Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SINTALICIOUS HEALTHY NIOMBEENI WADAU WANGU

wapenzi wangu niko msick sana,mguu wangu unanisumbua hivyo nimeambiwa nisivae high heels for a month na nisizurure zurure mitaani,yaani nipunguze nyendo,niombeeni nipone wangu kwani hali ni tete,ndo maana wengi mlikuwa mnaona siku hizi navaa flat shoes sana,sasa leo nimetoka hossy nanimefanyiwa Xray, nimepewa hilo jibu no more kuzurura oooh OMG dont worry have got a team work will help me kutafuta ma newsss na nita apload nikiwa home,maana sitoki, ever at home,mimi gt lv for u my fans ndo maana najitahidi kuwatafutia flavours

22 comments:

Anonymous said...

hapa nimekupenda shoga mna ujaandika yale mambo yako machafu,bs uwe waandika kma ivi shoga yn itapendeza mana shurti ustarabu mwanamke.

Anonymous said...

mungu atakuponya inshaalah, ni mimi doctor wako nimesahau kukuambia na vinguo vifupi pia usivae tena.

Anonymous said...

pole mamii,mungu atakusaidia utapona

Anonymous said...

pole mamii

Anonymous said...

pole mamii jikaze tu usizivae hizo heels mpaka upone kabsaaa. Nimefurahi kumbe kuna wenzangu wengi tu waliozaliwa mid december....congrats kwa wote.

Anonymous said...

Poleeeeeeee.. utapona mumie.

Meggy said...

Too bad hata hizo higheels zenyewe huna, wakiitwa wavaa higheels utatoka? Sijawahi ona maona mauchafu tu..

Anonymous said...

kwani ulifanyaje kipenzi?anyway pole sana mdada mugu ni mwema atakujalia utapona..

Anonymous said...

Pole sana dear wish u a quick recovery

Anonymous said...

pole kwa kuumwa na mguu sinta mungu atakujalia utapata nafuu.

Anonymous said...

Pole sintah twakuombea upate nafuu haraka

Anonymous said...

Pole sana my sweet lady you are in my prayer and you will be fine soon. Jane wa L

dinah said...

pole sana mumy may God help you for recovery uje utupe manews ya mujini!

Anonymous said...

pole. ila kama nilisikia umevunjika je ni kweli pole sana..

sophy said...

POLE MPENZI GET WELL SOON

Anonymous said...

we fala anavaa uchafu na wewe vaa wa kwako tuuone wakati mwingine muwe mnajaribu kuwa wastaarabu mtu anaandika anaumwa wewe unaongea non sense.... roho mbaya hazijengi

get well soon sintah

Anonymous said...

pole baby utapona mungu yu mwema

Anonymous said...

pole mamy usijali utapona na sito kusahau kwenye sala ntakuombe upone soon.gate well soon ma love.

jane bomba

Anonymous said...

yani kiukweli heels siyo nzuri sana maana wadada wengi siku izi wanalia miguu inawauma coz of heels,ukiwa mmojawapo.kiushauli heels vaa kwenye sherehe au mtoko maalum.pole sana sinta and God be with you.

jane bomba

juliana deus said...

pole ingawa nimechelewa lakini mungu atakusaidia utapona luv u jlo

Anonymous said...

RAFIKI YAKO JOKATE JIZI LA WAUME WA WATU, MWAMBIE AACHE KABISA HIYO TABIA CAUSE HAIENDANI NA YEYE.

Anonymous said...

Pole sana pls duka la mama kibunju liko wapi?napenda vitu vyake sana pls Sinta adress