Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

PICK OF THE DAY KOKU NA NEW YORK CITY


sisi wazima tunamushkuru mungu naona mnapendeza ndugu jamaa na marafiki, mi nawatakia kazi njema na uendelee kuelimisha walio wengi, hasa wakina mama wakina dada hata na wakina baba na wakina kaka maana elimu haina mwisho.mi nina mtanzania ambaye nina ishi usa. ila ninasoma na kufanya kazininapenda sana kuwaelimisha jammii yangu ya kitanzania khs mazingira, uhifadhi wa mazingira ni muhimu sana,kuanzia ngazi ya familia mpka ya kitaifa lazima tujape mazingira umuhimu wake, nikisema mazingira ni nyumba mnazoishi, makazini, sehemu za bihashara nk. wanajamii wenzangu mnaweza kuavaa nguo za madesigners, kujenga nyumba za kifahari mpka kuwa na magari mazuri ila ukiangalia
mazingira yanayowazunguka  hayaendani na kabisaa na hadhi mlizokuwanazo, watanzania wenzangu tupende na kuaylinda mazingira tunayoishi, usafi kutotupa takataka ovyo, kuwa na drainager system, za kupitisha maji taka na siyo kutiririsha maji machafu mitaani acheni acheni mnajijua wenye tabia hiyo.mi binafsi sipendi uchafu malundo ya taka kila mahali wnajamii wenzangu mnawafundishanini kizazi cha kesho watoto wadogo wanakuwa wanaona uchafu kila kona
   hivi kweli hao, watakuwa viongozi wa aina gani kesho ? tujiulize hilo tusisubili serikali kwa kila jambo
       kwani wanaoathiri ni  na madhara ya uchafu, wanapta magonjwa ni nyinyi wakazi, wanajamii na si serikali
   na amini umoja ni nguvu siku zote. wanajamii wenzangu. asanteni mdau wa mazingira from usa.

5 comments:

Anonymous said...

hooooooooooo, kumbe ndio wewe. kule hawezi kuweka post zako sio?

Anonymous said...

Koku you are so pretty. Please be my forbidden love.

Anonymous said...

HOVYOOOOOO,kumbe hata kiswahili fasaha kinakushinda?sasa hiyo English utaifahamia wapi?watafuta umaarufu kupitia blogs za watu na kijisemesha ohh mi naishi USA!kwanza hufanani hata na sehemu unayoishi,mshambaaa.njoo UK tukufundishe maisha,fanya kazi kwa bidii na tengeneza future yako,hapa umaarufu ng'oo kwa sura hiyo

Anonymous said...

kumbe ndo ww wa kunyumbaaaaaa,leo nimekupata..kule kwa nabii uwez kupost eeh bt me penda comment zako tu na mahandishi yko mekundu.

Anonymous said...

mbona wewe anonymous umekasirika na una jazba na Koku? au mna mambo binafsi? seriously kama ndio koku wa u turn I sooooooooo like her comments..brand name anachangamsha genge. acha chuki binafsi tafuta umaarufu pia