Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com
Habari  za leo   Dada   Sintah.  Naomba  unisaidie  kuweka        tangazo  la   huduma  yangu  kwenye  blogu  yako.  Nanguliza  shukurani  zangu  za  dhati  kwako.


                                                   
HABARI  NJEMA   SANA  KWA  WANAWAKE  NA  WANAUME  WENYE   MATUMBO  MAKUBWA.
 
NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC
  ni  wauzaji  wa   dawa  mbalimbali  za  asili. Tunayo  dawa  nzuri  na  ya  asili  ya  kukata  tumbo (  kwa  wale  wenye  matumbo  makubwa ).  Dawa  zetu  ni  nzuri  sana  na  hazina  side  effect. Hazijachanganywa  na  chemicals  zozote. Matokeo  baada  ya  siku  kumi  na  nne...Kwa  maelezo  zaidi  wasiliana  nasi  kwa  simu  namba 0767010756  au  fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  eneo  la  Changanyikeni.

 

6 comments:

Anonymous said...

kwa watu wa mikoani tutaipataje jlo

Anonymous said...

Nimeulizia mbona bei zao ziko juu sana jamani kama vitu vya asili si wapunguze bei.

Anonymous said...

PIGA SIMU HIYO WATAKUPA MAJIBU JLO HAHUCKI TENA JAMANI PIGA NAMBA HIYO HAPO JUU KAMA UNATAKA USIOGOPE

Anonymous said...

dawa ya kupunguza tumbo eti laki moja.he makubwa si bora nifanye mazoezi. Aabeg watumie dawa zao wenyewe vitu vya asili ghali hivyo kuliko hata madukani nipo nje ya africa ila kuna products cheaper than that, wanted to support them ila siwezi,kununua laki moja,kutuma laki moja hee!

Anonymous said...

Jamani kabla hatujapiga simu naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi kutumia hizi dawa au anawafahamu nimeona kwenye blog nyingi wametangazwa.

Anonymous said...

wewe nawe laki moja nayo hela bongo siku hizi.....eti uko nje ya nchi...kha wafanya nini huko bora urudi nyumbani