Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SAUDA'S KITCHEN PARTY @ POLICE OFFICERS MESS OSTERBAY

stunning
BFF's
mwenyekitiiii
designed by jlo Tz
Wema&Sauda
UNSTOPPABLE
Amber rose doin her things
happy people
unstoppable na Mzee yusuf
Manshallah
kamati kuu

30 comments:

Anonymous said...

sintah mbona umetubania picha bwana? tupe raha wenzio

Anonymous said...

Na utupe habari kamili nini kilitokea mpaka ukawasweka lupango wema, dida na kajala

Anonymous said...

Alipendeza lkn mkorogo dah!wolper naye hyo chain kichwan kila cku? mh!

Anonymous said...

Me love u sintah

Anonymous said...

The sari was very dall, Marangi mcharuko sana......Bibi Harusi you deserve better than that

Anonymous said...

sauda minywele haijatulia

Anonymous said...

MMMH HUYU WEMA ANAMIMBA AU MACHO YANGU NIMEMTAZAMA VIBAYA AU NGUO AF KAPUNGUA KAPENDEZA.KAMA ANAYO HONGERA ZAKE BWANA.

jane said...

Please JLO im your fans blog, nini kilitokea ukawaweka polisi wale

Anonymous said...

eti bff km kawa. utasema ndumilakuwili anangata na kupuliza

Anonymous said...

Haswaa mdau hapo tupe mchapo sie

Anonymous said...

inapendeza ,twamtakia maisha mema ya ndoa anayotegemea kuingia hivikaaribuni

Anonymous said...

sauda kweli ana sura mbaya.yani hadi kwenye shughuli yake kashindwa kupendeza.UGLY UGLY

Anonymous said...

HE MWENYEKITI NILIDHANI DADAKE MICHAEL JACKSON

Anonymous said...

yeah sintah tupe habar kuhusu kina wema ,dida na kajala pole kwa yaliyokufika kwani kuna watu washari na pia hongora kwa kuijua sheria . chezea jlo weweeee ! wema nae kwa kujilazimishia kwa diamond lol diamond hakutaki umetungiwa wimbo lakini bado hukomi

Anonymous said...

Wana ugomvi mwingine hao zaidi ya muhogo wa Jang'ombe? Source itakuwa ni hiyo hiyo muhogo tu, aidha kakuwadia mhogo wa mtu ndio wametaka kumfiligisa au walimfiligisa kabisa wenye kujiona wanaumiliki huo mhogo.

Anonymous said...

kajitaidi kwa kweli,ongra sauda.ila more pics jmn kha

Anonymous said...

very different world!!!!!!!so finyu!!!

Anonymous said...

Karibu tuliko wapendwas
Cymah

Anonymous said...

Ulikuwa unamuita Mrs Almasi sasa amekuwa Wema.

Anonymous said...

mmmmmmmh,sauda kwakweli hapana, hujapendeza hata kidogo!!! badilika, kilasiku wenzio wanakufunika tu....sa wema alikusimamia au?? alikufunika vibaya sana kwakweli...punguza ushamba wewe unafkiri mkorogo ndo urembo!!!

Anonymous said...

Mdau hao juu umenifuruhisha sana jina limechange ghafla kulikoni?bb haruc hapana kwa kweli hzo nywele make up mamaaa

Anonymous said...

huyu sauda atakati sijui kwa nn bado wa four sikuzote

Anonymous said...

Mwanamke unafki utakuuwa,hivi unaelewa maana ya BFF au unaona raha kutamka.Unachotaka ni kuonekana mwema kila mahali but deeply in your heart umejawa na unafiki.acha tabia yako hupendezi.

Anonymous said...

sauda hujapendeza kabisaaa, umechokaaaa bla shaka mjamzito

Anonymous said...

nimeipenda keki

Anonymous said...

hongera sauda,acha nikusifie tu ulipendeza sanaa,but nataka upendeze zaidi kwenye harusi yako.

jane bomba

Anonymous said...

kitumbo ndii ndo mtindo wa kisasa

Anonymous said...

Kwakweli sijaona aliyependeza! Ivi mnadhani kujichubua ndio uzuri au vip? Msiwe mnapaka usoni tu pakeni mwili mzima

Anonymous said...

Jamani uyo jack sijui amber rose bado ni mshamba kwakweli yani anaitaji kupewa darasa aswaaa iyo cheni kila party anaenda nayo aliye mwambia inampendeza kwakweli alikosea sana bora ajavaa ma head phone yake !

Anonymous said...

kwa kweli hata mi sijaona aliyependeza hata bi harusi mtarajiwa ndo kabisa hiyo minywele haijatulia hata kidogo. mbona kwenye kitchen party za wengine watu wanalipuka sana imekuwaje ya Sauda jamani???