Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WATU MAARUFU TULIOENDA SHULE

christine sintah JM
Salama Jabir
Khamis Mwinjuma
Nargis Mohamed &Stella Shuby

                                   Jokate Mwegelo

                         FA &Sintalicious


kila siku huwa namshukuru Mungu kwa elimu niliyoipata maana ninajua kuyakabili mambo
wabongo wengi hawapendi kumkubali mtu au hata wakati mwingine kumsifia mtu

khamis
MA

Christine
PG

Nargis
PG

Stella
BA


Jokate
BA

Salama
BA

thx Lord maana kuna wengine wanatamani ila haiwezekani

mambo ya kuzingatia

mfano mzuri mimi kwa wale niliosoma nao mfano Besta anajua maana nilijitahidi sana sikuwahi kupata retake hata moja maana ninaenda club kama kawa but when it comes to book is something else
weka malengo utafanikiwa tuu
kila unapona fire works every beggining of the year make your resolution kwamba mwaka huu nataka kutimiza hivi nenda kimahesabu wangu yatakuwa tuu luv

kama umenisikiliza sawa,kama unaona huyu nae sasa hio itakuwa mihogo yako maana utaipika futari,kukaanga,kuchoma,kushemsha mmmh hio ni wewe
sasa guess what??ninaanza kusoma my Masters sasa ya International Relations &Diplomacy nashukuru sana  nchi fulani kwa kujitolea kunipa full sponsorship
kama nakuona hapo ooooh fitina yako ni bahati yangu lol

ciao
i go by the name sintalicious,jlo,nothin but confidence,unstoppable sintah,

33 comments:

rose shayo said...

oh dear sinta for that status i will love u more...am also taking international relation in udom bt we av suspended up to this time we don nou wat next to us...i real wish to reach my dreams i know xul is everything fo galz t brings enough n more confidence iseee...wish u mor luck' hi 2ya husband to b thou av been seen u with engegment ring looh..u didnt even give ppl invitation? au t war jus two of u.....love u...rose shayo.

NaLu said...

Hongera sana Jlo, unatuhamasisha kweli na sie huku
Ila umeniacha kidogo my dear, PG ni nini?

Anonymous said...

Tatizo la elimu inazeesha ebu jitazame ulivyozeeka kwa kielimu chako kidogo je vp ukifikia elimu ya juu zaidi si utaonekana kama kikongwe?ila asikwambie mtu wewe mkwanja ndio umechanganyika kila kitu na hyo elimu yenyewe ipo ndani ya mkwanja nyie someni tu sisi tunatafuta mawe nyie mkimaliza elimu zenu mnakuja kwetu tunawaajili booonge la denge.

Anonymous said...

Tuwekee basi picha zako wakati unagraduate yani nakupendaga sana ila picha kuhitimu sijawahi kuziona. Sio tu kuvaa joho ahha zile zaenyewe plzee

Anonymous said...

Hongera sana Dada na wengine hapo jyuu kama Nargis,Jokate,MwanaFA na Salama..Huo ndo mpango mzima juhudi na malengo ndo vinasababisha kila kitu..
Cham Lambertini..

sophy said...

hongera dada

Anonymous said...

Hongera MUNGU akujaalie zaidi na zaidi...iyo masters nami naitamani kama nini

juliana deus said...

elimu ni kila ki2 mamii km unahitaji kujiendeleza usirudi nyuma funga mkanda mttt wa kike na mungu atakusaidia eeee

Hamida Nkya said...

Hongera Bi dada Mungu akuzidishie, wabongo kwa kudis si ndio zao, go go go go gal..

Anonymous said...

hongera Sintah ila mbona una Postgraduate Diploma ama nakosea? mhhh sasa hapo ndo umesoma ila hongera kama unaona hivyo. Sasa hivi PHD kibao mtaani japo nina ka master kangu sioni km nimefika bado na wala sijiiti msomi.

Anonymous said...

hey, you are beautiful JLO, i like your attitude, a woman needs non stop education, educate yourself as that`s what the future needs, people are so rude here sometimes, i once read some of the comments and i felt so sorry as a woman, but these are obstacles which plays a role like challenges, you are a true woman, you are still strong and pushing the wheel, thumbs up girl.. IM A NEW FAN.. Naz

Anonymous said...

yani wanyarugusu utawajua tu! education is knowledge and knowledge is power...sasa kwanini mtu asiseme tu hongera mpaka aanze oh sijui utasoma utarudi tutakuajili why all this crap? ukweli ni kwamba kwa wale wenye nazo na hawana elimu wanajiboost...na huwa hawashobokei kukosa elimu kwa kusema mlosoma mtarudi kwangu instead utakuta wana uchungu sana na kusema sitaki wanangu wasiwe na elimu kama mimi nataka wasome ..that is good spirit na sio ubwege unaosemwa hapa na waropokaji wengine..ni hayo tu

Anonymous said...

Katika watu walienda shule, na wewe umo kumbe? Kweli kazi ipo

Anonymous said...

Watu waliokwenda shule hawajitangazi. Ukiona mtu anajitangaza kuwa ana elimu, basi ujue hajaenda shule huyo.

ney said...

picture already posted in this blog may be if ur invider...

Anonymous said...

sinta wakiitwa walioenda shule na wewe utaenda acha utoto,acha ushamba wewe

Anonymous said...

yani mwenzenu alivyokuwa anasema msomi nikajua amemaliza labda ata mastas asa kumbe hata degree hana jamani hii ni kazi kweli ungejua watu kibao wamesoma na wamekaa kimya kwanza wasomi wanakushangaa kujitangazia kama umesoma wakati elimu huna na hiyo ulionayo aikusaidii,wasomi hawana kashifa za kijinga kama wewe mungalie Jokate hata MWANA FA.NDO UTAFUNGA MDOMO na ninashangaa kwanini ukukamatwa ninapatwa wasiwasikwakweli

Anonymous said...

hongera sintah na jitahidi utafika mbali,wanaokusema vibaya ipo siku wataona aibu wenyewe.

jane bomba

Anonymous said...

yani hao wanaokutusi ukiona ivyo hawajaenda shule na ndiyo maana hawaendelei na hawatakaaa waendelee.piga shule sinta mama

jane bomba

Anonymous said...

MKOSAJI NI MKOSAJI TU ETI TATIZO LA ELIMU INAZEESHA KWELI WEWE UNAMAWAZO MGANDO,DUNIA YA LEO BILA ELIMU UTATUMIKIA WENZIO ADI MWISHO UKIOGOPA KUZEESHWA NA ELIMU

Anonymous said...

It has being a long time sijatembelea blog kwa sababu ya ubusy. Hongera sana Sintalicious kwa kweli ni wanawake wachache wanapenda kujiendeleza kimaisha ktk kusoma na hata kujishughulisha yaani nakupa big up sana mdada. Ukiona ambaye anaogopa kujitanga ujue elimu yake naye mgogoro.

Jlo said...

poor u ulie comment seems ulienda rumande
huwezi ukawa una post graduate kama huna degree
inaanza
BA
then PG
MA
PHD
sasa nashangaa usi comment kama hujui kitu bora utulie
kuna wengine wana equivalent ya degree then wanaenda PG
me got BA nikaenda PG
POOR YOU
next time ask before you put silly comments

Anonymous said...

hamna kitu hapa,wenye elimu zao wanapiga kimya,degree umeipata wapi na lini?,walio unga unga utawajua au ndo umetimiza ndoto za long tym,ovyoooooooooooooooo

Anonymous said...

all in all umesoma hongera jamani kusoma kuna raha yake.

Anonymous said...

Majigambo time...hihihihihii..nakujua vyema na vibuti vyako ulivyokuwa unaingia navyo kwe mitihani. Ndo maana unashindwa kujielezea kwa hekima bali ka unagombana na matambo juu...wenye elimu wangapi ndugu yangu na wapo kimyaaa. ni blog yako lkn hekima muhimu unapojieleza hasa vitu binafsi, majigambo hayana maana, kwani wasioenda shule are not human being..wamepungua nini, binadamu ni binadamu kuwa na elimu haimaanishi your over everything...go down to the earth girl and you will be respected...Ciaooo

Unknown said...

elimu sio ya darasani 2 hata kwenye maongezi jaman kueni na hekima kwanza kumjazia Jlo coment za kashfa sio ujanja ni ushamba sasa hata kama ameishia diplma utamfananisha na wa darasa la 7? Mwacheni ajimwaye MAMITO!!!! Ur da best hater go to hell

Anonymous said...

Sinta umesoma lakini bado hujaelimika.
Hongera kwa kusoma. Tafuta kuelimika sasa.

Anonymous said...

mhhh sinta bwana.....haya mama we msomi hongeraaa...si ndo unataka watu wakubali na wakusifie....haya sifa hizo chukua...DA AISEEE HUYU DEMU AMESOMAAAA NI BALAAA....BONGE LA MSOMI...CHEZEA JLO WEWE...Haaa Haaaa haaaa

Anonymous said...

Hivi wasomi wako hivi ehee!!! maskini hata degree hana. Kajitahidi kujitetea ndo imeonekana kabisa kwamba hata shule hajaenda hicho cheti kanunua walahi!!! hata hajui baada ya Degree ni Masters labda uwe umefeli sana degree yako. Duh!!!!

Anonymous said...

all in all hongera mwaya kwa kusoma all the best kusoma ni kusoma tu hata kama wanasema umeunga lakini si umesoma keep it up mwaya....

Anonymous said...

Congrats bi dada...

my god... u have to be really daft not to know what PG is? Eish its post graduate. Go to school people.

Anonymous said...

Ahaa Sintah we!

Anonymous said...

Hivi kumbe na wewe unajiita maarufu, duuh mbona mimi sijui kama na wewe upo kwenye list ya watu maarufu?