Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

JB'S BIRTHDAY AT LEADERS CLUB

some of the drinks
Steve Nyerere
Amber Rose
Cathy and Dotnata
Mai &Dokii
Irene Uwoya
lulu&friend
Shilole
Aunt Ezekiel
cake 3
kula keki mtoto

Jb na Big boss wa Steps
Mrs Almasi alifungua hiki kitu

13 comments:

Anonymous said...

Inawezekana head phones ni fashion ya bongo movie. Bora Sintah umeondoka kwenye huo ushamba wa bongo movie. Mtu unaenda kwenye shughuli umeweka makorokoro kibao, kuna mdau mmoja alicomment ATTENTION SICKER na nimeikubali.SINTAh uko wapi mbon kwenye picha hauonekani pls uwe unatuwekea na picha zako maana wengine wakienda kwenye party bana hawajui kuvaa kabisaaa, bora tuwe tunakuangalia wewe na wengine.

Anonymous said...

Jamani wasanii wa filamu washamba sjaona sasa hizo head phone za Lulu na Jack za nini mbona mwachekesha jamani kuharibu shughuli za wenzenu na vitu vya kuiga manake hapo mnamkoga nani na wewe Jack kuvaa kwenyewe ovyo na hayo madude ndio kabisa Sinta waambe wenzeo wawewanaweka kwenye pochi wakija sehemu kama hizo

Anonymous said...

hivi hizo headphnes wanazovaa hao wasanii kila mahali hata pasipofaa kuvaa ndio fashion now au, kama huyo wolper, lulu na uwoya pia nimeshauona hebu mtujuze kama ndio mupya iliyoheat now

golety said...

napenda wema jaman kwenye swala la kuvaa huwa akosei huyu mtoto

Anonymous said...

huyo shilole kajaa mashauzi mafanikio kidogo mashauzi mengi maana yake nn mmmmh ovyoooooo

Anonymous said...

Mwambie Amba Rose atoe hilo begi si anapenda kukaa uchi atoe basi tumuone

Anonymous said...

amber atakuwa yeye, sioni hata alichofanana nae. na ushamba wao nin sasa kujibebesha ma Headphones kila mahali.

Anonymous said...

Irene uwoya anajua sehemu ya kuvaa hayo ma headphones yao, ktk wasanii wa bongo movie wnaojua kuvaa ni wema na lulu lkn lulu hayo ma head phones big no umeniangusha sn, sinta ina maana hujamjua huyo aliye na uwoya ni odama au jenipha? Pia wasanii wengine kila siku muonekano wao umekaa kichangu changu ndo maana hamuheshimiwi km anti ezekiel

dinah said...

ahahahahahah mbavu zangu mie! wabongo mnaniongezea siku; hizo swaga zilizoanzishwa za maheadphone kweli mnafaa kuingia ze comedy!
sintah ukiiiga tu nitakushusha hadhi upo juu mumy huitaji headphoneu watu wakuone lol!

Anonymous said...

honestly;huyo sintah mwenyew cjawah muona kapendeza atawashaur nin wenzie,napita tu

Anonymous said...

Yani ushamba tu ndio ulio jaaa, kisa Uwoya aliyvaa kwenye BSS, basi kawapa wezie fashion kila mahali headphone hadi aibu kuharibu shuhuli zawatu tu.

Anonymous said...

YANI KIFUPI NAONAGA MA DJ NDO HUVAA HIZO SASA ME MWENYEWE NIMESHANGAA HIYO NI YA WAPI. KAMA MNATAKA UASISI WA MA HEAD PHONE MMECHEMKA TAFUTA KITU YINGINE JAMANI KHA

Anonymous said...

aunt ezekiel ni black how come ameshonea weaving ya rangi hiyo?au ndo upande wa mafashion yupo nyuma pia hajui kuvaa yy na rafiki yake walper hawajapendeza.