Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HAYA HAYA WALE MNAOPENDA VITU VYA AJABU VYA USAGAJI SASA SIKIA HII

KITABU ! KITABU ! KITABU! " USAGAJI NA UKIMWI TANZANIA: Chanzo, Athari & Suluhisho "
Inbox
x

mambo publishers mambopublishers@gmail.com
Dec 1 (6 days ago)
to me
Habari  za  leo Sintah , tunaomba  utusaidie  kuweka  tangazo  letu kwenye  blogu  yako.Tunatanguliza  shukrani zetu  za  dhati   kwako.


USAGAJI   NA    UKIMWI   TANZANIA :  Chanzo, Athari  na  Suluhisho,ni kitabu   kinacholezea  chanzo   cha  wanawake  kujamiiana  na  wanawake  wenzao,  Athari  wazipatazo   wanawake  wanao jihusisha  na tabia   hiyo   hatari  na isiyo faa katika   jamii  ya  watu  walio  staarabika kama  watanzania, pamoja   na njia  sahihi  za  kisaikolojia  na  kiroho  za  kukabiliana    na  tatizo hili,  kwa   kulifanya   lisiendelee  kufanyika   katika jamii   yetu  pamoja   na  kuwasaidia  waleambao  tayari  wameshatopea   kwenye  tabia hii  hatarishi  kwa   maambukizi  ya  v.v.u   waweze   kuachana   na  tabia   hiyo.

SOKONI   LINI?
:  Kitabu   hiki kitaingia   sokoni   tarehe   15   DISEMBA  2011.
 BEI   YAKE  :      Kitabu   hiki kitauzwa   kwa  gharama   ya  Shilingi   Elfu   Kumi   Tu  (  Tshs. 10,000/=) za  kitanzania.
USAMBAZAJI  :  Kitabu  hiki  kitasambazwa katika  wilaya  zote  za   Tanzania  Bara   na  Visiwani  na katika   Nchi  zote  za  Jumuiya   ya  Afrika  Mashariki . Vilevile  kitabu  hiki kitasambazwa  kwa   watanzania  waishio   katika   nchi  za  BOTSWANA,  SOUTH   AFRICA, UK,USA,  CANADA, na  UNITED  ARABS   EMIRATES.

BOOKING
:  Kwa  wasambazaji  wote  wakubwa  kwa  wadogo  waliopo  katika  wilaya  zote  za   Tanzania  Bara   na Visiwani, wasiliana    nasi  kwa  simu namba:

                                                      0719376783    AU   0688616690  AU 0752319341
  maelezo  zaidi   tembelea   blogu  yetu  : http://www.mambopublishers.blogspot.com//Sintah    tunatanguliza  shukurani  zetu  za dhati  kwako  na  tunakutakia   afya  njema.  Asante  na  kazi  njema.
Mambo Publishers.jpgMambo Publishers.jpg
631K   View   Download  
Reply
Forward

No comments: