Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

GET YOUR TICKET NOW,SIKU ZIMEBAKI CHACHE

Ikiwa zimebaki siku karibuni sita ile fashion show yetu ya fundraising ya red ribbon,ticket zimebaki chache sana please book now  baadae usilalamike ooh nimekosa na wakati tumekutangazia mapema
luv vazi la siku hiyo ni red, tukimark ile siku ya ukimwi duniani.

karibuni nyote
kwa maelezo zaidi wasiliana na hizo no za blog au khadija mwanamboka katika office yake

1 comment:

Anonymous said...

IT TUNASHUKURU KWA TANGAZO ZURI NA LENYE NIDHAMU KWA WATU WOTE. MIMI NINAKUOMBA BINAFSI UWE UNATOA AU UNABLOG VITU VYENYE MAANA KAMA HIVI NA PIA KAMA MWENZAKO KASAFIRI TUNAMTAKIA KILA LA HERI ILA TU USIWEKE MANENO YA MAJUNGU HATA KAMA KUNA MTU MNAUGOMVI NAYE MSISHINDANE NA MWANADAMU MUACHIENI MUNGU FANYENI MAMBO YENU KWA USTAARABU WA HALI YA JUU NA MUNGU ATAWABARIKI.