Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

CHRISTINE JOHN MANONGI'S TOUR

hi loves, kwa wale mnaonipenda,jamani mimi ni mtu niliye na kazi nne yaani nachoka kiasi kwamba hata shemeji yenu analalamika sana coz he doesnt get time to chill wit jlo
actually there so many things coming from Sintah so always get busy to acomplish them as soon as possible
will be travelling ,,,,,,,,
sitaki kutaja siku nitakayoondoka ila msijali nikiwa kule nitakuwa nina apload everyday maana will be a lil bit free,
so happy that  education is taking me this far,ninasafiri na nimechaguliwa kuiwakilisha nchi yangu katika maswala ya umoja wa mataifa(nuna kidogo yaani huniwezi,siku hizi siongei ni vitendo tuu humu)

napenda sana kumshukuru Mungu kwani bila yeye kwangu ni giza,my Mum and dad,Manager wangu mimi luv u mob ure more than a manager coz u taught me so many things and im yet to learn more from u

WILL ALWAYS LOVE YOU MY WADAU  NEVER THE LESS, YOU ABUSE ,CHALLENGE ,INSULT ME
GOD SAYS LOVE ONE ANOTHER AND I LOVE YOU


21 comments:

Anonymous said...

Safari njema Dear.

Anonymous said...

safari njema dear mungu akutangulie wabaya wajinyonge

Anonymous said...

Sasa hatukuwezi nini?wangapi wanasafiri na kurudi kilasiku?wewe hiyo safari moja ndo unabwabwaja hapa? Sinta unaudhi sometimes....unaweka negative attitude kwenye blog yako which is not good.Ndo mana watu nao wanareact na kukusema. U have all the potentials to success but somethings about you have to change.Period! Halafu Mungu hapendi mashindano na majigambo hayafikishagi watu mbali-mark my words.Learn to be Humble !

Anonymous said...

we nao ovyo mashauzi wakat huna lolote!labda kwa asiekujua ndo utamwangaisha

Anonymous said...

Safari njema dear tena mshukuru Mungu sana kwa aliyokupa wala usionyeshe kama unaringishia watu, maana kwa wengine hayo ni mambo ya kawaida sana ulishamuona Jokate, Odemba, Magesse mean Happyness akitambishia watu ohoo sijui nunu au haunifikii hata kidogo. Me naona kibusara na kiustarabu na kwa vile umesoma ungetujulisha tu kuwa unamshukuru Mungu soon utasafiri na amekuwezesha kuwakilisha nchi yetu haina haja ya kusema umesoma saana, tuliosoma tumekaa kimya Mungu akinijalia namalizia PHD yangu mwakani lakini siwezi kumtambishia mtu ninamshukuru Mungu kila kukicha maana najua wako wengi wanaotamani kufika nilipo lakini hawajafanikiwa. najua unaweza usiipost lakini ujumbe umekufikia next time ujue kumshukuru Mungu na pia si kila mmoja anafurahia mafanikio yako utashangaa baada ya mwaka mmoja huna mbele wala nyuma ni ushauri tu mdogo wangu.

Anonymous said...

koote umeandika vizuri ila hapa umekosea saana kama unaweza kuondoa hiki kipande itapendeza. Education yako siyo imekusaidia maana wako wengi wanaoiwakilisha nchi hata elimu hawana we mshukuru Mungu.
(so happy that education is taking me this far,ninasafiri na nimechaguliwa kuiwakilisha nchi yangu katika maswala ya umoja wa mataifa(nuna kidogo yaani huniwezi,siku hizi siongei ni vitendo tuu humu)

juliana deus said...

Hongera mamie mungu akuzidishie na uende salama and came back safe stay wel alwayz

Anonymous said...

big up sinta,me nakupendeaga hapo tu jinsi unavyo isaka pesa.mwanamke kujituma jamani na siyo kulala .hongera sanaa and safari njema.luv u .

jane bomba

Anonymous said...

so what?

Anonymous said...

tatizo lako ni hapo kwenye hiyo mipasho yako unayemwambia anune ni nani?

You said...

Hongera ila acha kujishtukia eti nuna kidogo tukununie kwa kipi kipya ulichokua nacho we endelea kusoma upate ata Masters iyo Adv Dipl inakutia kiburi tulia mtoto wa kike

happy...... said...

Mmmmm...mambo yako makubwa pouwa but ukirudi utuletee dhawadi

Anonymous said...

si umeshawai sema december unaenda kwenye lile ghorofa la boti ama umesahahu, mara hii imeshakuwa kikazi.

Anonymous said...

kila la kheri mamito Mwenyezi Mungu akutangulie

Anonymous said...

hongera saaaaaana.

golety said...

haya safari njema mdada wish i kold b u jlo tz. mwaaah

Anonymous said...

safiri salama japo tutakumith..usisahau picha kama kawaida yako!

Anonymous said...

Wewe, kumbe ndo unafanya watu wakuchukie bure na mashauzi yasiyo na mbele wala nyuma. Usione watu wamefika mbali bi dada ni ile hali ya kujishusha na kuwa wanyenyekevu kwa kila mtu na siyo kutambishia nina hiki au kile. Kutupa taarifa ya kuwa unasafiri ni jambo zuri na la heri ambalo pia ungetushirikisha uli tuzidi kukuombea sasa kuweka hayo maneno yako ya mashauzi yanamaana gani? Rudi shule ukasome tena tafuta shule ya maana na sii ya vichochoroni

Anonymous said...

KWELI MASKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA BADALA YA KUMSHUKURU MUNGU KWA ALIYOKUTENDEA UNAWATAMBISHIA WATU NA HAKO KA SAFARI KA MOJA. WADAU WAKO TUNAKUPENDA ILA UNAPENDA UCHUKIWE NA WATU NA HAUJIKUBALI KWA UJUMLA UNAONA KABISA WATU WANAKUCHUKIA NDO MAANA UNAANDIKA NEGATIVITY

DAVID said...

SAFARI NYEMA DADA, ILA KAMA UKO SO TIGHT MTAFUTE PIA KIJANA AKUSAIDIE KAZI HUSUSAN HII BLOG YAKO. BINAFSI NAIPENDA SANA! BON VOYAGE
DAVID WA SHINYANGA

Anonymous said...

Mswahili haachi asili!