Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KWA WALE MLIOTAKA KUONA,KWA WALE MSIOTAKA ZIBA MACHO NA SIGN OUT FASTA

mshiriki mwenzangu
nikakutana na wenye akili kama zangu
jlo piga picha simama,mara kaa kazi
ilikuwepo
nikaanza kukumbuka Dar
maana jana yake nilikuwa ktk jacky BD
si unajua vituko vya hery
eti maji ya uzima

niliomba poo usiku baridi
nikaomba blanket nilisaidie

nikasema nite nite hoi bibi hatufiki
usiku mzima ku connect tuu ndege jamani
huyu nae alikuwepo katika mkutano
huu ndio mchuma ulikuwa unanichukua
kwenda na kurudi usinune bana
huwa nakuwa serious sana kazini
young and energetic
ready to challenge Africa in SA
                                           Njera nilikumbana nayo

nimekutana na msg nyingi sana oooh hakusafiri oooh hivi,wengine mnadiriki kusema sasa uweke picha ili iweje so i have put some of the photos for those who wanted,kama wewe hukutaka usipite kuangalia,na nimeweka chache due to security inanikaba sana,kwa wale mnaotaka muwe mnakuja kwangu kuangalia,maana siwezi nika disclose pipo's face kwenye net,i know the ethics bana
so enjoy some of the photos,soon will be in SA as usual kazi inaendelea
bye for now and stay blessed


WORDS
my God is gracious,generous,and georgeous am always blessed as he always on my side,thank you Lord,am happy

31 comments:

Anonymous said...

Haya wa dada wa mujini Sinta huyo anapasua anga mwatakaje tena mpaka dege kawawekea werawera

Anonymous said...

jiunge na mashauzi classic

Anonymous said...

Fu*************************k, mashauzi tu, wenzako huko unakosema ni kama kariakoo kila week.

Anonymous said...

duu walimwengu bana! haya sasa mlikuwa mnataka ushaidi wa picha mmewekewa sasa nnataka nini tena?labda sinta uwaletee zawadi.keep it up girl.luv u and always God be with u.

jane bomba

Anonymous said...

Ok binti mashauzi tumeshaona,next!!!!!

Anonymous said...

lakini kaenda wajemeni hata mkimtukana inatakiwa hata pongezi kidogo bac

juliana deus said...

mi nakupa hongera hata usingeweka picha nilishaipitisha cna haja ya kujaji eti ni uongo wala hukwenda mana coni faida ya kukuzibia mafanikio hayo gooooooooo gallllllllllll

Anonymous said...

ULIPENDEZA SANA MAMII WERA WERA MTAJIJU WENYE ROHO ZA HUSDA.WAOSHA VINYWA BADO HAMJAAMKA TU AU HAMJAPITA BADO MNALO ALIYEPEWA KAPEWA HAIJALISHI KAPEWA NINI LAZIMA TUKUBALI MARA OH ULIKUWA HUJUI KUVAA WEWE UNAE JUA KUVAA UMEFIKA WAPI AD LEO MTAJIKERI MWAKA HUU. SONGA MBELE MAMA.

Anonymous said...

Kumbe mlitakaje? simuliomba picha nyinyi sasa kawaekea hadi za kwenye pipa pia kaeka lol mbona kazi, simulisema muongo hayooooo sipati picha wadada watasonyajee Sinta hebu tupe picha zaidi ya matukio ya huko.

Anonymous said...

God opposes the proud but gives grace to the humble! as long as utaendelea kujisifia na na mashauzi kibao.......utaishia juu kwa juu. jifunze kuwa mpole alafu acha kujishtukia pia! jiamini

Anonymous said...

fans wako wamechoka na mashauzi yako bidada, tunaanza kupungua mmoja mmoja, mie leo naona ndio mwisho wa kuingia ktk hii blog, na hivi naongea watu wanafanya kampeni ili wakukache kabisa maana unakera na akili zako za kitoto na hasa kujiita jlo, Mashuzi tuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

jamani ushamba mzigo huku naona ni mara yake ya kwanza kusafiri na kupanda ndege.

Anonymous said...

KUWA MTU MAARUFU KAZI EEEEH.NGOJA NIKWAMBIE KITU MDOGO WANGU KTK HII DUNIA UKISIKILIZA WATU UTAKONDA,UTAUMIA,UTALIA KILA SIKU,UTAKUWA UENDELEI,CHA MSINGI DON MIND THEM COZ WA2 WENGINE WAMEZALIA KUDISCOURAGE WENZAO.DO WHAT U WANT TO DO GAL.BIG UP MAMITO.I LIKE U. BY DA EMMY NIPO UG KIKAZI KWA SASA.BUT MI NI TZIII.

golety said...

wabongo hata kwenye ukweli mponde mnaboa bhana kapendeza na hongera zake zoteee nimempa

Anonymous said...

kumbe ukipanda economy class unaenda duty free za VIP? sikuwa najua jamani.

Anonymous said...

Sasa tukusaidieje, kwamba umefanikiwa saaana ama? au Kupanda ndege kwako ni jambo la ajabu sana. Inaelekea ndo unaanza kufunguka macho mbona hayo mambo ya kawaida sana au kuna mtu unamuambia????

Anonymous said...

sinta kwanza hongera kwa maendeleo yako unayoyapata, ni jambo la kumshukuru sana Muumba wako, mwenyezi Mungu muweza wa yote, ebu sasa tuonyehe elimu yako kwa kuachana bishana na mtu ambaye hakusaidii kitu, tumia blog kukusaidia kwa kukufanya uwe na marafiki zaidi na hata kutueleza mambo ya maana, na hata mengineyo tu. kwan ni lazima uwajibu hao haters wako??, na kwa nini ujishtukie muda wote kuwa una haters tuuuuuuuuu, ebu tuonnyeshe hiyo degree yako hata kwa maamuzi yako, kama umeamua weka picha kutuonyesha mambo yako, weka tu na good headings, good subtitles tutaelewa na hata hao unaowaita "HATERS" watakuheshimu na hata muwe sawa tu. Bifu, malumbano na majibizano hayajengi mamaaa, zaidi yanakuharibia tu, kuwa mstaarab, na mengine waachie washenzi basi heeee

Anonymous said...

Haya mamii watakuwa wameshaona izo picha walizozitaka.
usijisifu sana sio vizuri hata mbele za MUNGU maana inakuwa kama unashindana na mtu vile kumbe ni neema tu uliyoipata kutoka kwa MUNGU.
wewe endelea tu kushukuru...hayo ya walimwengu mbona ya kawaida sana hujayazoea tu?
SONGA MBELE
MWANAMKE KUJIAMINI BANA
Hongera Sintah

Anonymous said...

hamna kitu hapo eti kaweka hiyo nembo ya UNAMID.kipofu kaona mwezi wanune wasiojua yaani ww kwenda mara moja darfur wimbo wa Taifa na cc tunaokaa huku na kukusanya madola kila mwezi tusemeje?ka dada unajipaisha sana subiri watu wakupaishe

Anonymous said...

Ushamba mzigo jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiii....punguza ulimbukeni mdada

Anonymous said...

madogo hayo sio makubwa tena

Nadia said...

always a word from me,GOOOOOOOO GALLL DONT MIND THEM HATERS.....hahahhhhhhhaaaaaaaa watajibeba mwaka huu!!!!!OOOH HUKO NI KM KARIAKOO KILA WIKI...INAHUSUUUUUUUU?????SINTA LUV U SAAANAAAA

Anonymous said...

mwaya achana nao wasikuumize kichwa, komaa na mambo yako tuwekee picha tuffurahi kaama mtu atki atapita juu kwa juu tupe raha bau wakomeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Anonymous said...

wivu unahusu???????,mwacheni mtoto awike ndo wakati wake,love uuuuuuuuuu

My New Life said...

Sinta my dear nakupenda toka miaka hiyo ulipoanza uigizaji halafu ukapotea uliporudi ukawa umeongeza kisomo na sasa you are flying girl, kitu kimoja tu nakuomba jitahidi uongee kama vile unaongea na watu wanaokupenda wote yaani jifanye kama huna haters ili utufanye sisi tunaokupenda tuendelee kukupenda na hao HATERS Mungu atashughulika nao. Sasa kila nikifungua blog yako nakuta kama unanisema mimi vile kuwa roho inaniuma unavyoendelea aarrggghhh!!! Weka post zako in a way kuwa tunatamani kusoma blog yako. Ni hayo tu mi mwenyewe ya kwangu yananishinda eti nimeanza kushghulika na ya kwako.

Anonymous said...

Daaah!

Watu wana hasira na mtoto wa mwenzao utafikiri wana ugomvi! Blog ya Kwake, kama anawakera kwanini munaingia humu ndani. Inaelekea kila mkiamka mnamuwazia ka-spot nini ndio maana mnaguswa na kila anacho-post! For some people, blogging is just for Fun, so cool off guys...dont take life too seriously! Blogs ziko kibao, kwanini mnangangania humu!

Anonymous said...

hellow Sinta, hope ur gud na congrants for all u have achieved my dear.My dear you dont have to justify anything to anybody, hakuna anaekudai as long as wewe ndo unaejua ukweli. kama watu hawataki kuamini kuwa ulienda 'so what' achana nao, hawawezi kupunguza au kuongeza hata unywele wako mmoja.Mungu tu ndiye anastahili kudemand hivyo lakini siyo binadamu. mpendwa usikose usingizi bure kwa kuwawaza binadamu.
Kila la heri in every thing ur planning, Mungu akutangulie na akubariki sana.

Rosita

Anonymous said...

Sasa wewe dada kualikwa sijui kujitolea mkutano tu ndio hivi je ungepata chansi ya Omary Mjenga ambaye ni UNOPS representative huko Siera Leone si ungefunga mtaa? Je ungekuwa kama mama Asha Rose Migiro si ungenyea watu vichwani? Ujue kuna watanzania kibao wanafanya kazi kwa position mbali mbali UN na wanaona ni kitu cha kawaida tu. Kweli limbukeni akipata .....hulia mbwata. Ungeweka tu hizo picha ukaelezea trip yako kama vile unaandika diary, kwani blog ni digital diary ambayo inasomwa na watu wa aina tofauti na wakati mwingine unachokiandika kwenye blogu yako kinakudefine ulivyo. Jifunze kutumia blogu yako kuonyesha profile yako sio kutengeneza mabeef yasio kichwa wala miguu. Mimi ni mama mtu mzima na nina connections na profile online kwa hiyo ninakupa ushauri ambao utakusaidia kwenye maisha yako. Na kabla hujapost kumbuka kuwa unachokipost kinaonekana dunia nzima na watu wa aina mbali mbali na kitabaki kuwa kumbu kumbu ukishapublish, manake hata wajukuu zako baadae wanaweza kuarchive wakakutana na upuuzi unaouandika. Kama una ishu na mtu mface usoni mwake umwambie kwa sababu hivi unavyofanya ni kuassasinate character yako wewe mwenyewe. Pengine huko kusafiri kutakusaidia kupata exposure zaidi, tembelea blogu au profile za marafiki zako wanje, jifunze kwao ili uondokane na ubongo bongo maana kwenye mablogu mengi ya wabongo ni haya ya upuuzi mtupu, ukisema uyatafutie sekta ya maendeleo ni ziro. Change for the better siku hizi waajiri wanaangalia tabia za watu kwenye masocial networks!

Anonymous said...

fanya kitu roho yako inapenda maneno hata kwenye khanga yapo

Anonymous said...

mmh! mi nime m-note huyo mzungu hapo pembeni yako, yani nyie mnalala na kuamka ye yupo na mkitabu wake tu!

Anonymous said...

ushamba mzigo jamaniiiiiiiiiii,sa kupanda ndege ndo nini yani...damn u bitch!!!