Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

JACKY'S BRIDAL SHOWER,ILIKUWA NI NANI NA NANI NA YULE NA WALE NA NINI

hapa sasaaa
Our bride to be
sexy as always
divaaa
guu la divaa
kim k
walipendeza sana na team yake
jacky M
my gal na marsha
mimi na sadaah
Rio and jlo
hawa and saada
kata kekii tuleee
jacky na twin D

15 comments:

Anonymous said...

at least now days u knw hw to dress...tanx to jokate for changing you...you used to dress bad ...bora jokate akutoee ushamba mana ulikuwa hujui kuvaa kabisa jlo wetu wa bongo...and i wonder unajiita jlo afu haujui kuvaa haumuoni jlo mwenyewe anavyovyaaga...and wen you love someone atlest ungekuwa unavaa kama yeye mana nikisema shepu haumkutii jlo hata kwa fimbo....learn to dress according to the occasion

Anonymous said...

Jlo hatakuwa yy au mauza uza tuuuuuuuuuu??????????ivyo viatu sasa vya miaka ileeeeeeeeee wakati masuparstar nw wanavaa CL upo hapo??????????????

Anonymous said...

huyo rio sijamwelewa ni jinsi ipi

Anonymous said...

halafu shogako jokate kama kila picha anaforce lips kwenda mbele anakula ugoro

Anonymous said...

UMEPENDEZA my GIRL SINTAH vitu vingine vya kawaida na mtu anapokose andio anajifunza so take it easy girl ur always the BEST LUV

magie hanlon said...

nimekumisije hawa,marsha duh.. mlinoga wapenzi.sinta pitia joburg kabda ujaenda bongo..

Anonymous said...

tena kweli ww anony hapo juu kwanini jokate anapenda kubetua mdomo wake yaani anauvimbisha kwa mbele.au ndo swaga zake hizo

Anonymous said...

Lol eti anabetua mdomo pengine ni ubunifu mpya umeingia.

Anonymous said...

mbona hujatuonyesha kiatu cha bride to be,kilikuwa balaaa...

Anonymous said...

it was nice,ulipendeza sana sinta pamoja na bride 2be.

jane bomba

sophy said...

umependeza umependeza umependeza mpaka basi

Anonymous said...

Huo Rio mbona kama ana mambo ya ki'David Cameroon?

Anonymous said...

Hyo Rio mbona haeleweki jamani mmmh!

Anonymous said...

hata mimi sijamuelewa huyu Rio

Anonymous said...

anon wa kwnza u r right!! atleast nowadays anajua kuvaa kidogo,walikua masistaduu wachafu na yule shogaake SAUDA Mtangazaji!!! yani yule ndo mwehu mwehu!!!

Pozi la lipsss za jokate nalo hapana kwakweli, ndo umodal labda!!

RIO,ahahahaa, mi mwenyewe simsomagi kabisaaa!!