Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SINTALICIOUS'S UJUMBE KWA WADAU WAKE

dear wadau wa Ps na wale mnaochungulia chungulia,nimekuwa nikipata msg nyingi sana za tuhuma kwamba all of these chicks are my friends na ninafanyaje kama wana beef
ladies &gentlemen here i go,hawa watu wako katika industry moja,na sijui na wala sitaki kujua walichogombania ,mimi wakiniita ktk their birthday naenda napiga picha na nondoka,na siwezi kugombana na mmoja wao maana siku wakipatana nitaweka wapi uso wangu,,siwezi kuingilia shughuli ambayo hainihusu, mnasema ooh jlo hivi eti unafiki labda nyie coz mimi ni niko kibiashara zaidi,mambo yao hayanihusu kabisa na nitaongea na kila mmoja wapo akinhitaji ila they are not my close friends.
i have got many galfriends but only 4 close friends who know me better

so wewe usiejua,jua hilo chachaa


                                                           hakunaga kama mimi

18 comments:

Anonymous said...

achana nao tuwekee kibao kata cha jana

Anonymous said...

kupendeza umependeza ila uolewe basi

Anonymous said...

Unaogopa kuchambwa eeeh! Naona leo umemkana BFF wako, msomi mwenzio, na wewe ndio ulishadadia kuwa haya mambo yataamuliwa mahakamani, sasa vipi unaogopa kwenda kutoa ushahidi au unaogopa kuchambwa? Au umegundua kuna ukweli kwenye hii ishu sasa unaogopa kuonekana wewe ndio kuwadi? Yaani ni kweli hakunaga kama wewe unauma huku unapuliza huku unasema BFF wangu huku unamkana baada ya siku mbili, you can easily stab a person behind her back. Umenikumbusha enzi zile na marehemu Amina Chifupa, mungu amrehemu, wewe Sinta ushakuwa mtu mzima sasa unapaswa kuwaongoza wenzio badala ya hayo uliyoyafanya.

Anonymous said...

hivi sinta alishaolewa? hiyo picha naiona kama mara ya tatu humu bloguni

Anonymous said...

ivi kweli sinta una mtoto????????

Anonymous said...

Umependeza na gauni lako mumy...

Anonymous said...

aleinda jaribu nguo, tu, ilikuwa ni kwa ajili ya matangazo....ye bado yupoyupo jaman, mwachen ahudhurie za wenzie kidogo apate na experience
NB: mind yu sinta muda waenda, na we si mtoto au mdogo kama hao mashost zakooo, utakuja itwa bib badala ya mama ukija kuwa na watoto wako.

Anonymous said...

kwan hiyo BFF maana yake nin, ebu tutoege ushamba sie wa kwa mtogoleee jaman

Anonymous said...

aolewe wapi huyuuuuuuuuu

Anonymous said...

Eti Hakunaga Kama wewe nimechekaje LoL.

Anonymous said...

leo unamkana Jokate wakati unamwita bff?

Anonymous said...

aolewe wapi! anaishia kujaribu magauni tu na kuyaachia mijasho basi...kuolewa si mchezo..umbea na kujikweza ndo kazi anayoweza. endelea kujaribu mama ila watavaaga wenzio.

Anonymous said...

hii blog ni umbea tu hata mafuriko hawajayaona lol!!!!

Anonymous said...

sinta hivi eric Itanisa wa Kibaha yule mnawasiliana?

Anonymous said...

GAUNI NI ZURI

Anonymous said...

sinta yuko wapi best yako nina au hamuongei siku hizi....

Anonymous said...

BFF manake ni Best Friend Forever mdau,
Cymah

Anonymous said...

Best Female Friend......