonyeshe huko kwenye kitchen party gala

Anonymous said...

duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu huo upaja , lazima denda litutoke!

Anonymous said...

duuuuuuuuuuuuuuuu huo upaja + pozi lazima madusheleeeeeeeeeeee wanase

Anonymous said...

mmh,nilikuwa siyajui haya ya fide.hao mastaa kumbe ndio zao.ipo siku yatawashinda

Anonymous said...

hahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! dah! napita tu..."sijui limeumbwaje hayawani lile dege lisiloliwa" kwikwi kwi kwi kwi!!!

kokusimah said...

Hivi shost hiZi comment huwa unazipitia kweli?? Watu watajaleta chuki zao bila sababu mama.

Ujasiri si wote walojaliwa mpendwa.

Anonymous said...

yuko kwao sinza anaumwa yu hoi ukimwona utamuonea huruma. Hata hilo deni utamsamehe. Labda umuombee apone akulipe manake keshaanza dozi.

Anonymous said...

sinta naona mwaka huu umekuja kivingine wape wape vidonge vyaoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Anonymous said...

mmmhhhhhh!nahisi napita tu! fide umsamhehe kabisa kabakiza mabega tu na pumzi, yupo pale kwake nyuma ya meeda.

Anonymous said...

Mjini kuna mambo, bora sie wa kijijini tunalima kwa kwenda mbele!

Anonymous said...

KABISA TUTAKUTAJIA HADI MADUKA ILI UKAWATAHADHARISHE WENGINE HADI MAGARI WANAAZIMA

Anonymous said...

Hey there, You've done an incredible job. I will definitely digg it and in my view suggest to my friends. I am sure they'll be benefited from this site.
Take a look at my website - Status Symbols