Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MIAKA 5 YA UKWEEH KWA 8020


hivi ni baadhi ya vifurushi tulivyoondoka navyo
leo sitoelezea picha acha zijielezee,uliyekosa pole maana begi langu lilijaa zawadi mpaka na nyingine nitampa hubby lol

ni hivi nimemfahamu shamim 6 years ago akiwa pale dar hotwire
she is lovely and caring person im so happy for her
nashukuru sana nilipoanza blog alikuwa ni mtu wa kwanza kunipa link inaonyesha anapenda mafanikio ya wenzie no wonder anafanikiwa
shamim nilimpigia simu saa kumi na moja siku ya BD yangu alikuja haraka sana inaonyesha kwajinsi gani anapenda kazi yake
sina mengi bali nasema thx for all uliyonifanyia and may the good Lord protect you from evils
Amen

39 comments:

Anonymous said...

Dina kiukweli hakupendaza hata chembe, ile nguo sijui aliipata wapi,aaaha inauzi sana. sinta na crew yako mlikua supa sana,

Anonymous said...

Ilipendeza sana jamani very creative kweli huyu ni mmiliki wa blog ya burudani na urembo ilifana mno..kweli Sintah the girl hata mimi namkubali ni mtu mwema sana tena mno na ni mstaarabu kupita maelezo.....Ila Sintah na wewe mdogo wangu ni mfupi jamani nimecheka hiyo picha umekaa kati huku Jokate huku Wolper...ummeishia mabegani.....

Anonymous said...

wa mara ya kwanza napenda kusema SINTA UMEPENDEZA SN

Anonymous said...

FINALLY UMEONA KUONYESHA MANYAMA SIO DEAL NA KUSHONA NGUO INAYOENDANA NAWE,,....... VAA NGUO YA MTEGO UWE NA MWILI KM WA JOKATE HAUNA MANYAMA NA MICHIRIZI MPK MVUTO.
NGUO IMEKUTOA KWELI IYO

Anonymous said...

Naskia shoga JLO unaendesha mgari wa hatari kuna shost yangu alikuona town.

Anonymous said...

CONGRATS SHAMIM, WADADA MMEPENDEZA ILA TO BE HONEST JOKATE PAMOJA NA KUTUPIA KIATU CHA B2A LKN NAHISI ANGEPENDEZA ZAIDI KM ANGEVAA NGUO NYINGINE, pia DINA MARIOS NAMPENDA SN LKN HAJAPENDEZA AU SIJUI PICHA IMEMTOA VBY.

Anonymous said...

Sintah wewe Andunje..yaani mfupi kama KIMBA LA MWISHO. hichokinakuharibia sana..cheki wenzako wlivyoenda hewani..pole yako. ungekosa sura sijui ingekuwaje

jlo said...

watu mnapena kusema ili mradi muonekane tuu humu mmesema hivi hamuoni hao walivaa viatu virefu na mimi nilivaa flat shoes au hamjaona?kuweni mna reason ya kuongea si kuongea bila ya sababu anyway hata nikiwa mfupi sasa?njoo unirefushe shut up and watch

Anonymous said...

sinta sinta sinta never answer heaters unakosea sn hata wasemeje kaa kimya that is so wise they are there to keep you going hny.ni jambo jema sn kutojibizana na mjinga na km vp iyo comment ya makwazo hua haja ya kuiweka unazani wooooote wanaongia humu wana akili timamu??????

Anonymous said...

kwa mara ya kwanza kusema umependeza saaana, mi nadhani sasa umeshaanza kujijulia nguo zako. zile za mipira waachie wennyewe mpaka utoe manyama uzembe. Kwa kweli make up nywele nguo umependeza sana, huyo Jokate katoka nje ya mada, huyo Dina vipi jamani alikosa nguo nyingine mweeeee!!!!! Kwa ufupi wewe ni mfupi wala usikurupuke saaana

Anonymous said...

hahahaa umenichekesha kweli eti hata kama mfupi kwikwi ILA KUNA WATU MAWIGI HAYAJAWAPENDEZA UYO MKE WA MWANAMUZIKI ILO WIGI MMH NA UYO MTANGAZAJI WA MAGIC FM S

Anonymous said...

watu bwana kwani ufupi ni ugonjwa halafu watu hawajui wanawake wafupi wazuri sana

Anonymous said...

sintah ulitoka simple hadi raha,big up Shamimu kwani sherehe ilinoga.

jane bomba

Anonymous said...

basi hapo sintah ulichemsha kwenye viatu kwa nini uvae flat shoes ? @ least ungevaa vilivyoinuka kidogo,some time viatu vilefu vinamfanya mtu aonekane smart. na kisa umechemsha kikwapa. dina hakupendeza.

Anonymous said...

SHOGA UNAKIHEREHERE, YE MWENYEWE HAJAWEKA PICHA ZA HIO SHUGHULI KWENYE BLOG YAKE WE USHAPOST, ALAFU NILIJUA TU UTAKUA EMEWEKA, UNGEACHA AWEKE KWANZA MANA YE ANA SABABU ZA KU SUBIRI KU UPLOAD. UMEHARIBU UTAMU KWA WATAKAO ZURU HUMU AMBAO WALIKUA WANAZINGOJA KWA SHAMIM. THANK ANYWAY, MANA NLIKUA NA HAMU NAZO ALAFU YE ANA DELAY

Anonymous said...

kama mfupi mfupi tu bi dada,

Anonymous said...

Wadada wengi wao walipendeza sana. But Dina, ni BIG NOOO!! Mashauzi yakizidi mwisho lazima uchemshe. Na ndo alikuwa MC alichorekajeeee?? Muwe mnajiangalia kwanza maumbo yenu kabla ya kuchagua nguo. After all she was MC, so she shouldnt wear a dress like dat!! Looh, mpaka kinyaa. Puuuuuh!!!

Anonymous said...

kwa kweli ulipendeza sana, Mamaa wa 8020 Shamim ndo alifunika kabisaaa, hakika alijiandaa kiukweli kuanzia mavazi hadi function yenyewe. Ila dina hiyo picha imemtoa vibaya si kama alipendeza sana ila alitoka simple but good ukiangalia kwenye picha za kwenye blog yake ndo mtamuona vizuri.

Anonymous said...

sinta umependeza, dida uso mweeuuupe mwilini mungu anguuuu. dinaa hahhahahhahahhaha jamani me sijui ata nisemeje hapo.... haya shamim me nampenda yupo simple sana tena sana

Anonymous said...

Sabaha i see you! ni mimi jirani yako wa ghana mwanza :) we miss you

Anonymous said...

sinta Shamim ni msikivu sana alikuwa tayari kukosolewa na watu kwenye blog yake mara ya kwanza alikuwa mkali na mnyonge kuona kama anaonewa lkn alibadilika na kusikiza ushauri si huyo sasa muangalie. alipata taabu mdada wa watu alipoanza watu walimzodoa vibaya lkn wapi tangu alikua anajibu paka kimya si huyo sasa na watu wanamkubali amweza kuita umati zaidi ya 700 hii dhahiri kuwa watu wanampenda na mungu amlinde.

Anonymous said...

dida hahahhahah, wolper looking hot.. dina hahahha wewe dina ndio mana R......N hakutaki mana unaonekana mmama hivi kwa nini ujikondeshei punguza kula chakula cha bar

Anonymous said...

vp dada umeanza kututukana tena kama ufupi ni wako unatakiwa ujikubali na ufurahie ufupi wako ni dhahiri hapo hata kama ungevaa 16 Inches usingefika kokote. unajua nini Shamim kasema tujiamini tujikubali hata kama una mguu mwembamba uonyeshe sasa wewe ume mind kuitwa mfupi????? Kaazi kweeeli!!!

Anonymous said...

linah puu kama una ngoma ila mtoto una sura ya kikubwa wewe

Anonymous said...

sinta siku zote domo jumba la maneno,so ipo siku watanyamaza wenyewe na aibu zao.kwani inamuhusu nn mtu akiwa mfupi ,mrefu,chembamba ,kijasho etc.inahuuuuuuuuuuuu go on sintah luv u so much mamy.

jane bomba

Anonymous said...

Mungu ndiyo katuumba sie wafupi sasa hapo unamkosoa Mungu wewe una wivu huna lolote la kuongea mtaishia kuoana tuuuuu

Anonymous said...

Kumbe wanawake wengine wanapendeza na nywele fupi . namuona mbonnie masimba amependeza kweli na nywele zake stress free.monica naye zilimpendeza sijui kwa nini amevaa hilo wigi hapo. huyo amber rose naye zimempendeza hizo rangi na nywele fupi kasoro hiko cha kichwani sijui cheni don't know is too much makorombezo.

Anonymous said...

hapana ukweli unabaki palepale wewe ni mfupi tena sanaaaaaa,kwanini hujikubali?

Anonymous said...

jamani naomba kuuliza salma msangi hiyo ni diet au ndivyo alivyo?

Anonymous said...

ni kweli dina hajapendeza
hata kidogo

Anonymous said...

jack walper too complicated mpaka unakuwa hupendezi.tatizo naona huwa unapania sana.ndo nini sasa????????????

Anonymous said...

hivi watu mna akili kweli?sinta akiwa mfupi wee inahusu nini?

Anonymous said...

Sinta wewe kazinyako ni kuchambua chuya na mchele so chuya zitupe na mchele uloweke kisha pika, Waswahili tume umbiwa kuongea sasa wewe kama mwana blog usipaniki please visit blkog ya Jaydee kuna maneno aliandika kushukuru nimependa.
Msomi ashindani na wapumbavu sasa ww unapo kuwa unakuja juu waondio wanaongea saanaa ona hz comment, please wewe soma tu usijibu zaidi ya THANKZ GUY

regina said...

sinta ujue duniani kuna watu wako kwa ajili ya kuwafanya wengine wasijiamini wala wasijipende unachotakiwa ni kujipenda hata ukiwa mfupi mbona watu wengi ni wafupi sema high heels ndo zinawafanya waonekane warefu namnukuu shamimi jiamini jipende ushikamane

Anonymous said...

tatizo hajikubali kwamba yee ni mfupi,alivyoanza kushambuliwa na anony kuwa yee ni mfupi alitakiwa ajibu 'yes me mfupi so what?' na sio kujifaragua kwamba alivaa flat shoes nk

Anonymous said...

jacky, we ni mrembo sana, ila kitu kimoja punguza kurembua macho

Anonymous said...

kwani lini yeye alijikubali hata jina alilopewa na wazazi wake anaona halifai anajiita JLO unadhani atakubali ufupi? halafu anajiita msomi Lol kaaaaazi kweeeli. kichaa kapewa rungu tutakoma

Anonymous said...

Mlipendeza sn wadada...then sinta uwe unaandika maelezo ya pic kwa chini....Dina ndo nini sasa???

Anonymous said...

shamimu mfuniko kweli, we mkareeeeeeee dada!!!keep it up!!
lakini a.k.a za bongo bwana....eti kim k, jlo hamuendani nao hata kidogo!!

mi naona bora anaejiita TYRA BANKS,at least anaendana nae, na kimora angalau...others utahira mtupuuuuuuu!!