Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SINTAH UNATUMIA NINI KATIKA SKIN YAKO

---------- Forwarded message ----------
From: mariana
Date: 2011/10/21
Subject: RE:SALAAM
To: "prettysinta244@gmail.com" <prettysinta244@gmail.com>

Dear Sinta(JLO BONGO)
Mimi naitwa Mariana ni mpenzi wa blog yako sana ,napenda kujua kitu gani unatumia kiasi unakuwa msweet kiasi hicho,maana huwa nakuangalia sikumalizi kwa jinsi ulivyopendeza,nina imani hautonibania naomba kujua siri ya urembo wako kama hutojali,nipe address tu mi mwenyewe ntafuatilia , au contact ya mwenye mambo hayo mazuri.
ni mimi fans wako waprettysinta
mariana

7 comments:

Anonymous said...

Anatumia mkorogo

Anonymous said...

Mweleze tu faida ya carolight mweee!!! huyo naye kakosea njia kwa hiyo skin yako anaipenda? Hiyo ya mkorogo? Mi namshauri amtafute na Sauda pia mkae wote mumshauri

Anonymous said...

shoga haiusu unatakiwa utueleze unachotumia sio kupublish hiyo msg, au unaona wenzako watapendeza sana? acha ushamba!!!!

Anonymous said...

sasa unatuoneash iliiweje kubali kataa sinta rangi yak ya zamani ya kachocolate ilikuwa inakupenza labda ambaye hakujui, au tuwekee picha zako za enzi zile kabla ya kujichubua tupige kura ipi bomba , au bania tena coment yang msg sent

Anonymous said...

Na mimi namkumbuka sana Sintan huyu hapa:

http://bongocelebrity.files.wordpress.com/2008/05/sintagp.jpg

Anonymous said...

Hivi sinta ni nani?
kadada ka1 kalikuwa kana dimpozi sana, ka black hivi...kuna wakati alikuwa anasoma hapo dsj, wakati huo hapo kumekucha kweli ndio sinta, nora, nana wapo hapo chuoni, tupo bonga bar tunapata kilaji juma nature anakuja kumchukua mami wakati huo...mwehh bungoni palikuwa hot kweli kweli....hivi Fidel ile bar ya bonga bado ipo hapo ilala bungoni?

Anonymous said...

jamani mbona mmemkalia mwenzenu kooni,halafu yeye hata hajajibu kitu.au majibu ndo hayo sintah.ila wee shosti uliyeuliza swali kama unataka kung'aa bila kutumia carolight unaweza tafuta mtu wa tanga akupe vile vimti original vya liwa unasugua ktk jiwe zen unapaka.utakuwa soft,utang'aa na kama una chunusi zitaoondoka bila kupata side effect.TURUDI KTK NJIA ZA ASILI ZA UREMBO JAMANI .MARADHI MENGI SIKU HIZI.it's me emmy gal.