Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

PICK OF THE DAY JLO TZ


She came,saw and conqured

15 comments:

juliana deus said...

jaman i wish uendelee kutupostia dahh blog imekua active sasa hahaah vp swala la t-shirt

Anonymous said...

hii ilikuwa wapi jamani msaada tutani wadau naomba mnitoe mchanga wa macho

Anonymous said...

heheehehe eti anasoma noval uwiiiiii sintah una visa wewe bint, mh, wacha kujishaua mama, kama ni mtu unampiga madongo wala huna haja ya kujikweza namna hiyo, mungu ana maajabu yake anaweza kukunyan'ganya hata hiko kidogo ulicho nacho bint shauri yako we jishaue tu

Anonymous said...

jamani mwacheni Sinta aishi apendavyo.

jane bomba

Anonymous said...

hongera dear umependeza wacha wajinyonge

Anonymous said...

Show off,show off,show off!!!halafu vitu vyenyewe vya kawaida tu
Agggggggggggggh kichefuchefu

Anonymous said...

wewe uliesema kichefuchefu nimekupendajeeeeeeeeeeeeee????????????mna sioni jipya hapo,wenzenu uku ulaya masuper star wanasakwa kwa udi na uvumba na si kujionesha wenywe kma ivyo.tumia jina lako na sio la mwezako mna yy kalikuza lake nawe likuze lako.

Anonymous said...

chezea ida mmpendeza warembo

Anonymous said...

jamani kwani kusoma novel ni kujishaua?hebu acheni ushamba mwacheni sinta wa watu ajiachie.

Anonymous said...

sinta achana na awanga hao, hata ukisoma novel kuna ubaya ushamba tu, umetumwa uje kwenye hii blog? mablog mangapi umeacha umbea tu

Anonymous said...

Sasa hiyo Novel sini kitabu kama vingine angekuwa mzungu kimyaa, lkn muafrika mwezenu munasema mashauzi. Haya Munaosema ajivumbike ndani atakula nn mastar wa ulaya tofauti na wafrika jamani.

sophy said...

jamani mm natamani unifundishe kuogelea yaani natamani sana hata sijui nisemeje.

Anonymous said...

ushamba tuu nothing special lol!

Anonymous said...

hahahahah Sinta umeniua mbavu how can you be reading Novel with sun glasses my dear no wonder unapigwa vijembe lol au ilikuwa for the camera? uwiiiii mbavu zangu mie the rest was ok

Anonymous said...

celebrity unaogelea blue pearl...hahahah swimming for 7000 hahaha?jaman jlo huyu?